jingalao JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 36,197 Reaction score 29,717 Apr 3, 2022 #1 Tumejionea athari za kiuchumi hususani kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Swali langu ni Je sekta ya utalii Tanzania imeathirika au inatarajiwa kuathirika vipi katika kipindi hiki? Ni kwa namna gani tunaweza kukabili mtikisiko huo?
Tumejionea athari za kiuchumi hususani kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Swali langu ni Je sekta ya utalii Tanzania imeathirika au inatarajiwa kuathirika vipi katika kipindi hiki? Ni kwa namna gani tunaweza kukabili mtikisiko huo?
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Apr 5, 2022 #2 watalii kutoka Ukraine na Russia wamekata, Na kule Zanzibar walikua ni wengi sana wanamiminika.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 5, 2022 #3 Kila kitu kitaathirika... Hata maji yatupungua kwenye mabwawa sababu ya athari za vita...
Underwood JF-Expert Member Joined Dec 25, 2020 Posts 1,909 Reaction score 3,120 Apr 5, 2022 #4 Hakuna mafuta ya kupikia watalii.
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Apr 5, 2022 #5 Tutasikia Mengi Sana Kuhusu Vita Baadaye Hata Watu Wakiachana Sababu Itakuwa Vita Tu!! Look! Oops! Vita Ni Vita
Tutasikia Mengi Sana Kuhusu Vita Baadaye Hata Watu Wakiachana Sababu Itakuwa Vita Tu!! Look! Oops! Vita Ni Vita