Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
- Thread starter
-
- #41
hawakawii kukuambia unaringa binadam hata umtendee wema kias gan bado atatafta kialam cha kukuchafua na ukachafuka kwelikweli hatujawah kua na shukranMimi unaweza kupita mwezi na zaidi sijaonana na majirani kabisa. Kazini na nyumbani kwangu ndani basi, sitoki wala sina story na mtu.
Likitokea jambo la kushiriki sawa, tena yale ya kiubinadamu sio hayo mambo ya shughuli za kiswahili.
We ni GOATMimi ni team namba 1 maisha yangu yote.
Mimi na mambo yangu tu.
Ukitokea msiba nipo mbele katika kushiriki kwa hali zote, shughuli kwakweli ni za ndugu tu au marafiki wa karibu sana maana sina mashoga wala vikundi vya kutunzana sijui nini.
Naweza kukaa hadi miaka 3/4-5 sijahudhuria shughuli yoyote!
Unajiepusha na mengi sana[emoji122]Mimi unaweza kupita mwezi na zaidi sijaonana na majirani kabisa. Kazini na nyumbani kwangu ndani basi, sitoki wala sina story na mtu.
Likitokea jambo la kushiriki sawa, tena yale ya kiubinadamu sio hayo mambo ya shughuli za kiswahili.
Huwa wanasema hivyo na kwani najali sasa? Ukiamua maisha yako hutakiwi kusikiliza watu.hawakawii kukuambia unaringa binadam hata umtendee wema kias gan bado atatafta kialam cha kukuchafua na ukachafuka kwelikweli hatujawah kua na shukran
hata mm naona ni sahihi kufanya hivyo kuishi maisha yako as long as humbugudhi mtuHuwa wanasema hivyo na kwani najali sasa? Ukiamua maisha yako hutakiwi kusikiliza watu.
Ni ipi bora kwako katika kuishi na waja kati ya haya
1. Kua busy na maisha yako bila kujali ya wengine, unachoshiriki ni misiba nasherehe ambazo utakua unaalikwa
2. Kujipendekeza sio kwa ubaya mfano jambo halikuhusu lakini unaona una uwezo wa kulifanya na likawa ukafanya.
3. Wewe ni mama / baba huruma yan kama mshumaa kufaidisha wengine wewe unateketea kuelekea mwaka mpya kipi unaona ni sahihi kwako katika kuishi na walimwengu?
Whoever is going to be your wife is the luckiest woman ever! ππΎππΎ1. Vaa kwa namna unavyotaka watu wakuheshimu au kukuchukulia kwa namna hiyo.
2. Sikiliza zaidi kuliko kuongea, ndiyo maana una mdomo mmoja, ila masikio unayo mawili.
3. Kuwa muwazi na epuka kusema uongo ili tu kufanya mazungumzo yako yapendeze.
4. Jizoeshe kuwashukuru wengine na uwe na unyenyekevu wa kweli.
5. Jiamini unavyowaendea wengine, unavyotembea, unavyoongea n.k
6. Usiwe na kiburi.
Ova
ja unawajua lakini1. Vaa kwa namna unavyotaka watu wakuheshimu au kukuchukulia kwa namna hiyo.
2. Sikiliza zaidi kuliko kuongea, ndiyo maana una mdomo mmoja, ila masikio unayo mawili.
3. Kuwa muwazi na epuka kusema uongo ili tu kufanya mazungumzo yako yapendeze.
4. Jizoeshe kuwashukuru wengine na uwe na unyenyekevu wa kweli.
5. Jiamini unavyowaendea wengine, unavyotembea, unavyoongea n.k
6. Usiwe na kiburi.
Ova
shost huyo ndio mumeo?Whoever is going to be your wife is the luckiest woman ever! ππΎππΎ
What a great man to have as a husband & life partner?
kitu pekee ni kujali amani ya moyo wako fanya vile moyo wako unapenda as long as humbugudh mwengineKuwa bize na Mambo yako
Fanya kitu sahihi katika eneo sahihi na katika wakati sahihi
okayNiko namba 1 ila na apply 2 na 3 inapobidi
Wewe unamuonaje kwa alivyosema? Ananifaa? πshost huyo ndio mumeo?
nimeona tu mnavyojibizana kwa sentensi zilizojaa huba lenye kujificha ndio mana nikaulizaWewe unamuonaje kwa alivyosema? Ananifaa? π
at least wewe unamake senseNaishi hivi, fanya hivi.
1.Mind your own shit. Do not give a rat's tit about others affairs.
2.Listen more than talking.
3. Do not give advice, until you have been asked to. Ukiweza hata ukiombwa ushauri kataa.
Usiwe kama mkaldayo Maghayo kujifanya myahudi kumbe ni mfukuza mikia ya ng'ombe wa hapa Loitoktok
safi sanaKuishi kwa Upendo na Kila mtu, kushirikiana na watu kwenye matukio fualani ila unatakiwa uwe na kiasi