Ni namna gani nzuri ya kutumia laptop kitandani na kuzuia isichemke sana?

Ni namna gani nzuri ya kutumia laptop kitandani na kuzuia isichemke sana?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
ffee.jpg

Binafsi mara kwa mara huwa napenda kutumia laprop kitandani, sasa unakuta latptop inakuwa yamoto si mchezo kwenye upande wa feni na hii huwa naona kabisa ni tatizo kwa laptop.

Tunawezaje kutatua hili tatizo?
 
Unatakiwa uweke kitu mfano daftari, counter book, kitabu n.k
 
Tafuta ambazo ni fanless, hizo zenye fan huwa zinakufa kama ukiendelea kuitumia umeziba vents za hewa kwa chini.
Au tumia kitabu, halafu weka laptop kwa juu make sure vents zipo wazi kupitisha upepo.
 
View attachment 2291462

Binafsi mara kwa mara huwa napenda kutumia laprop kitandani, sasa unakuta latptop inakuwa yamoto si mchezo kwenye upande wa feni na hii huwa naona kabisa ni tatizo kwa laptop.

Tunawezaje kutatua hili tatizo?
Mkuu siku hizi kuna laptop stand ambazo kwa chini pia zina kipoozeo joto
 
Back
Top Bottom