Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 1,198
- 2,695
Nipo marambonawili upo wapi😋😋Njoo nikupe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo marambonawili upo wapi😋😋Njoo nikupe
Tatizo mababa wengi wakipachika mimba na kukimbia, wajomba ndio huwa wanalea. Ukifuatilia scenerios nyingi utagundua watoto waliotelekezwa walilelewa na wajomba zao kwa sababu huwa ni nadra wao kutupa watoto wa dada zao ndio maana wakasema "mjomba ni mama".Makabila yaliyostaarabika mwenye maamuzi ya mtoto ni baba na mama tuu. Wajomba ,mashangazi baba wakubwa na wadogo wale ni extended family wao wanajulishwa tuu watake ni hivyo hivyo wasitake ni hivyo hivyo. Huwa nawashangaa Sana baadhi ya makabila eti mjomba akidinda hakuna kinachofanyika. Mjomba?? Yeye ni ukoo mwingine kabisa na ana familia yake aje atoe maamuzi kwenye Koo nyingine? Mambo ya ajabu sana
Mleta mada(OP) ni mtoto wa nje ya ndoa.Mhhh mbona kuna utata
Unamaanisha wazazi walimkataa mchumba wako na mahari zake?
Mbona anamtihani mkubwaMleta mada(OP) ni mtoto wa nje ya ndoa.
Anayedhaniwa kuwa baba mzazi wa OP alienda kwa wazazi wa mama wa OP kulipa mahari na gharama zingine kukomboa mtoto(OP) enzi hizo akiwa mdogo nadhani.
Ndugu au wazazi wa mama wa OP wakakataa na kumfukuza huyo baba wa OP.
Una umri gani tuangalie namna ya kulea mtoto huyo bidadaAssalama leko.
Tumsifu Yesu Kristo.
Wakuu maisha yamekuwa tofauti sana na nilivyokuwa kipindi cha nyuma nimekuwa mnyonge na nisiye na furaha tena kwa historia za wazee (mababu) nimekuwa chambo kwa hilo kila kitu kimebadilika sana
Nyumbani nilipo zaliwa hapakaliki tena nikienda naibua story nahisi nanyoshewa kidole kila nikionekana na ninapopita.
Wazazi walezi walikataa mahari ya ng'ombe na fedha kutoka upande wa baba yangu walipo kuja kutoa ili wanichukua lakini story ghafla ilibadilika sana baada upande wa mama kuwafukuza na fedha pamoja na ng'ombe zao.
Ushauri wadada mjitahidi muolewe ndipo mzae hata kama ni ndoa ya mkeka, pia jitahidi kumsema ukweli aliekupa mimba akatae yeye mwenyewe kuwa mimba sio yangu. Atakae pata tabu huko mbeleni ni mtoto.
Mahali ya nanani? Maana story imejichanganya.Hamna mkuu labda ulisoma tu kichwa cha uzi. Ila mleta mada analalamika ya kuwa wazazi wake walikataa mahali.
Sema huu ni upumbavu kumnanga mtoto kwa vile hana kosa kabisa ,hili ishu inatokea sana .Hii story kama huna mawazo ya kausha damu wala betting inaeleweka sana tu,
Mtoa mada ni mtoto wa nje ya ndoa, mama ake hakumwambia baba ake kua ana mimba, mtoto akazaliwa akakua, baba ake baada ya kupata habari kua ana mtoto akaenda kupeleka Ng'ombe na Fedha ili kumgomboa mtoto, babu na bibi wa mtoa mada wakamtimua, kuanzia hapo maisha ya mtoa mada yamebadilika maana kijijini kila mtu anamzungumzia yeye,
Ushauri wake kwa wadada, wasizae nje ya ndoa na kama wakibeba mimba wawajulishe wakina baba mimba wao ili yasitokee yaliyomtokea yeye.
Swali kwa mtoa mada,
Mama yako bado yupo hai?
Mtoa mada yeye sasa ndiyo amtafute baba yake maana kesha kua mtu mzima na hakuna atakae mzuwiya!!Hii story kama huna mawazo ya kausha damu wala betting inaeleweka sana tu,
Mtoa mada ni mtoto wa nje ya ndoa, mama ake hakumwambia baba ake kua ana mimba, mtoto akazaliwa akakua, baba ake baada ya kupata habari kua ana mtoto akaenda kupeleka Ng'ombe na Fedha ili kumgomboa mtoto, babu na bibi wa mtoa mada wakamtimua, kuanzia hapo maisha ya mtoa mada yamebadilika maana kijijini kila mtu anamzungumzia yeye,
Ushauri wake kwa wadada, wasizae nje ya ndoa na kama wakibeba mimba wawajulishe wakina baba mimba wao ili yasitokee yaliyomtokea yeye.
Swali kwa mtoa mada,
Mama yako bado yupo hai?
Kwani hao watoto wa nje ya ndoa mnabakwa au inakuwaje? Mtu hajajitambulisha kwenu tayari ushamuonesha uchi .
Kuzaa ni maamuzi labda ubakwe!Tema mate chini muombe Mungu msamaha,