Ni nani alimuua Mchungaji Mtikila?

Mtikila alikuwa na maadui wengi ndani na nje ya nchi. Hivyo, kuna uwezekano akauawa na mmoja wao au kwa ushirikiano. Kwanza alikuwa adui mkubwa wahindi akipinga ubaguzi na unyonyaji wao. Nadhani waliomuua Dr Jwani Mwaikusa aliyekuwa akiwatetea watuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda wanaweza kuwa washukiwa namba moja ukiachia mbali akina Kikwete.
 
tyc mkuu!
Mwaga mwaga mtama kuku wadonoe.
 
Mwaga nondo mkuu
 
 
Fanya hivyo tuongeze maarifa maana tupo kwenye wakati mgumu januari
 
Aisee
 
Sasa watu wa kitengo hawajui PK ni maji marefu?
Waliamua kumtumia Mtikila kusambaza huo waraka, je hawakufanya tathmini ya hatari yatakayokuwa Mtikila? Kwa nini walishindwa kumpa ulinzi wa kutosha Mtikila?
 
Wamesema waraka ule uliandaliwa na kitengo...hakuandaa Mtikila
 
Walio muua mtikila ni RAIA FEKI WALIOPO MADARAKANI SASA.KWA SABABU ALIKUWA KIKWAZO KWA AJENDA YAO YA KULIGEUZA TAIFA LETU KUWA KOLONI LAO NA KUIFANYA SERIKALI YA TZ KUWA KAMPUNI YAO BINAFSI NA CCM KUWA SAKOSI YAO NDIYO MNAONA KWA SASA HATA CCM YENYEWE IMEPIGWA PIN NA HAO RAIA FEKI AIFURUKUTI WANAPELEKESHWA KINYUME NA MATAKWA YAO
 
Vifo vya hawa watu vimeniuma sana.

1. Mauaji ya kimbari
2. Rais wa Rwanda Juvenail Habyarimana akiwa na rafiki yake ambae pia alikua ni Rais wa Burundi Cyprien Ntaryamira.

4. Thomas Sankara.
5. Raulent Kabila.
6. Fredy Rweigima.
7. Juani Mwaikusa.
8. Rev Christopher Mtikila. (Tiss)

Hawa wote wameuwawa na Dikteta mbu.
Yupo hapa Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…