Ni namna ipi nzuri ya kuishi na mwanamke anayependa kuelezea mambo yenu ya faragha kwa marafiki zake?

Siku mkiwa faragha, fanya kitu cha tofauti, aidha punguza kasi kwa asilimia kubwa sana au fanya kwa uvivu uliopitiliza yaani kuwa underwhelming kwa makusudi.

Akipeleka huo umbeya kesho, ataishia kukutana na kejeli kutoka kwa huyo shoga yake , jambo ambalo litamfanya ajisikie vibaya, atajistukia mwenyewe kwa nini anapeleka ripoti za uongo au za aibu kwa mashoga zake.

Ikiwezekana perform kwa kiwango cha chini kwa zaidi hata ya week mbili halafu, tulia kuusoma mchezo unaendaje, je ataendelea kupeleka umbeya au ataacha.
 
Habari zenu wakuu..

Duniani hapa kuna mambo ya kustaajabisha sana. Huenda labda kwakuwa kila mmoja na hulka yake ndio maana mambo ya kustaajabisha yanazidi kutokea kila uchwao.

Nina huyo wife, sijajua sababu ya furaha zake au vinginevyo, au kutaka aonekane bora kwa wenzake basi mambo mengi ya sirini kati yetu hupenda kuyatoa kwa rafiki zake huko. Sikuwahi kujua before.

Leo majira ya asubuhi aliniaga anatoka kwenda hospitali kumpeleka mtoto kwakuwa ana dalili za homa, ila hakuondoka na simu yake kubwa akabeba kisimu kadogo. Kwakuwa nilibaki peke yangu, ikabidi nianze kupekua huku na kule kunako simu yake kwakuwa pattern yake ni nyepesi tu.

Katika kuzunguka huku na huko nikaenda Whatsapp kwake kuona kuna nini cha zaidi. Nikaanza kupitia chattings baadhi. Nikakutana na messages akiwa kachat na watu kama watatu ambao ni marafiki zake. Mmoja nilifanikiwa kumtambua kwa DP yake, huwa anafanya biashara za uwakala.

Mambo niliyokuta humo ni ya ajabu ajabu tu, nimeona majadiliano ya kuhusu sisi waume zao. Yule kaeleza mambo yake humo kuhusu mumewe na huyu wangu kamwaga mambo kibao tu ambayo huwa tunayafanya ya faragha ikiwa pamoja na anapelekaje moto, maumbile na mengine mengi kama hayo. Imenishangaza sana na sikutegemea wakuu. Ukizingatia ofisini kwa huyo dada huwa naenda mara kadhaa kupata huduma, kuna utani huwa anaufanya kwangu nauchukulia kawaida ambao leo ndio nimeunganisha dots na kuelewa kuwa unatokana na hayo mazungumzo yao.

Binafsi huwa sipendi habari zangu za faragha kusambaa kwa watu hasa ambao wapo mazingira ninayokuwepo, sababu ni kama kuvuliwa nguo. Sijamueleza chochote wife kuhusu hilo, ila ningependa kupata busara kwa wajuzi waliowahi kukumbana na kadhia kama hii, mliwezaje kudeal na hili au kuwaeleza wahusika ukizingatia mimi nimekagua simuni mwake pasipo ridhaa yake?

Imeniumiza sana..
Ana hatari sana mwanaume anayeamini siri zake kwa mke wake. Wanawake wote ndivyo walivyo, hawawezi kukaa na siri kifuani, lazima atamtafuta shost yake anayemwamini na kumweleza.

Huko kwenye saloon zao kuna mambo mengi sana wanajadili humo, especially ya ndani kabisa ya familia, na siyo huko saloon tu., wana physical platforms nyingi sana za kudokezeana masuala kama hayo.

Lastly, umekipata ulichokuwa unakitafuta. We kwanini ukague simu ya mke wako? Huamini kama anakupenda? Bora umekuta tu chats na mashost zake,... Je, ungekuta pia anachepuka?... What the Hell were you even thinking??? Stop that man. and you stop that Fast.
 
