Ni nadra sana kukuta mwanamke wa Kimbulu amesukia rasta nywele zake

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679
Wanawake wa kimbulu kiukweli wamejaaliwa ule uzuri wa asili. Ni mara chache sana kukuta amechanganya nywele zake na hizi rasta za kawaida za katani.

Na katika experience yangu niliowaona wasichana wa kimbulu hupendelea kunyoa ule mtindo unoitwa panki nadhani.. Mungu wabariki warembo wa kimbulu😍😍🥰
 
Wanawake wa kimbulu kiukweli wamejaaliwa ule uzuri wa asili. Ni mara chache sana kukuta amechanganya nywele zake na hizi rasta za kawaida za katani. Na katika experience yangu niliowaona wasichana wa kimbulu hupendelea kunyoa ule mtindo unoitwa panki nadhani.. Mungu wabariki warembo wa kimbulu😍😍🥰
Si kwamba wana makomwe hawataki yabaki mubashar?Ingawa wanaweza kuzilaza kwa mbele.
 
Ndio najua leo , kumbe wanawake wakiiraq nao ni wazuri🤔

Note: hakuna kabila wanaitwa wambulu , wa mbulu ni wairaq wanaoishi wilaya ya mbulu , kuna wa karatu , babati , kateshi , kiteto na nk.
 
Ukioa mwanamke wa hilo kabila tarajia kupata ugeni wa mabinamu wengi sana wa kiume. Karibu kila mwanaume wa kabila lake huwa ni binamu.... hao mabinamu karibu wote huwa michepuko yake kwa hiyo watakugongea balaa
 
Mimi ninawajua kama wambulu .. asante kwa ufafanuzi
 
Mkuu sisi watu wa Tarime ukisema KIMBULU/WAMBULU inaleta maana tofauti !

KIMBULU - Ni aina ya Paka pori mwenye mashavu makubwa anayekula kuku au Vifaranga !

WAMBULU - Watoto wa Paka (KIMBULU)

Hao jamaa ya watu wanaopatikana KARATU,MBULU,MBULU MBULU,BABATI,HAIDOM,HANANG,MTO WA MBU na Kwa Uchache ARUSHA ,Huitwa WAIRAQW (Wairaki)

Hivyo jina lao Huitwa WAIRAQW
 
Ukioa mwanamke wa hilo kabila tarajia kupata ugeni wa mabinamu wengi sana wa kiume. Karibu kila mwanaume wa kabila lake huwa ni binamu.... hao mabinamu karibu wote huwa michepuko yake kwa hiyo watakugongea balaa
Sijasema naoa huko. Jikite kwenye mada🤣
 
Mkuu sisi watu wa Tarime ukisema KIMBULU/WAMBULU inaleta maana tofauti !

KIMBULU - Ni aina ya Paka pori mwenye mashavu makubwa anayekula kuku au Vifaranga !

WAMBULU - Watoto wa Paka (KIMBULU)

Hao jamaa ya watu wanaopatikana KARATU,MBULU,MBULU MBULU,BABATI,HAIDOM,HANANG,MTO WA MBU na Kwa Uchache ARUSHA ,Huitwa WAIRAQW (Wairaki)

Hivyo jina lao Huitwa WAIRAQW
Shukrani kw ufafanuzi mdau🫡🫡
 
Hivi mmekwisha sikia habari za kijana Dunia kuiaga dunia huko Marekani ama lengo ni kuchambua wanawake wa kabila langu!

Lengo la mwandishi nishajua ni lipi. Hakuna kabila lenye tabia fulani, tabia ni hulka ya mtu husika
 
Acha kujihami kiboya boya
 
Hivi mmekwisha sikia habari za kijana Dunia kuiaga dunia huko Marekani ama lengo ni kuchambua wanawake wa kabila langu!

Lengo la mwandishi nishajua ni lipi. Hakuna kabila lenye tabia fulani, tabia ni hulka ya mtu husika
Mila na tamaduni zinaweza athiri tabia ya jamii husika , hauwezi kuta mpare yupo na watu wengine ila akaongea na mpare mwenzake kilugha
 
Kumbe, ngonya nimcheki mwanangu pale Masqaroda kwa picha zaidi.
 
Back
Top Bottom