Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Status
Not open for further replies.
sasa tunelekea kubaya sana mods mada kama hizi zidhibitiwe mapema la patakua hapatoshi

maana kuanza kusema waislam ndio maskini na watabakia na umaskini wao sasa mnaanza kwenda mbali maana nnavyojua matajiri wa nchi hii wengi ni waislam anza kuangalia wenye viwanda kati wazawa ni wepi wengi
wenye biashara, magari ya mizigo, mabasi ya mikoani, hata madala dala na maduka utajua kua waislam ndio wengi

ila hakuna haja kujadili hayo hapa na wakati huu kwa hio mods jitahidini kuteelekeza tuzungumzie siasa na sio kuchanganya mambo

Nakubaliana na wewe mkuu.
Ila kama radio station inatangaza misimamo kama hiyo iliyotangaza ni vizuri ilakemewa ila ikemewe kwa busara zaidi na sio kwa jazba.
 
Tuendelee kuomba amani ktk kipindi hiki cha uchaguzi. Siasa za udini ni hatari sana!Unless serikali inachukua hatua za haraka au Wakristo wapuuze hizo propaganda. Hebu fikiria kuna radio ngapi za kikristo hapa nchini?Kuanzia kesho kila radio ya kikristo ianze kueneza taaarifa kwamba wakristo wasiwachague viongozi waislamu hali itakuwaje?Kama dini zinatujengea chuki namna hii,ni Mungu yupi tunayemuabudu?Na pepo(mbingu)ipi tutakayoingia?Kila palipokuwa na udini pame-prove failure.
Kwa nini udini uingie ktk siasa tu?Mbona katika mambo mengine ya kijamii tunashirikiana na hizo tofauti za dini hazionekani?
Udini sio suluhisho la mustakabali wa Tanzania.

Jamani udini mbaya???Hili fukuto la udini ni sawasawa na mtu fulani mjinga aliyetupa kipisi cha sigara msituni na watu wakapita eneo hilo wakakiona, wakakipuuzia na hawakukizima.Mwishowe kikasababisha moto mkubwa ambao unahitaji gharama kubwa kuuzima.
MUNGU UBARIKI UCHAGUZI MKUU 2010, MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Bahati mbaya Waislam wakigawa kura 40% lipumba na 40% JK, na waelewa kama mimi 20% slaa, hii itakuwa furaha kwa +Dr na kilio kwa -Dr .
 
Vyombo vya habari vya Kiislamu/wamiliki wa vyombo vya habari waislam waaache kutuharibia, kwa kuwa navyojua Tz, Heavy weight media houses karibu zote ziko chini ya wakristu.
 
Mkuu Paddy.. it is good kama utasaema muda na siku walitamka hayo maneno
 
Kinyume chake mtashuhudia kesho serikali ikiitwanga ITV onyo kali na karipio juu.

Hii redio ipo kwa malengo maalum. na inaonekana kana kwamba ni ndogo bali maafa yake ni makubwa.
Tusidharau tishio hili bali tunaiomba DOLA idumishe utawala wa sheria kwa kuichukulia hatua hii ishu kwani wameonesha insults za wazi wazi wala hawakumung'unya maneno.

Nitashangaa endapo Mwinyi na Kikwete watakaa kimya kwa endorsing za hii radio.
 
Mnakumbuka ya Rwanda 94??

Radio Télévision Libre des Mille Collines
From Wikipedia, the free encyclopedia Rwandan Genocide
Background
History of Rwanda · Origins of Tutsi and Hutu · Kingdom of Rwanda · Rwandan Civil War · Hutu Power · Assassination of Habyarimana
Events

Initial events · Gikondo massacre · Nyarubuye massacre · Chronology of the Rwandan Genocide
Responsible parties

Genocidaires:
Akazu · Impuzamugambi militia · Interahamwe militia ·

Hutu Power Media:
Kangura · RTLM Radio
Response

Resistance:
Rwandan Patriotic Front

International Community:
Role of the international community · UNAMIR Mission (United Nations) · Opération Turquoise
Effects
Great Lakes refugee crisis · Gacaca court · International Criminal Tribunal · 1st Congo War / 2nd Congo War
Resources
Bibliography ·
Filmography
v • d • e


Radio Télévision Libre des Mille Collines (RTLM) was a Rwandan radio station which broadcast from July 8, 1993 to July 31, 1994. It played a significant role during the April-July 1994 Rwandan Genocide.

