Afadhali umekili hilo! ni bora kama wanarushiana viti na maendeleo yanaonekana, kuliko kukubali kila kituuu kama zuzuuuuu huku unajua mambo hayaendi sawa!Sikio la kufa halisikii dawa.Tabia ya kusema bila kutafakari-wengine wanaita kupayuka, ndiyo sifa ya huyu mgombea.Ni dalili mbaya atakaposhika nchi.
Mambo ya kurushiana meza na viti katika utawala wake itakuwa ni jambo la kawaida.Mashabiki wake najuwa mumeanza kukata tamaa naye.Itakuwa ndio utawala wa mwanzo kufanya hivyo hapa kwetu ndani ya baraza la mawaziri.
siku zote ukweli unauma acha aseme apate asipate ukweli tunaujua.Sikio la kufa halisikii dawa.Tabia ya kusema bila kutafakari-wengine wanaita kupayuka, ndiyo sifa ya huyu mgombea.Ni dalili mbaya atakaposhika nchi.
Mambo ya kurushiana meza na viti katika utawala wake itakuwa ni jambo la kawaida.Mashabiki wake najuwa mumeanza kukata tamaa naye.Itakuwa ndio utawala wa mwanzo kufanya hivyo hapa kwetu ndani ya baraza la mawaziri.
Mkuu umeongeaSio rahisi sana kwa Dr. Slaa kuongea udini na labda jana tu kwa minajili ya kuharibu plan.
Ndugu yangu JK (muislam mwenzangu) kuna kila ushahidi kuwa umelianzisha hili suala mwenyewe na kwa mwananchi wa kawaida halipo kabisa........ Mwenzio alikopita hakuwahi hata kuzungumzia hilo maana sio tishio kihivyo...... haya ndo madhara ya kuzungumza pasipo kutumia busara na hekima. Huna washauri wenye uchungu na nchi zaidi ya matumbo yao..... Hakika kama Slaa angejitokeza mapema wala usingekuwa hapo leo kwani wangependekeza tofauti.
Umelianza mwenyewe na ulimalize, pona yako umkamate Slaa na ushahidi wa pasipo na shaka kuwa anaeneze siasa za udini otherwise itazidi kula kwako tu.
Haya ndo madhara ya kuwa money is everything..... walau watz sasa wanafikiria for the next generation.
Hapo kwenye red, ndio maana sisi bado masikini, na ni dhahiri kuwa bado UJINGA haujakutoka....!hii!. Dkt.Slaa anasihiwe awachane na hii mada katika dakika za mwisho za Kampeni.Atakuwa anajimaliza mwenyewe.Hawezi kubadili kitu.Zaidi ni kuwa anatoa picha mbaya pindi akichaguliwa uraisi.Ni mtu wa visasi na asiyeweza kunyamazia baadhi ya mambo hata yakiwa ni kweli.
Hata mtu awe ni fisadi si heshima kumpigia kelele kwenye jukwaa.Maraisi wote waliopita waislamu na wakristo hawakuwa na pupa kama hizi.
Katika mikutano yake jana, Dr. Slaa ameweka bayana ya kuwa Raisi anayemaliza kipindi chake JK ndiye mdini na chanzo cha mpasuko wa udini hapa nchini.
Gazeti La Majira la leo limemnukuu Dr. Slaa akitoa takwimu za kuthibitisha hoja hii pale alipowasihi wapigakura wakague timu ya kampeni ya Jk na watagundua kuwa ni ya dini yake tu ndiyo imo humo. Vile vile Dr. Slaa alihoji teuzi mbalimbali za Jk ndani ya CCM na serikalini kuwa zina harufu kali ya kuipendelea dini yake.
Dr. Slaa aliwataharisha wapigakura kuwa JK na CCM yake wameandaa mkakati mchafu wa kumchafua kwa kumhusisha na vurugu za kidini na tuhuma nyingine katika hii wiki ya mwisho ya kampeni na kuwataka wapigakura kukaa chonjo...............
SOURCE: MAJIRA YA LEO.
Mahakama ya kadhi na OICMwambieni aliyoyasema yamefika maana bado kulikuwa na watu bado hawaelewi kuwa huyu former priest amegombea kwa shinikizo la viongozi wa kanisa. Shame on you Chadema na Padri wenu.
Katika mikutano yake jana, Dr. Slaa ameweka bayana ya kuwa Raisi anayemaliza kipindi chake JK ndiye mdini na chanzo cha mpasuko wa udini hapa nchini.
Gazeti La Majira la leo limemnukuu Dr. Slaa akitoa takwimu za kuthibitisha hoja hii pale alipowasihi wapigakura wakague timu ya kampeni ya Jk na watagundua kuwa ni ya dini yake tu ndiyo imo humo. Vile vile Dr. Slaa alihoji teuzi mbalimbali za Jk ndani ya CCM na serikalini kuwa zina harufu kali ya kuipendelea dini yake.
Dr. Slaa aliwataharisha wapigakura kuwa JK na CCM yake wameandaa mkakati mchafu wa kumchafua kwa kumhusisha na vurugu za kidini na tuhuma nyingine katika hii wiki ya mwisho ya kampeni na kuwataka wapigakura kukaa chonjo...............
SOURCE: MAJIRA YA LEO.
Kama hayo yaliyo andikwa hapo juu ni kweli, basi Slaa naye hutufai kabisaa.. Kama ametoa takwimu kwa misingi ya dini basi atakua ni chui aliyejificha ndani ya ngozi ya kodoo. Atakua amethibitisha yale madai ya baadhi ya wana CCM kuwa ni mdini na ametumia makanisa katika kampeni zake.
Awe Kikwete au Slaa au mtu mwingine yeyote, atayejaribu kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini (HATUFAI)
Hapa JF wako watu wengi wanaofagilia mambo ya Udini na kushabikia viongozi wadini wanapoingilia mambo ya siasa...Hayo sio mambo ya mzaa kwani mwisho wake ni mbaya kupindukia
Eeh mwenyezi mungu tuepushe na viongozi wanaotaka kutuvuruga kwa misingi ya dini, kabila na rangi.
Hata kenya wanazipiga bungeni, lakini anagalia walipo kiuchumi. tatizo lako umezoea AS WE ALWAYS DO. sisi tunasema tunatakiwa kuangalia Mfumo na sio projects......projects haziwezi kumuondoa mtanzania kwenye umasikini. TAFAKARI! usiwe kama ZUZUSikio la kufa halisikii dawa.Tabia ya kusema bila kutafakari-wengine wanaita kupayuka, ndiyo sifa ya huyu mgombea.Ni dalili mbaya atakaposhika nchi.