Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
Kuwa na balance katika yote ndio Bora zaidiNi ipi bora kwako katika kuishi na waja kati ya haya
1. kua busy na maisha yako bila kujali ya wengine,unachoshiriki ni misiba nasherehe ambazo utakua unaalikwa
2. kujipendekeza sio kwa ubaya mfano jambo halikuhusu lakini unaona una uwezo wa kulifanya na likawa ukafanya
3. wewe ni mama / baba huruma yan kama mshumaa kufaidisha wengine wewe unateketea
kuelekea mwaka mpya kipi unaona ni sahihi kwako katika kuishi na walimwengu?
how?? unawezaje kubalanceKuwa na balance katika yote ndio Bora zaidi
Kama unaweza toa msaada penye uhitaji na kushiriki misiba,sherehe na kuwa bize na mambo Yako na kujali muda hasa!Pia kutofanya mambo kwa kjionyesha bila sababu za msingi.Heshimu muda lakini pia heshimu watu wanaokuzunguka wenye kujitambua.how?? unawezaje kubalance
anhaa okayKama unaweza toa msaada penye uhitaji na kushiriki misiba,sherehe na kuwa bize na mambo Yako na kujali muda hasa!Pia kutofanya mambo kwa kjionyesha bila sababu za msingi.Heshimu muda lakini pia heshimu watu wanaokuzunguka wenye kujitambua.
kwamba hujui namna ya kuishi watu mzee?Huwa wanaweka nachaguo la Sijui, maybe ningekuwa huko
hapo kwenye kujichanganya tuseme unaikuta mostly wewe ndio unatumika sana like kusalimia mtu hasa unapojua n mgonjwa ila ww ukiumwa nakuhakikishia utaumwa had utapona hakuna mtu anakuja kukuulizia,Binafsi huwa naamini mafanikio ni watu. Ni vyema kuwa nao karibu, muhimu ni kujua wewe ni nani, na unafanya nini. Watumie kama ngazi. Jichanganye nao. Usisahau ww n nani.
Kuishi namtu asiyeeleweka nibora nawewe usieleweke pia..kwamba hujui namna ya kuishi watu mzee?
Ni kweli, katika watu kumi utakaojichanganya nao huez kosa wawili watakaokufaa. Hii itakuwa bora kuliko kujikeep busy mwenyewe coz kuna vitu utakosa.hapo kwenye kujichanganya tuseme unaikuta mostly wewe ndio unatumika sana like kusalimia mtu hasa unapojua n mgonjwa ila ww ukiumwa nakuhakikishia utaumwa had utapona hakuna mtu anakuja kukuulizia,
kabisaKuishi namtu asiyeeleweka nibora nawewe usieleweke pia..
sasa ntakosa vitu gani kuchangamana na watu ambao naona hatuendani? si bora nifunge vioo?Ni kweli, katika watu kumi utakaojichanganya nao huez kosa wawili watakaokufaa. Hii itakuwa bora kuliko kujikeep busy mwenyewe coz kuna vitu utakosa.
hahaha umenichekeshaMuumba mwenyew hataki ukaribu na watu, je wew ni nani mpak upende kuwa karibu na watu
best kuna umuhim wake kuishi na watu vizur inawezekana kwenu ni mbali kabisa lakini ukapata tatizo jirani yako akawa wa kwanza kukustiri kuliko ndugu yakoFuata maisha yako , tii sheria za nchi basi .
Soma Qur'an imetufundisha namna ya kuishi na watu.Ni ipi bora kwako katika kuishi na waja kati ya haya
1. Kua busy na maisha yako bila kujali ya wengine, unachoshiriki ni misiba nasherehe ambazo utakua unaalikwa
2. Kujipendekeza sio kwa ubaya mfano jambo halikuhusu lakini unaona una uwezo wa kulifanya na likawa ukafanya.
3. Wewe ni mama / baba huruma yan kama mshumaa kufaidisha wengine wewe unateketea kuelekea mwaka mpya kipi unaona ni sahihi kwako katika kuishi na walimwengu?
shea hapa namna ya kuishi na watu na hio aya iliyitajwa katika Quran sio wote tumeisoma na tunaijua kwa manufaa ya sisi tusiojuaSoma Qur';an imetufundisha namna ya kuishi na wayu.
Asikudanganye mtu kuwa Qur'an ni kwa ajili ya Waislam tu, Qur'an ni kwa walimwengu wote.
Mwongozo wa maisha kamili hautaupata nje ya Qur'an.
Ungetuelezea kidogo basi Bi Faiza.Soma Qur';an imetufundisha namna ya kuishi na wayu.
Asikudanganye mtu kuwa Qur'an ni kwa ajili ya Waislam tu, Qur'an ni kwa walimwengu wote.
Mwongozo wa maisha kamili hautaupata nje ya Qur'an.