Ni nani aliyeharibu Mchakato wa Katiba Mpya? Tuanzie hapo


Ndivyo ulivyoambiwa kanisani kwenu na Kardinali pengo . Watoto wa mbio za mwenge hamjui zaidi ya hapo.
 
Ukiwa na Dini ikakujaza chuki,kukosa kujiamini,umaskini wa kifikra,kukosa heshima,kutukana n.k hiyo Dini ni Dini ya shetani moja kwa moja. Haina mjadala.Dini za Mungu hufundisha heshima,upendo,amani,unyenyekevu,kujiamini n.k.

Ndivyo alivyokuambia huyo shetani huko kanisani??
 
ulijuaje kama nchi inahitaji katiba mpya?..
Je katiba iliyopo inatekelezwa kwa asilimia ngapi?
Katiba iliyopo ni kweli haitekelezwi kwa % kubwa kwa sababu yenyewe haijilindi. Haisemi mtu asipoitekeza ataadhibiwa kwa taratibu zipi. Hii ni miongoni mwa sababu za kuitaka Katiba Mpya. Hivyo tunahitaji katiba itakayomuwajibisha mara moja atakayeichezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…