Ni nani alimuua Mchungaji Mtikila?

Hii dunia!!!
 
Ni Diwani Kata gani mkuu
 
Ndio alipata ajali ambayo vyuma vilimkaba shingoni hadi akafa vilisokota ile tai ndio ikachangia kufa[emoji21][emoji21][emoji21]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee! Kwa wakati ule nilifikiri huenda EL alihusika sababu ilikua ni kpnd cha uchaguzi na alikua na mikwaruzano na jamaa.
 
Vipi Kwan hutaki kuonana na Sirro umuone ata alivyo ni mzuri huyo weeeee.
 
kanda ya ziwa ndio home base yao. wamejiimarisha sana ukanda ule. nawasikitikia sana ndugu zangu wasukuma. upendo na ukarimu wao kwa wahamiaji haramu unaenda kuiponza nchi.
 
Kuna tetesi na tuhuma ambazo hazijawahi kusemwa waziwazi kwamba Bahima Empire kupitia Mr Slim ndio walihusika na mpango mzima wa kumnyamazisha milele ... Pengine mwendelezo wa hii mada utatupa majibu
Ina maana mr slim ana uwezo wa kuingia nchi nyingine na kufanya yake asijulikane? Basi anaweza kuingilia chaguzi na kumuweka amtakaye awe rais kama anaweza kuingia kwenye nchi ya watu wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…