mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
ndio mkuu ni kitu kimoja. tenth au tithes.Zaka na fungu la kumi ni sawa/kitu kimoja?
Kiwango kilipangwa na watu au kimetoka kwenye maandiko?
Naomba kujuzwa
hapana hili sio sawa fungu la kumi linatolewa kanisani.Mkuu hata ukitoa kwa wahitaji ambao wasiojiweza ni sawa tuu.
Fungu la kumi ni Sadaka au sio sadaka ?H
hapana hili sio sawa fungu la kumi linatolewa kanisani.
ukitoa kwa wahitaji hiyo ni sadaka nyingine na inabaraka zake lakini jukumu la fungu la kumi ni kulijenga kanisa ikiwa ni pamoja na kugharamia ujenzi na uendeshaji wa kanisa na wala si fedha za mchungaji.
ni sadaka.Fungu la kumi ni Sadaka au sio sadaka ?
Nijibu hilo kwanza
Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
Binafsi napenda na ninajisikia faraja pale ninapo toa fungu la kumi kwa wasio jiweza, wagonjwa, walemavu napia watoto yatima. Zaidi ya hapo, nadhani imani ya dini yako (Msahaf/biblia) pamoja na utashi ni jambo kubwa na muhimu ili kukuongoza kwenye kile unacho kiamini.
Alafu msijifanye hamna masikio na midomo, maandiko yapo wazi kuhusu utoaji wa Zaka na Sadaka.Kutoa fungu la kumi ni agizo la agano la kale ikumbukwe hili lilikuwa sharti la kila mwenye kupata zao au mfugo alete sehemu ya kumi ya pato hekaluni (mambo ya walawi 27:30; hesabu 18:26; kumbukumbu la torati 14;24; mambo ya nyakati ya pili 31:5).
Agano jipya halina pahala linazungumzia fungu la kumi. Ila fahamu tu 10th ni biblical
Haijawekwa na watu hii ni Mungu ametoa mwenyeweNilivyosema kiwango nilimaanisha 1/10.
Je kimewekwa na watu au?
Na muda wa kutoa zaka/fungu la 10 ni upi?
Binafsi napenda na ninajisikia faraja pale ninapo toa fungu la kumi kwa wasio jiweza, wagonjwa, walemavu napia watoto yatima. Zaidi ya hapo, nadhani imani ya dini yako (Msahaf/biblia) pamoja na utashi ni jambo kubwa na muhimu ili kukuongoza kwenye kile unacho kiamini.
Anania na safila hao sio wa agano jipya?Kutoa fungu la kumi ni agizo la agano la kale ikumbukwe hili lilikuwa sharti la kila mwenye kupata zao au mfugo alete sehemu ya kumi ya pato hekaluni (mambo ya walawi 27:30; hesabu 18:26; kumbukumbu la torati 14;24; mambo ya nyakati ya pili 31:5).
Agano jipya halina pahala linazungumzia fungu la kumi. Ila fahamu tu 10th ni biblical
Hata wale wanafunzi walileta 'sehemu' ya walichokuwa nacho...rejea simulizi ya Anania na Safila...nk nk
1/10 aliiweka Mungu mwenyewe,ukisoma kitabu cha Mambo ya Walawi utakuta ipo na pia hii iliwekwa sababu walawi walipewa kazi ya kuvitunza vyombo vya Bwana hivyo kabila liliteuliwa ili kuvitunza pamoja na uzao wa Haruni.Nilivyosema kiwango nilimaanisha 1/10.
Je kimewekwa na watu au?
Na muda wa kutoa zaka/fungu la 10 ni upi?
Uko sahihi ndugu lakini pia tambua kwamba Mungu anaweza kufanya jambo kupitia taratibu tofauti na zile zilizoandikwa.ninamaoni tofauti kidogo.
Roho mtakatifu hawezi kukuongoza kufanya kinyume na vitu ambavyo Mungu tayari ameshavitolea ufafanuzi.
Mungu ni wa utaratibu sio machafuko.
Jibu lako linaweza kuwa au lisiwe kweli ndugu!
Unaweza pia kuelekezwa na Roho Mtakatifu wapi upeleke fungu la kumi.
Wakati mwingine unaweza elekezwa kupeleka fungu la kumi kwa watumishi wa Mungu wasio na makanisa. Anapokuelekeza Roho Mtakatifu kupeleka ndio mahali sahihi, inaweza kuwa kanisani au la!
Hakuna haja ya kutoa fungu la kumi iwe kanisani ama msikitini. Fungo lako mpatie yule mwenye shida ama anayehitaji msaada siyo kwa matapeli wa makanisani na misikitiniHabari zenu wakuu, hongera kwa kila anayewajibika muda huu pia kwa wanaopumzika katika staili zao wajuazo wao.
Naomba nisivute muda na wakati muhimu kama huu.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba mjadiliane ni namna gani nzuri ya kutoa fungu la kumi?
Je, ni lazima kanisani, au hata kusaidia watu kwa ile asilimia kumi ni sawa? Na kwanini tunatakiwa kutoa fungu la kumi kanisani.
Sina ushahidi wa namna yoyote ya kutoa fungu la kumi kwa kutumia maandiko ya biblia ila nataka kujua kwa wanaojua tujuzane umuhimu katika kujua namna sahihi ya kumtolea bwana fungu la kumi.
Karibuni wote.
Hao ni matapeli tu soyo kuendesha familia ili wanunue train na ndege na magari ya kifahari. UTAPELI MTÙPUTofautisha kati ya fungu la kumi na sadaka
Sadaka unapeleka popote lakin fungu la kumi linaenda kanisani nyumbani ya bwana biblia ipo wazi kabisa
Kusaidi masikini yatimana vilema iyo ni sadaka siyo fungu la kumi
Fungu la kumi ni kwajir ya wachungaji wapate ela ya kuendesha familia zao na kuendesha injir
Kuendesha injir ni gharama kubwa sana so ndio maana Mungu anataka kuchangia sana injir kuliko kitu chochote coz injir inairajika sana dunia na kuokoa watu kutoka kwny utumwa wa shetani
Ni muhimu sana kuchangia injir coz ata yesu alisema aliwambia masikin sina cha kuwapa zaidi ya neno la uzima nalo litawaweka huru
Isaya 8:20Uko sahihi ndugu lakini pia tambua kwamba Mungu anaweza kufanya jambo kupitia taratibu tofauti na zile zilizoandikwa.