The station's name is French for "One Thousand Hills Free Radio and Television", deriving from the description of Rwanda as "Land of a Thousand Hills". It received support from the government-controlled Radio Rwanda, which initially allowed it to transmit using their equipment.[1]

Widely listened to by the general population, it projected racist propaganda against Tutsis, moderate Hutus, Belgians, and the United Nations mission UNAMIR. It is widely regarded as having played a crucial role in creating the atmosphere of charged racial hostility that allowed the genocide to occur. A November 2009 study—by a PhD candidate at the Institute for International Economic Studies of Stockholm University—estimated that the broadcasts explained an increase in violence that amounted to 45,000 Tutsi deaths, about 9% of the total.[2][3]Contents [hide]
1 Prior to the Genocide
2 During the Genocide
3 Individuals associated with the station
4 After-effects
5 In film
6 References
7 External links

[edit]
Prior to the Genocide

RTLM was established in 1993, primarily railing against on-going peace talks between President Juvenal Habyarimana, whose family supported the radio station,[4] and the Tutsi Rwandan Patriotic Front.[5] It became a popular station since it offered frequent contemporary musical selections, unlike the said state radio, and quickly developed a faithful audience among youth-aged Rwandans, who later made up the bulk of the Interahamwe militia.

The station is considered to have preyed upon deep animosities and prejudices between the Hutu and Tutsi populations. The hateful rhetoric was placed alongside the sophisticated use of humor and popular Zairean music.

Critics claim that the Rwandan government fostered the creation of RTLM as "hate radio", to circumvent the fact they had committed themselves to a ban against "harmful radio propaganda" in the UN's March 1993 joint communiqué in Dar-Es-Salaam.[1] However RTLM director Ferdinand Nahimana claimed that the station was founded primarily to counter the propaganda by RPF's Radio Muhabura.

In January 1994, the station broadcast messages berating UNAMIR commander Roméo Dallaire for failing to prevent the killing of approximately 50 people in a UN-demilitarized zone.[6]

After Habyarimana's private plane was shot down on April 6, 1994, RTLM joined the chorus of voices blaming Tutsi rebels, and began calling for a "final war" to "exterminate" the Tutsi. The code word was 'cut down the tall trees'.[5]
[edit]
During the Genocide

Following the Rwandan Genocide in 1994, the first relief workers on the scene reported seeing hundreds of Tutsi fleeing their villages with little more than the clothes on their backs and transistor radios pressed to their ears.[citation needed]

As the genocide was taking place, the United States military drafted a plan to jam RTLM's broadcasts, but this action was never taken because of the cost of the operation and the legal implications of interfering with Rwanda's sovereignty.[7]

When French forces entered Rwanda during Opération Turquoise to support the Hutu-dominated interim government, RTLM broadcasted from Gisenyi, calling on 'you Hutu girls to wash yourselves and put on a good dress to welcome our French allies. The Tutsi girls are all dead, so you have your chance.' [8]

When the Tutsi-led RPF army won control of the country in July, RTLM took mobile equipment and fled to Zaire with Hutu refugees.
[edit]
Individuals associated with the station This section does not cite any references or sources.
Please help improve this article by adding citations to reliable sources. Unsourced material may be challenged and removed. (January 2010)

Félicien Kabuga, president
Ferdinand Nahimana, director
Jean Bosco Barayagwiza
Gaspard Gahigi, editor-in-chief
Phocas Hahimana, day-to-day manager
Georges Ruggiu, broadcaster
Valerie Bemeriki, broadcaster
[edit]
After-effects

The International Criminal Tribunal for Rwanda's action against RTLM began on 23 October 2000 - along with the trial against Hassan Ngeze, director and editor of the Kangura magazine.

