Ni namna ipi nzuri ya kuishi na mwanamke anayependa kuelezea mambo yenu ya faragha kwa marafiki zake?

Ni namna ipi nzuri ya kuishi na mwanamke anayependa kuelezea mambo yenu ya faragha kwa marafiki zake?

Habari zenu wakuu..

Duniani hapa kuna mambo ya kustaajabisha sana. Huenda labda kwakuwa kila mmoja na hulka yake ndio maana mambo ya kustaajabisha yanazidi kutokea kila uchwao.

Nina huyo wife, sijajua sababu ya furaha zake au vinginevyo, au kutaka aonekane bora kwa wenzake basi mambo mengi ya sirini kati yetu hupenda kuyatoa kwa rafiki zake huko. Sikuwahi kujua before.

Leo majira ya asubuhi aliniaga anatoka kwenda hospitali kumpeleka mtoto kwakuwa ana dalili za homa, ila hakuondoka na simu yake kubwa akabeba kisimu kadogo. Kwakuwa nilibaki peke yangu, ikabidi nianze kupekua huku na kule kunako simu yake kwakuwa pattern yake ni nyepesi tu.

Katika kuzunguka huku na huko nikaenda Whatsapp kwake kuona kuna nini cha zaidi. Nikaanza kupitia chattings baadhi. Nikakutana na messages akiwa kachat na watu kama watatu ambao ni marafiki zake. Mmoja nilifanikiwa kumtambua kwa DP yake, huwa anafanya biashara za uwakala.

Mambo niliyokuta humo ni ya ajabu ajabu tu, nimeona majadiliano ya kuhusu sisi waume zao. Yule kaeleza mambo yake humo kuhusu mumewe na huyu wangu kamwaga mambo kibao tu ambayo huwa tunayafanya ya faragha ikiwa pamoja na anapelekaje moto, maumbile na mengine mengi kama hayo. Imenishangaza sana na sikutegemea wakuu. Ukizingatia ofisini kwa huyo dada huwa naenda mara kadhaa kupata huduma, kuna utani huwa anaufanya kwangu nauchukulia kawaida ambao leo ndio nimeunganisha dots na kuelewa kuwa unatokana na hayo mazungumzo yao.

Binafsi huwa sipendi habari zangu za faragha kusambaa kwa watu hasa ambao wapo mazingira ninayokuwepo, sababu ni kama kuvuliwa nguo. Sijamueleza chochote wife kuhusu hilo, ila ningependa kupata busara kwa wajuzi waliowahi kukumbana na kadhia kama hii, mliwezaje kudeal na hili au kuwaeleza wahusika ukizingatia mimi nimekagua simuni mwake pasipo ridhaa yake?

Imeniumiza sana..
Kutomshirikisha jambo lolote la kifamilia linalohitaji usiri
 
Tunapiga stori, tunakula, tunakunywa.
Wanasukana, wanapiga umbea, wananitania.
Hawaruhusiwi kutaniana. Wanaruhusiwa kunitania watakavyo.

Wananishambulia hao😃😄 Siku nyingine wananichangia wanipige. Basi mambo matamu kweli.

Nimewafundisha kuogelea, tunaendaga kukata maji. Club.

Kuhusu bajeti.
Kwanza wote wanakazi.
Pili, kila mmoja anajukumu lake kuu ndani ya familia.
Bajeti ya mwaka inafahamika.
Kila mtu anahela yake ya matumizi ambayo hataulizwa katumiaje.

Kila mtu anatoa percentage ya hela ya maendeleo.
Kila mmoja anamradi wake kulingana na elimu, taaluma na vipaji vyake.

Kila mmoja atarithi Mali za mumewe kadiri ya alivyochangia.
Mimi kazi yangu ni kama Mastermind, Game planer, Supervisor, Kiongozi na wanachukua na kufuata kile nitakachowaagiza.

