Si kwamba wana makomwe hawataki yabaki mubashar?Ingawa wanaweza kuzilaza kwa mbele.Wanawake wa kimbulu kiukweli wamejaaliwa ule uzuri wa asili. Ni mara chache sana kukuta amechanganya nywele zake na hizi rasta za kawaida za katani. Na katika experience yangu niliowaona wasichana wa kimbulu hupendelea kunyoa ule mtindo unoitwa panki nadhani.. Mungu wabariki warembo wa kimbulu😍😍🥰
Wanyaturu je ?Wale sio wabantu ni jamii ya wakushi ndio maana nywele zao zinakuwa na texture tofauti
Mimi ninawajua kama wambulu .. asante kwa ufafanuziNdio najua leo , kumbe wanawake wakiiraq nao ni wazuri🤔
Note: hakuna kabila wanaitwa wambulu , wa mbulu ni wairaq wanaoishi wilaya ya mbulu , kuna wa karatu , babati , kateshi , kiteto na nk.
Sijasema naoa huko. Jikite kwenye mada🤣Ukioa mwanamke wa hilo kabila tarajia kupata ugeni wa mabinamu wengi sana wa kiume. Karibu kila mwanaume wa kabila lake huwa ni binamu.... hao mabinamu karibu wote huwa michepuko yake kwa hiyo watakugongea balaa
Shukrani kw ufafanuzi mdau🫡🫡Mkuu sisi watu wa Tarime ukisema KIMBULU/WAMBULU inaleta maana tofauti !
KIMBULU - Ni aina ya Paka pori mwenye mashavu makubwa anayekula kuku au Vifaranga !
WAMBULU - Watoto wa Paka (KIMBULU)
Hao jamaa ya watu wanaopatikana KARATU,MBULU,MBULU MBULU,BABATI,HAIDOM,HANANG,MTO WA MBU na Kwa Uchache ARUSHA ,Huitwa WAIRAQW (Wairaki)
Hivyo jina lao Huitwa WAIRAQW
Acha kujihami kiboya boyaHivi mmekwisha sikia habari za kijana Dunia kuiaga dunia huko Marekani ama lengo ni kuchambua wanawake wa kabila langu!
Lengo la mwandishi nishajua ni lipi. Hakuna kabila lenye tabia fulani, tabia ni hulka ya mtu husika
Mila na tamaduni zinaweza athiri tabia ya jamii husika , hauwezi kuta mpare yupo na watu wengine ila akaongea na mpare mwenzake kilughaHivi mmekwisha sikia habari za kijana Dunia kuiaga dunia huko Marekani ama lengo ni kuchambua wanawake wa kabila langu!
Lengo la mwandishi nishajua ni lipi. Hakuna kabila lenye tabia fulani, tabia ni hulka ya mtu husika
Kwa hiyo unataka kusema wanawake kutoka kwenye jamii yetu ya Iraqw ni m*lay*?Mila na tamaduni zinaweza athiri tabia ya jamii husika , hauwezi kuta mpare yupo na watu wengine ila akaongea na mpare mwenzake kilugha
Hapana sitaki kusema hivyoKwa hiyo unataka kusema wanawake kutoka kwenye jamii yetu ya Iraqw ni m*lay*?