On 19 August 2003, at the tribunal in Arusha, life sentences were requested for RTLM leaders Ferdinand Nahimana, and Jean Bosco Barayagwiza. They were charged with genocide, incitement to genocide, and crimes against humanity, before and during the period of the genocides of 1994.

On 3 December 2003, the court found all three defendants guilty and sentenced Nahimana and Ngeze to life imprisonment and Barayagwiza to imprisonment for 35 years - this was appealed. The Appeal judgment, issued on 27 November 2007 reduced the sentences of all three - Nahimana getting 30 years, Barayagwiza getting 32 and Ngeze getting 35, with the court overturning convictions on certain counts.

On 14 December 2009, RTLM announcer Valerie Bemeriki was convicted by a gacaca court in Rwanda and sentenced to life imprisonment for her role in inciting genocidal acts.
 
rejea update ya pale juu

ahaa! Nimekusoma! Kumbe ni mambo ya poli-tricks na kura ya maslahi? Hapa kaazi kweli kweli, kwani sioni pa kushika wala kutetea....
Lakini nafkiri kila mmoja wetu anajua nini Imani, Dini na Siasa vinavyoendana au kutofautiana, ukiona sawa changanya na uonapo si sawa changanua...

''Idumu Tanganyika''
 
Mkuu Paddy.. it is good kama utasaema muda na siku walitamka hayo maneno

rejea mda wa topic yangu. Najitoa rasmi kwenye hii mada, ujumbe umefika tusiende mbali TCRA wachukue hatua mapema. Udini ukitokea tanzania wa kulaumiwa watakua rais, dola, TCRA na NEC. Uwezo wa kudhibiti haya wanao ila wamekaa tu maofisini wanajiuliza waisaidie vp ccm!!
 
Someni mwananchi ya leo, mikoa ya kiislam wapinzani wakubwa wa ubunge ni kutoka cuf!!!!!!

Duuh! na mikoa ya wakristo wengi., Iringa, Mbeya,Kilimanjaro,Arusha nk,wapinzani wakuu ni CHADEMA! Kazi ipo.
 
sasa tunelekea kubaya sana mods mada kama hizi zidhibitiwe mapema la patakua hapatoshi

maana kuanza kusema waislam ndio maskini na watabakia na umaskini wao sasa mnaanza kwenda mbali maana nnavyojua matajiri wa nchi hii wengi ni waislam anza kuangalia wenye viwanda kati wazawa ni wepi wengi
wenye biashara, magari ya mizigo, mabasi ya mikoani, hata madala dala na maduka utajua kua waislam ndio wengi

ila hakuna haja kujadili hayo hapa na wakati huu kwa hio mods jitahidini kuteelekeza tuzungumzie siasa na sio kuchanganya mambo
hivi wewe una virusi kwenye akili yako?
mtoa hoja amesema kuwa radio HERI inatangaza kwambaaa waislamu chagueni wagombea waislamuuu.
halafu unasema kwamba mods wafute hii thread.
Naamini sasa wewe ni miongoni mwa watangazaji wa hiyo radio. hapo huoni kosa ila kwa kuwa mtoa hoja mmoja ameteleza na kuongea kwa ukali baaas umeharamisha thread nzima.
MUNGU AWALAANI pamoja na WEWE

 
Hawa Waisilamu wananishangaza, pamoja na kwamba marais Waisilam wa nchi hii wanawaudhi sana Waisilam kwa ujumla, hawawasaiddi kabisa. Chukua mfano wa Ali Hassan Mwinyi -- huyu alimleta papa John Paul Mwaka 1990, lakini Nyerere, Mkatoliki aliyetawala miaka 25 hakumleta Papa.

Huyu JK aliudhi Waisilamu wengi alipoamua kumleta Bush, kiongozi aliyesababisha vifo vya Waisilamu wengi tu huko Iraq na Afghanistan. Isitoshe JK ameshindwa kuwapatia Mahakama ya Kadhi, pamoja na kuweka azma yake hiyo katila Ilani ya CCM ya 2005. Ameshindwa pia kuwaingizia nchi kwenye OIC.!
 