Habari zenu wakuu..

Duniani hapa kuna mambo ya kustaajabisha sana. Huenda labda kwakuwa kila mmoja na hulka yake ndio maana mambo ya kustaajabisha yanazidi kutokea kila uchwao.

Nina huyo wife, sijajua sababu ya furaha zake au vinginevyo, au kutaka aonekane bora kwa wenzake basi mambo mengi ya sirini kati yetu hupenda kuyatoa kwa rafiki zake huko. Sikuwahi kujua before.

Leo majira ya asubuhi aliniaga anatoka kwenda hospitali kumpeleka mtoto kwakuwa ana dalili za homa, ila hakuondoka na simu yake kubwa akabeba kisimu kadogo. Kwakuwa nilibaki peke yangu, ikabidi nianze kupekua huku na kule kunako simu yake kwakuwa pattern yake ni nyepesi tu.

Katika kuzunguka huku na huko nikaenda Whatsapp kwake kuona kuna nini cha zaidi. Nikaanza kupitia chattings baadhi. Nikakutana na messages akiwa kachat na watu kama watatu ambao ni marafiki zake. Mmoja nilifanikiwa kumtambua kwa DP yake, huwa anafanya biashara za uwakala.

Mambo niliyokuta humo ni ya ajabu ajabu tu, nimeona majadiliano ya kuhusu sisi waume zao. Yule kaeleza mambo yake humo kuhusu mumewe na huyu wangu kamwaga mambo kibao tu ambayo huwa tunayafanya ya faragha ikiwa pamoja na anapelekaje moto, maumbile na mengine mengi kama hayo. Imenishangaza sana na sikutegemea wakuu. Ukizingatia ofisini kwa huyo dada huwa naenda mara kadhaa kupata huduma, kuna utani huwa anaufanya kwangu nauchukulia kawaida ambao leo ndio nimeunganisha dots na kuelewa kuwa unatokana na hayo mazungumzo yao.

Binafsi huwa sipendi habari zangu za faragha kusambaa kwa watu hasa ambao wapo mazingira ninayokuwepo, sababu ni kama kuvuliwa nguo. Sijamueleza chochote wife kuhusu hilo, ila ningependa kupata busara kwa wajuzi waliowahi kukumbana na kadhia kama hii, mliwezaje kudeal na hili au kuwaeleza wahusika ukizingatia mimi nimekagua simuni mwake pasipo ridhaa yake?

Imeniumiza sana..
Pole kwa changamoto, usimhukumu pengine tu anajihusisha na marafiki wa ovyo na hulka yake ni yeye pia kuchangia mada zisizo na maadili kwa wanandoa..Nashauri omba kibali kwa Mungu akupe hekima ya kuzungumza nae maana unaweza anzisha kesi ya meseji. Ongea nae kwa hekima how this has made you feel. hili ni lenu tu wawili usilipeke kujidhalilisha ukweni au kwenu😁
 
Isije ikawa ni Mariam nisaulie, mshangazi nginjanginja wa ngoma baikoko anaezungusha uno kabebelea kisinia na tako moja aloooo....😜
 
Kwakuwa keshakuvua nguo na kasimulia ufanisi wako kwa hao mashoga zake, wewe peleka moto tu kwa hao wote. Tena anza na huyo wakala wa mitandao ili awe wakala halisi wa kitombo chako kwa the rest.
Mpaka mzunguko unaisha, taarifa zitakuwa zimemfikia huyo mkeo.
Wakati ukiwa kwenye mpango mkakati wa kuwachakata hao wengine, jipe likizo kwanza kwa mkeo mpaka waishe wote.
Akimind sana, ndo wakati wa kumpa makavu kwamba ujinga wake wa kukutangaza kwa mashoga zake, ndo umempoza.
 
Back
Top Bottom