Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
Assalama leko.
Tumsifu Yesu Kristo.
Wakuu maisha yamekuwa tofauti sana na nilivyokuwa kipindi cha nyuma nimekuwa mnyonge na nisiye na furaha tena kwa historia za wazee (mababu) nimekuwa chambo kwa hilo kila kitu kimebadilika sana
Nyumbani nilipo zaliwa hapakaliki tena nikienda naibua story nahisi nanyoshewa kidole kila nikionekana na ninapopita.
Wazazi walezi walikataa mahari ya ng'ombe na fedha kutoka upande wa baba yangu walipo kuja kutoa ili wanichukua lakini story ghafla ilibadilika sana baada upande wa mama kuwafukuza na fedha pamoja na ng'ombe zao.
Ushauri wadada mjitahidi muolewe ndipo mzae hata kama ni ndoa ya mkeka, pia jitahidi kumsema ukweli aliekupa mimba akatae yeye mwenyewe kuwa mimba sio yangu. Atakae pata tabu huko mbeleni ni mtoto.