Jethro
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 2,219
- 371
Jethro,
Nimeheshimu na kuelewa vema maeelzo yako! lakini sijaona wapi umeainisha, kama ni kweli tatizo la watanzania leo likubalike na kushughulikiwa kama ni Dini na ukabila?
Kutokuwa na Uongozi madhubuti usio zingatia Mustakabali wa nchi na KATIBA na sheria zake zilizo wekwa kwa hawa viongozi wetu waliopo madarakani ndiko kuna changia watanzania wengi kukimbilia kwenye hali hizi za Udini au ukabila na endapo tuta endelea kulemaaa na kukubaliana kuwa Udini na ukabila uwe tatizo kwetu utakuwa ni upuuzi wa hali ya juuu sana.
Kwa hiyo mii nasema kuwa ni wananchi wanatapatapa sasa kutafuta wapi liwe kimbilio lao la kuwaongoza au kuwa kwamua toka kwenye umaskini obvious udini na ukabila ndio litakuwa la kwanza na hizi ndio moja kati nyufa zetu katika nchi hii na bado upo lakini ni kuupiga vita lazima tufanye juudi ya kulazimisha vichwa vyetu kuepuka hili swala la udini/ukabila maana huko chini chini lipo na sasa lajichomoza kwa kasi.
Hii zambi ya Udini/ukabila ni mbaya sana naomba mungu atusurubu kama kuna watu wanaitaka ishamili ndani ya nchi yetu ndipo tutijua maana yake nini? maaana nchi nzima tumisha kuwa mchanga nyiko sasa mie nimeo Muislam ingali ni mkristo, mwingine kao vile sasa mkija angali undugu tayali umeisha shamili then ni taifa moja au familia moja.