Wakuu,

Wamiliki wa redio hii tumeongea nao wameomba radhi sana kwa kilichotokea na wanaahidi kitu kama hiki kutotokea tena. Tayari kuna waliowajibishwa kwa kitendo hiki na tunaomba mijadala ya namna hii isiwe inawajumuisha watu kwa dini zao kwani si waislam au wakristo wote wanaofurahishwa na mambo ambayo yanaenda visivyo.

Kumradhi mlioathirika kwa namna moja ama nyingine kwa maoni ya wananchi ndani ya JF kwani wengine mnadhani ndo msimamo wa JF.

Wakuu, naomba mjadala huu ufungwe kwa maslahi ya taifa letu!
 
Katika mikutano yake jana, Dr. Slaa ameweka bayana ya kuwa Raisi anayemaliza kipindi chake JK ndiye mdini na chanzo cha mpasuko wa udini hapa nchini.

Gazeti La Majira la leo limemnukuu Dr. Slaa akitoa takwimu za kuthibitisha hoja hii pale alipowasihi wapigakura wakague timu ya kampeni ya Jk na watagundua kuwa ni ya dini yake tu ndiyo imo humo. Vile vile Dr. Slaa alihoji teuzi mbalimbali za Jk ndani ya CCM na serikalini kuwa zina harufu kali ya kuipendelea dini yake.

Dr. Slaa aliwataharisha wapigakura kuwa JK na CCM yake wameandaa mkakati mchafu wa kumchafua kwa kumhusisha na vurugu za kidini na tuhuma nyingine katika hii wiki ya mwisho ya kampeni na kuwataka wapigakura kukaa chonjo...............

SOURCE: MAJIRA YA LEO.
 
hii!. Dkt.Slaa anasihiwe awachane na hii mada katika dakika za mwisho za Kampeni.Atakuwa anajimaliza mwenyewe.Hawezi kubadili kitu.Zaidi ni kuwa anatoa picha mbaya pindi akichaguliwa uraisi.Ni mtu wa visasi na asiyeweza kunyamazia baadhi ya mambo hata yakiwa ni kweli.
Hata mtu awe ni fisadi si heshima kumpigia kelele kwenye jukwaa.Maraisi wote waliopita waislamu na wakristo hawakuwa na pupa kama hizi.
 
hii!. Dkt.Slaa anasihiwe awachane na hii mada katika dakika za mwisho za Kampeni.Atakuwa anajimaliza mwenyewe.Hawezi kubadili kitu.Zaidi ni kuwa anatoa picha mbaya pindi akichaguliwa uraisi.Ni mtu wa visasi na asiyeweza kunyamazia baadhi ya mambo hata yakiwa ni kweli.
Hata mtu awe ni fisadi si heshima kumpigia kelele kwenye jukwaa.Maraisi wote waliopita waislamu na wakristo hawakuwa na pupa kama hizi.
hahahahah ndo maaana cc MASIKINI!
 
MImi nashauri asizungumzie sana masuala haya ila hizi ydakika za mwisho atoa mambo ya mhimu zaidi na kuomba kura

Labda aseme tu mambo anayokwenda kuyarekebisha kwa watanzania ambayo kwa sasa wanapata shioda nayo. Hali mbaya ya uchumi, kupunguza wizi nk. lakini akiendeleza mabishano na mwenzake kwa sasa si vema.
japo ni ukweli lakini sasa ni mda wa kukanusha kwa kifupi na kusema nini anaenda kufanya basi!
 
Dr. Slaa angeyanyamazia tu haya mambo ya kidini naona kadri anavyojibu hoja hii ndio hatari ya kumpunguzia kura na kuwagawa wapiga kura wake inazidi kuongezeka.
Angenyamaza tu.
 
Sikio la kufa halisikii dawa.Tabia ya kusema bila kutafakari-wengine wanaita kupayuka, ndiyo sifa ya huyu mgombea.Ni dalili mbaya atakaposhika nchi.
Mambo ya kurushiana meza na viti katika utawala wake itakuwa ni jambo la kawaida.Mashabiki wake najuwa mumeanza kukata tamaa naye.Itakuwa ndio utawala wa mwanzo kufanya hivyo hapa kwetu ndani ya baraza la mawaziri.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom