Men at work
New Member
- Sep 9, 2024
- 1
- 0
Ndugu zangu Watanzania, Kila mmoja wetu atumie muda kujiuliza hili swali, Kwan Watanzania tumemkosea nn Mungu? Au tuna laana? Mbona hakuna tunachokiweza?
Tunashindwa kuendesha hata mradi mmoja tu wa SGR mapema hivi? Tumeshaanza blah blah Mara sijui engine za diesel.
Iko wapi nafasi ya usalama wa taifa kulinda uchumi wa nchi?
Mbona hakuna mwenye maumivu na taifa hili?
Nani wa kuilinda nchi?
Inakatisha tamaa Sana.