Wanafuraha kuwa Wake za Mtibeli.
No fujo
 
Mimi kazi yangu ni kama Mastermind, Game planer, Supervisor, Kiongozi na wanachukua na kufuata kile nitakachowaagiza. Una wakeljflftffgd

Wanafuraha kuwa Wake za Mtibeli.
No fujo
L
Tunapiga stori, tunakula, tunakunywa.
Wanasukana, wanapiga umbea, wananitania.
Hawaruhusiwi kutaniana. Wanaruhusiwa kunitania watakavyo.

Wananishambulia hao😃😄 Siku nyingine wananichangia wanipige. Basi mambo matamu kweli.

Nimewafundisha kuogelea, tunaendaga kukata maji. Club.

Kuhusu bajeti.
Kwanza wote wanakazi.
Pili, kila mmoja anajukumu lake kuu ndani ya familia.
Bajeti ya mwaka inafahamika.
Kila mtu anahela yake ya matumizi ambayo hataulizwa katumiaje.

Kila mtu anatoa percentage ya hela ya maendeleo.
Kila mmoja anamradi wake kulingana na elimu, taaluma na vipaji vyake.

Kila mmoja atarithi Mali za mumewe kadiri ya alivyochangia.
Mimi kazi yangu ni kama Mastermind, Game planer, Supervisor, Kiongozi na wanachukua na kufuata kile nitakachowaagiza.

Wanafuraha kuwa Wake za Mtibeli.
No fujo
Sikuwahi kuhisi hisia za kikobaz ndani yako

Lakini ikiwa kama jinsi ilivyo Shikamoo broo

Mimi mdogo wako mmoja tu, walimwengu wananionea huruma
 
kuna utani huwa anaufanya kwangu nauchukulia kawaida ambao leo ndio nimeunganisha dots na kuelewa kuwa unatokana na hayo mazungumzo yao.....
Kwa Hiyo Bado Unajifanya Mtoto..Si Ndio...Ewe Mtu Mzima...​
 
Sina hakika kuna mwanaume anaweza kuelezea mambo yake na mkewe wa ndoa kabisa kwa wanaume wenzake. Sanasana michepuko sababu haina athari kama mke. Ukitoa ya mkeo unaihatarisha ndoa mkuu
Acha uongo, wanaume ndo tunaongoza Kwa stori za kuchakata. Iwe mke, iwe nani tena sisi ndo hatuna hiyana. Mwanaume yupo radhi kabisa amwambie hata mwanamke mwingine(mchepuko) utamu wa mkewe. Ili mchepuko uongeze makeke
 
L
Sikuwahi kuhisi hisia za kikobaz ndani yako

Lakini ikiwa kama jinsi ilivyo Shikamoo broo

Mimi mdogo wako moja tu, walimwengu wananionea huruma

Mimi ni Mtibeli Mkuu.
Watibeli tunaoa Wake wengi sio mmoja au kumi na Moja.
Kadiri ya mahitaji na malengo.

Marhaba. Sio jambo la ajabu hilo. Ila ni hakika ninajivunia nalo. Kuwa na Wanawake wazuri kama hawa wawili na mambo yanakuwa mazuri, wanafuraha, ninafuraha. Watoto wanafuraha. Ninashukuru kwa kweli.

Walimwengu wanakuonea huruma kwa huyo mmoja uliyenaye?
Kwamba anakusumbua?
Au wanakuonea huruma kivipi?
 
HAKUNA NAMNA BALI KUACHANA NAE AU KUISHI NAE KAMA ALIVYO.
 
kuna utani huwa anaufanya kwangu nauchukulia kawaida ambao leo ndio nimeunganisha dots na kuelewa kuwa unatokana na hayo mazungumzo yao.....
Kwa Hiyo Bado Unajifanya Mtoto..Si Ndio...Ewe Mtu Mzima...​
Kwamba nipeleke megawatts
 
Acha uongo, wanaume ndo tunaongoza Kwa stori za kuchakata. Iwe mke, iwe nani tena sisi ndo hatuna hiyana. Mwanaume yupo radhi kabisa amwambie hata mwanamke mwingine(mchepuko) utamu wa mkewe. Ili mchepuko uongeze makeke
Unaweza kumueleza mwanaume mwenzako kwamba mkeo ni mtamu na jinsi anavyokupa?
 
Back
Top Bottom