Binafsi mara kwa mara huwa napenda kutumia laprop kitandani, sasa unakuta latptop inakuwa yamoto si mchezo kwenye upande wa feni na hii huwa naona kabisa ni tatizo kwa laptop.
Tafuta ambazo ni fanless, hizo zenye fan huwa zinakufa kama ukiendelea kuitumia umeziba vents za hewa kwa chini.
Au tumia kitabu, halafu weka laptop kwa juu make sure vents zipo wazi kupitisha upepo.