Ni namna ipi nzuri ya kuishi na mwanamke anayependa kuelezea mambo yenu ya faragha kwa marafiki zake?

Ni namna ipi nzuri ya kuishi na mwanamke anayependa kuelezea mambo yenu ya faragha kwa marafiki zake?

Habari zenu wakuu..

Duniani hapa kuna mambo ya kustaajabisha sana. Huenda labda kwakuwa kila mmoja na hulka yake ndio maana mambo ya kustaajabisha yanazidi kutokea kila uchwao.

Nina huyo wife, sijajua sababu ya furaha zake au vinginevyo, au kutaka aonekane bora kwa wenzake basi mambo mengi ya sirini kati yetu hupenda kuyatoa kwa rafiki zake huko. Sikuwahi kujua before.

Leo majira ya asubuhi aliniaga anatoka kwenda hospitali kumpeleka mtoto kwakuwa ana dalili za homa, ila hakuondoka na simu yake kubwa akabeba kisimu kadogo. Kwakuwa nilibaki peke yangu, ikabidi nianze kupekua huku na kule kunako simu yake kwakuwa pattern yake ni nyepesi tu.

Katika kuzunguka huku na huko nikaenda Whatsapp kwake kuona kuna nini cha zaidi. Nikaanza kupitia chattings baadhi. Nikakutana na messages akiwa kachat na watu kama watatu ambao ni marafiki zake. Mmoja nilifanikiwa kumtambua kwa DP yake, huwa anafanya biashara za uwakala.

Mambo niliyokuta humo ni ya ajabu ajabu tu, nimeona majadiliano ya kuhusu sisi waume zao. Yule kaeleza mambo yake humo kuhusu mumewe na huyu wangu kamwaga mambo kibao tu ambayo huwa tunayafanya ya faragha ikiwa pamoja na anapelekaje moto, maumbile na mengine mengi kama hayo. Imenishangaza sana na sikutegemea wakuu. Ukizingatia ofisini kwa huyo dada huwa naenda mara kadhaa kupata huduma, kuna utani huwa anaufanya kwangu nauchukulia kawaida ambao leo ndio nimeunganisha dots na kuelewa kuwa unatokana na hayo mazungumzo yao.

Binafsi huwa sipendi habari zangu za faragha kusambaa kwa watu hasa ambao wapo mazingira ninayokuwepo, sababu ni kama kuvuliwa nguo. Sijamueleza chochote wife kuhusu hilo, ila ningependa kupata busara kwa wajuzi waliowahi kukumbana na kadhia kama hii, mliwezaje kudeal na hili au kuwaeleza wahusika ukizingatia mimi nimekagua simuni mwake pasipo ridhaa yake?

Imeniumiza sana..
Kama hana makando kando mengine mzee we kausha kama hakuna kitu kilichotokea endelea na maisha kama kawaida Hawa viumbe bhn are so complicated unaweza mwambia Kwa njia nzuri ikawa chanzo cha ugomvi mkubwa sana next time Kwa amani ya akili Yako achana na kupekua simu isiyo Yako haijalishi ya nani utakuja kufa Kwa stress za watu
 
Nashukuru sana mkuu, maneno ya busara sana
 
Umenikumbusha G wang wa kitambo ana shosti wake pika nipakue afu simpendi.
G wangu na huyu shosti wake ni watu wa outing kwa sana. Siku tuko pamoja akashindwa kutoka nae ikabidi bibie atafute marafiki wengine.
Kesho yake akampigia G wangu ampe habari outing ya jana ilikuaje.
Walikutana na washikaji flani wakatoka wakanywa sana, baadae usiku sana wakatawanyika yeye akaondoka na mmoja ya washikaji. Anahadithia mshikaji baada ya kufika Hotel alipiga kimoja chwaa cha sekunde akalala, ila asubuh sasa jamaa alipiga masaa matatu bila kupumzika, na alikua kiungo kiko sawa, bibie akawa analalama kila kitu kinamuuma hasa jamaa alikua anipiga upande mmoja sana so nyonga inamuua sana hapo analaani na kusonya. Nikajua hapa hata habari zako pia zishauzwa
 
Inategemea na akili ya g wako kama naye anasimliaga mambo yenu hapo sawa, ila kusimliwa haimaanishi kama na yeye anasimliaga!
 
Kama una kibamia basi umeumia Maana friji la mke wako lina hasara kwako zaidi ya faida 😂😂
 
Back
Top Bottom