Ni namna ipi nzuri ya kutoa fungu la kumi?

Ni namna ipi nzuri ya kutoa fungu la kumi?

Hao ni matapeli tu soyo kuendesha familia ili wanunue train na ndege na magari ya kifahari. UTAPELI MTÙPU

Huo utapel wao mm hauniusu mm natoka kama mkristo kama wao wananunua wanawake na pesa ya fungu la kumi mm nilitoa basi Mungu ndio mwenyewe ata waukumi na siyo mm
Mm nafanya sehemu yangu kama mkristo anayetaka injir isonge mbele,
Coz kazi ya kusambaza injir ni ya kila mkristo, ukisoma biblia habari za mitume ya yesu walivyoacha vyote kwaanjir injir ifike ata kwetu sisi basi inabudi na mm kuchangia kila mwezi kufanya injir kufika sehemu nyingine coz ni kazi ya kila mkristo
Kama unaweza husitoe fungu la kumi na kutoa maubir ya Mungu ata barabara kwa masaa ata 24 kwa mwezi siyo mbaya coz utakuwa umetoa mchango mkubwa kuliko ata sisi tunaotoa kanisan
 
Tofautisha kati ya fungu la kumi na sadaka
Sadaka unapeleka popote lakin fungu la kumi linaenda kanisani nyumbani ya bwana biblia ipo wazi kabisa
Kusaidi masikini yatimana vilema iyo ni sadaka siyo fungu la kumi
Fungu la kumi ni kwajir ya wachungaji wapate ela ya kuendesha familia zao na kuendesha injir
Kuendesha injir ni gharama kubwa sana so ndio maana Mungu anataka kuchangia sana injir kuliko kitu chochote coz injir inairajika sana dunia na kuokoa watu kutoka kwny utumwa wa shetani
Ni muhimu sana kuchangia injir coz ata yesu alisema aliwambia masikin sina cha kuwapa zaidi ya neno la uzima nalo litawaweka huru
Sijapinga unachosema lakini pia tusimnyime nafasi Roho wa Mungu kutuongoza pia!
 
Isaya 8:20
"Na waende kwa Sheria na ushuhuda, Ikiwa hawasemi sawa sawa na neno hili, bila shaka kwao hakuna asubuhi"
Taratibu hata kama zikiwa tofauti, haziwezi kupishana na zile ambazo tayari zimeshawekwa na kufafanuliwa faida na hasara zake.
Roho wa Manabii huwatii manabii. 1 wakorintho 14:32.
nadhani kikubwa ni kutii taratibu njema alizoziasisi Mungu. Manabii au watuishi wa Mungu wote tangu mwanzo hadi ufunuo hawapingani, sitegemei atokee roho wa kutuongoza kwenda knyume na kanuni alizoziweka mwenyewe.

Mtazamo wangu lkn mkuu.
Ndugu, hatutafikia muafaka katika jambo hili. Kama nitaongozwa na kitu kingine ambacho siyo Roho wa Mungu kupeleka fungu la kumi mahali pengine badala ya kanisani basi nitakuwa nimetenda dhambi. Lakini kama ni Roho wa Mungu kweli kweli hakuna doctrine kutoka kwa mtu yeyote atakayenifundisha tofauti na ninavyoelewa. Over!
 
ubarikiwe mtu wa Mungu. Tuko miguuni kwa Yesu tunajifunza kila siku. Mungu anayesoma mioyo na nia akuongoze katika njia sahihi.
 
Dah!

Naona andiko linatimia sasa kwa wakati ule wa kuitafuta "kweli yake" hata kwa tochi na tusiione.

Nami nilijisogeza ili nipate kujifunza kama alivyoanzisha mleta mada lakini badala ya kujifunza nimeambulia kuvurugwa kabisa.

Naona bora niendelee kushika sana nilichonacho maana tuendako hata hii imani haba niliyonayo naweza kunyang'anywa.

Nimeamia kuanzia sasa nasafisha njia zangu na fungu la kumi ntapeleka kanisani.

Waibe wasiibe hainihusu, mie ntamwambia Mungu nimekiletea fungu langu la kumi hapa kanisani lipokee...narudi nyumbani kupokea baraka zako. Full Stop!
 
Sadaka unaweza kutoa popote, ukampa yoyote...

Fungu la kumi pelekea kanisani au msikitini, hayo ndiyo mapato na matumizi yao...

