Mtu wa Mungu
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 444
- 19
sIYO ITIKANI ZA CHAMA MKUU SEMA WANASAHAU MASLAHI YA TAIFA! UTAIFA UNATOKA KABISAA!Kweli mzee, hiyoo ishu ni mpango mzima kuanzia msikitini kuhakikisha wanashika top position, hawa watu bwana ukija udini wanakuwa na umoja sana na kusahau itikadi za vyama zao.
kwahiyo unataka kuniambia kwamba jk analipa kisasi???Kaka kuitwa kafiri ni tabia za watu na infact kafiri sio tusi bali ni mtu asiyeamini mungu kabisa mkristo anaitwa asiyeamini kitabu (ndio jina sahihi). Lakini mbona waislamu dar mnawaita waswahili, wapemba haya majina ni ya kudhalilishana kabisa lakini mnaona sawa? Halafu kwanini JK awapendeleee kwani nyie mmependelea waislamu wangapi katika viti maalum? I beg to differ mkuu!!
Top management yote ya sisiemu JK,YM,; Serikali ya sisiemu Rais, Makamu, ZBR-Rais, makamu wawili, wote ni dini moja!!!!!!!! JK anaposema udini hivi anamsema nani kama si yeye na vyama vyake vya sisiem na kafu!!!!!!!!!!!!!! Tusidanganyane!!!!!!!!!!!!! mpaka kieleweke!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mbona wakati wa Mwl hali haikuwa hivi????????????????????????
Ulitaka wote wawe wakristo????
Usiwe mpumbavu lete hoja za msingi sio bla bla