Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
- Thread starter
- #41
hawakawii kukuambia unaringa binadam hata umtendee wema kias gan bado atatafta kialam cha kukuchafua na ukachafuka kwelikweli hatujawah kua na shukranMimi unaweza kupita mwezi na zaidi sijaonana na majirani kabisa. Kazini na nyumbani kwangu ndani basi, sitoki wala sina story na mtu.
Likitokea jambo la kushiriki sawa, tena yale ya kiubinadamu sio hayo mambo ya shughuli za kiswahili.