Cc: mahondaw
Ndivyo tulivyodanganywa na wachungaji miaka yote.

There is no such thing as ZAKA katika Agano la Kristo Yesu
 
Mkuu hata ukitoa kwa wahitaji ambao wasiojiweza ni sawa tuu.

HAKUNA. UMEMPOTOSHA.

FUNGU LA KUMI SIYO SADAKA. FUNGU LA KUMI HALITOLEWI BALI LINALIPWA. SADAKA NI HIYARI NA UNAWEZA KUMPA MTU YEYOTE. FUNGU LA KUMI NI LAZIMA NA LINALIPWA KWA UTARATIBU WAKE. KWA KUANZIA SOMENI "MALACHI 3: 9 ...." MKISHASOMA MNIAMBIE NIJE KWA MAJADILIANO NA MISTARI MINGINE YA NENO.
 
Ila jamaa unadharau sana inaonyesha. Eti Jadilianeni!!

Anyway, fungu la kumi kama "UMEOKOKA" sio questionable, na kama huna uhakika na huku unajiita umeokoka, bora urudi tu kwenye dini yako ya zamani maana you wont go anywhere.

Malaki ni jibu.
 
Walokole Wanafiki kama Wasabato na wengineo.

Hiyo Malaki ni TORATI,au hulijui hilo?

Ni agizo la Mungu kwa wafuata Torati, na nyie huwa mnasema hamuifuati Torati.

Sasa kwa nini mnajichomeka hapo kwenye mstari wa Zaka ambao IN THE REAL SENSE ni mkazo wa agizo la Torati?
 
Namna nzuri ni kufungua account na kusave kwaajili ya watoto wako au kununua usafiri...ni fungu la 10 tosha, mengine ni watu wazima wanataka uwalishe familia zao kisa tu wamekariri mistari ya biblia.
Na ikumbukwe kwamba, tunakatwa kodi kwa ajili ya huduma za jamii halafu utoa tena 10%? Kwa ajili ya nini sasa? Mahubiri?
 
Walokole Wanafiki kama Wasabato na wengineo.

Hiyo Malaki ni TORATI,au hulijui hilo?

Ni agizo la Mungu kwa wafuata Torati, na nyie huwa mnasema hamuifuati Torati.

Sasa kwa nini mnajichomeka hapo kwenye mstari wa Zaka ambao IN THE REAL SENSE ni mkazo wa agizo la Torati?
Kazi ipo. Chezea maokoto wewe.
 
Sadaka unaweza kutoa popote, ukampa yoyote...

Fungu la kumi pelekea kanisani au msikitini, hayo ndiyo mapato na matumizi yao...

Cc: mahondaw
Kwa waislamu zaka unaweza toa hata kwa ndugu zako waenye uhitaji. Zaka kwa waislamu ni kwa ajili ya kusaidia wenye mahitaji.
 
peleka fungu la kumi kanisani, watumishi wapate cha kula.
fungu la kumi ni tofauti na sadaka, hiyo unatoa popote.
hata kama wanafuja, Mungu anajua jinsi atakavyowashughulikia ila wewe baraka zao ziko palepale.

malaki 3:10
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
Amen 🙏 🙏
 
Mkuu hata ukitoa kwa wahitaji ambao wasiojiweza ni sawa tuu.
Binafsi napenda na ninajisikia faraja pale ninapo toa fungu la kumi kwa wasio jiweza, wagonjwa, walemavu napia watoto yatima. Zaidi ya hapo, nadhani imani ya dini yako (Msahaf/biblia) pamoja na utashi ni jambo kubwa na muhimu ili kukuongoza kwenye kile unacho kiamini.
Hizi ni sadaka tu sio fungu la kumi.

Fungu la kumi hutolewa kwa makuhani/Kanisani tu.

Rabbon Yesu Anakuja
 
Hizi ni sadaka tu sio fungu la kumi.

Fungu la kumi hutolewa kwa makuhani/Kanisani tu.

Rabbon Yesu Anakuja
Unaweza kutoa hata kwa yatima, mgeni, mjane na mlawi(ambao kwa sasa hawapo)
Tolati 26:12-15.
Utakapokwishakutoa zaka,.............umpe zile zaka mlawi na mgeni na yatima na mjane, wapate kula ndani ya malango yako na kushiba, .....
 
Back
Top Bottom