Ni namna gani vita vya RUSSIA na UKRAINE vimeathiri utalii?

Ni namna gani vita vya RUSSIA na UKRAINE vimeathiri utalii?

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Tumejionea athari za kiuchumi hususani kupanda kwa bei ya mafuta nchini.
Swali langu ni Je sekta ya utalii Tanzania imeathirika au inatarajiwa kuathirika vipi katika kipindi hiki?
Ni kwa namna gani tunaweza kukabili mtikisiko huo?
 
watalii kutoka Ukraine na Russia wamekata, Na kule Zanzibar walikua ni wengi sana wanamiminika.
 
Kila kitu kitaathirika...

Hata maji yatupungua kwenye mabwawa sababu ya athari za vita...
 
Tutasikia Mengi Sana Kuhusu Vita
Baadaye Hata Watu Wakiachana Sababu Itakuwa Vita Tu!!
Look! Oops! Vita Ni Vita
 
Back
Top Bottom