Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu.
Stands 4 no
''Comment''
Torture wanafanya wavetnam jamani...Hawajafikia torture ya USA mpaka wenyewe walijishangaa namna wanavyofanya.
Sina uhakika na hiliTorture wanafanya wavetnam jamani...
Unateswa mpaka unaandika barua Ya kuomba kuuliwa yaan....
..![]()
Kaka pole sana kwa msiba wa kamanda JPMSawa mkuu
Asante sana my dada PKKaka pole sana kwa msiba wa kamanda JPM
Atakuwa aliona katika zile movies za akina Rambo za kule Hollywoods.Sina uhakika na hili
Barua ya kuomba kuuliwa? Hii kiboko sasa mkuu...Torture wanafanya wavetnam jamani...
Unateswa mpaka unaandika barua Ya kuomba kuuliwa
Spying business is no jokeTorture wanafanya wavetnam jamani...
Unateswa mpaka unaandika barua Ya kuomba kuuliwa yaan....[emoji19][emoji19]..
Tena wamekujua wewe ni spy.....
Ujasusi sio lele mamaSpying business is no joke
Torturing za Guantanamo BayHawajafikia torture ya USA mpaka wenyewe walijishangaa namna wanavyofanya.
Ni kama barua ya talaka tuBarua ya kuomba kuuliwa? Hii kiboko sasa mkuu...
Uliwahi kutoa talaka kwa mke?Ni kama barua ya talaka tu
Hii Bay ipo Cuba au USA?Torturing za Guantanamo Bay
Ujasusi sio kama habari za simba na yangaUjasusi sio lele mama
Ujasusi ni kazi moja ndogo sana kama vile kumsukuma mleviUjasusi sio kama habari za simba na yanga
Kuna jasusi mmoja wa Mossad aliwahi kunyongwa Syria. Unamjua jina lake?Ujasusi ni kazi moja ndogo sana kama vile kumsukuma mlevi
Anaitwa Eli CohenKuna jasusi mmoja wa Mossad aliwahi kunyongwa Syria. Unamjua jina lake?
Umenikumbusha ile vita ya siku 6 ya Israel na WaarabuAnaitwa Eli Cohen