😀😀 utauponzaMimi ukianza kunisimlia tu naanza kuvuta picha naanza kumtamani namimi nimuonje🤣
Wa pili hawezi kuwa halali bwana huyo ni kimada
Mpaka akienda kupata huduma kwenye ofisi ya shemeji, shemeji anamtania unafikiri kuna shughuli tena hapoHapo ukibonyeza tu kwa shemeji,waleteeee!
Wanafahamiana??Wawili Mkuu!
Wanafahamiana??
Duh,Wanajuana ndio. Na wanashirikiana.
Mmoja 11 yrs wapili 4yrs
Duh,
Siku utufungulie hii code mkuu
Natoroka🤭😀😀 utauponza
Ufike ukute hamna hata kilichopo kwenye simulizi
Gentleman,Habari zenu wakuu..
Duniani hapa kuna mambo ya kustaajabisha sana. Huenda labda kwakuwa kila mmoja na hulka yake ndio maana mambo ya kustaajabisha yanazidi kutokea kila uchwao.
Nina huyo wife, sijajua sababu ya furaha zake au vinginevyo, au kutaka aonekane bora kwa wenzake basi mambo mengi ya sirini kati yetu hupenda kuyatoa kwa rafiki zake huko. Sikuwahi kujua before.
Leo majira ya asubuhi aliniaga anatoka kwenda hospitali kumpeleka mtoto kwakuwa ana dalili za homa, ila hakuondoka na simu yake kubwa akabeba kisimu kadogo. Kwakuwa nilibaki peke yangu, ikabidi nianze kupekua huku na kule kunako simu yake kwakuwa pattern yake ni nyepesi tu.
Katika kuzunguka huku na huko nikaenda Whatsapp kwake kuona kuna nini cha zaidi. Nikaanza kupitia chattings baadhi. Nikakutana na messages akiwa kachat na watu kama watatu ambao ni marafiki zake. Mmoja nilifanikiwa kumtambua kwa DP yake, huwa anafanya biashara za uwakala.
Mambo niliyokuta humo ni ya ajabu ajabu tu, nimeona majadiliano ya kuhusu sisi waume zao. Yule kaeleza mambo yake humo kuhusu mumewe na huyu wangu kamwaga mambo kibao tu ambayo huwa tunayafanya ya faragha ikiwa pamoja na anapelekaje moto, maumbile na mengine mengi kama hayo. Imenishangaza sana na sikutegemea wakuu. Ukizingatia ofisini kwa huyo dada huwa naenda mara kadhaa kupata huduma, kuna utani huwa anaufanya kwangu nauchukulia kawaida ambao leo ndio nimeunganisha dots na kuelewa kuwa unatokana na hayo mazungumzo yao.
Binafsi huwa sipendi habari zangu za faragha kusambaa kwa watu hasa ambao wapo mazingira ninayokuwepo, sababu ni kama kuvuliwa nguo. Sijamueleza chochote wife kuhusu hilo, ila ningependa kupata busara kwa wajuzi waliowahi kukumbana na kadhia kama hii, mliwezaje kudeal na hili au kuwaeleza wahusika ukizingatia mimi nimekagua simuni mwake pasipo ridhaa yake?
Imeniumiza sana..
Kama kuna kaukweli hapaWe jiandae tu kujipigia mashemeji kiulaniiii!!!!!!
Tena kama unayo kubwa na baharii unadeki bhaasi!!!!!!!!!!!
Mashemeji tunasubiri uoga wa ndoa changa uishe tuishi humo.
Sijamueleza bado. Nilikuwa nafikiria namna nzuri ya kumueleza sababu nimejua kwa kupekua simu yakeKama hiyo ndio hulk yake na umeongea nae hajakuelewa basi.... tambua kwamba huyo ndio alivyo na mengine sioni kama inafaa kukushauri maana yapo ndani ya uwezo wako.
Yaani namaanisha niwewe ndie mwenye kufaham kama unaweza ukavumilia hiyo tabia yake ama hauwezi ukavumilia and the rest itabaki kua historia.
Hahahahhmrudishe kwao akafundwe
Mkuu kama huyo wakala, yaani utani wake kila akiniona utasikia "aah shem mwenye mabalaa yake"Hapo ukibonyeza tu kwa shemeji,waleteeee!
Mkuu nategemea busara zako hapa. Suluhu inaweza kuwa nini kukomesha kwa huyu extrovertExtroverts habit.. Ni ngumu kuacha!
Kwani kuna anaenifahamu humu? Na sijaweka kama tangazo, athari ya huku ninapoishi wale wanaopatiwa habari ninaweza kuonana nao. Humu tutaonana wapi?Wewe unayeleta mtandaoni maswala ya ndoa yako ufanywe nini? Mbona kama mmekutana wote bado watoto
Changamoto ni mke wa mtu.. nawaogopa sana hao maana nishafumaniwa mnoMpaka akienda kupata huduma kwenye ofisi ya shemeji, shemeji anamtania unafikiri kuna shughuli tena hapo