Ni namna ipi bora kwako kuishi na watu?

Ni namna ipi bora kwako kuishi na watu?

Namba moja ndio bora zaidi kwangu, ishi maisha yako usijipendekeze kwa mtu, ila usiwafungie milango ya kukusogelea, kuwa mtu flani simple mbele zao vitu vidogo kama salamu usisite kuwapa ili pakitokea tukio wasisite kukushirikisha, haya maisha ukijishusha sana kwa wajinga watakuona bwege, unaweza kuja kuiweka rehani heshima yako.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
kuna hii nayo kuna sehem waja wa mji huo hata uwasalimie kwa bashasha huku ukijali hamsni zako bado watakutoa nishai unaishije nao bila kuwafubgia vioo zaidi ni salam tu?
 
Njia bora ya kuishi na watu ni kuwa na Higher self-care than giving care ,yaani hakikisha MUDA wako mwingi na rasilimali zako unazitumia kwako kwanza na muda mchache unautumia kwa majirani au ndugu marafiki .n.k

Kikawaida binadamu huwa anamchoka MTU hasa akikaa naye muda mrefu hivyo hivyo ili uheshimike na kupata thamani, tumia muda mwingi katika mambo yanayokuhusu wewe na familia yako.

Hasa wanwake usijenge nao mazoea ya kukaa nao muda mrefu mtaishia kugombana .

Jambo la mwisho usikubali MTU akuletee habari za umbea na endapo akazileta wewe itikia ndio tu usichangie chochote.
 
Back
Top Bottom