Ni myonge, sina kauli na sina hamu ya kwenda nyumbani tena nilipo zaliwa

Ni myonge, sina kauli na sina hamu ya kwenda nyumbani tena nilipo zaliwa

Pole sana, sababu ya kumkimbiza jamaa yako na ng'ombe zake ni nini??
Kukuzalisha?
 
Tatizo kama ndoa ni makubaliano yenu ,wazazi wanatoa ruhusa sasa nyie mnataka kuleta mlolongo mrefu ...Muda mwingine nyie mnapendana licha ya mapungufu yenu ila anatokea ndugu anamkataa mwenza wako hili ni tatizo sana.

Usipende ndoa za mlolongo mrefu piga cha mkeka hakuna cha mualiko kwa Shangazi wala wala wajomba ,kikubwa wawakilishi kisheria.
 
Back
Top Bottom