Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Status
Not open for further replies.
Top management yote ya sisiemu JK,YM,; Serikali ya sisiemu Rais, Makamu, ZBR-Rais, makamu wawili, wote ni dini moja!!!!!!!! JK anaposema udini hivi anamsema nani kama si yeye na vyama vyake vya sisiem na kafu!!!!!!!!!!!!!! Tusidanganyane!!!!!!!!!!!!! mpaka kieleweke!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mbona wakati wa Mwl hali haikuwa hivi????????????????????????
 
Kweli mzee, hiyoo ishu ni mpango mzima kuanzia msikitini kuhakikisha wanashika top position, hawa watu bwana ukija udini wanakuwa na umoja sana na kusahau itikadi za vyama zao.
 
Kweli mzee, hiyoo ishu ni mpango mzima kuanzia msikitini kuhakikisha wanashika top position, hawa watu bwana ukija udini wanakuwa na umoja sana na kusahau itikadi za vyama zao.
sIYO ITIKANI ZA CHAMA MKUU SEMA WANASAHAU MASLAHI YA TAIFA! UTAIFA UNATOKA KABISAA!
 
Kaka kuitwa kafiri ni tabia za watu na infact kafiri sio tusi bali ni mtu asiyeamini mungu kabisa mkristo anaitwa asiyeamini kitabu (ndio jina sahihi). Lakini mbona waislamu dar mnawaita waswahili, wapemba haya majina ni ya kudhalilishana kabisa lakini mnaona sawa? Halafu kwanini JK awapendeleee kwani nyie mmependelea waislamu wangapi katika viti maalum? I beg to differ mkuu!!
kwahiyo unataka kuniambia kwamba jk analipa kisasi???
 
Kuna mheshimiwa Isaac Sepetu kule Zenji na Mh Adam Mwakanjuki wote sio waislam!
 
Tusidanganyike!!!!!!!!!!!!!! JK na vyama vyake vyake vya sisiemu na kafu wana agenda endelevu ya OIC na mahakama ya kadhi!!!!!!!!!!!!! Ninyi subirini tu mtaona!!!!!!!!!!!!! Makamu wake Dr Bilal ndiye amekabidhiwa jukumu kukamilisha hili!!!!!!!!!!!!! Wooooooooooote dini moja!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Top management yote ya sisiemu JK,YM,; Serikali ya sisiemu Rais, Makamu, ZBR-Rais, makamu wawili, wote ni dini moja!!!!!!!! JK anaposema udini hivi anamsema nani kama si yeye na vyama vyake vya sisiem na kafu!!!!!!!!!!!!!! Tusidanganyane!!!!!!!!!!!!! mpaka kieleweke!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mbona wakati wa Mwl hali haikuwa hivi????????????????????????

Ulitaka wote wawe wakristo????

Usiwe mpumbavu lete hoja za msingi sio bla bla
 
hakuna udini hapa mbona nna marafiki zangu kibao wa dini tofauti sijaona huo udini? ccm mna lenu jambo
 
Ulitaka wote wawe wakristo????

Usiwe mpumbavu lete hoja za msingi sio bla bla

Hata wangekuwa Wakristo/Waislamu wote si vibaya, kibaya ni kubeba religious agenda na kuziingiza kwenye serikali kiaina! Amani ikivunjika jk atabeba dhambi ya udini mpaka mauti yatakapomfika!
 
udini ulienezwa na mashabiki wa ccm hasa;

  • nhc
  • radio ya siasa kali huko moro
 
Kuna kitu kimenishtua kwenye hotuba y a Kikwete leo. Anasema uchaguzi wa mwaka huu umetuachia makovu ya udini, huu si mwendelezo wa uchakachuaji hata baada ya uchaguzi? Tumeshuhudia kipindi cha kampeni watu wakikatana mapanga, kuchomeana nyumba, na hadi jimbo moja huko Shinyanga mwananchi mmoja kupoteza roho yake. Kikwete anaweza kutueleza jimbo hata moja tu ambalo vurugu wakati wa kampeni zilisababishwa na udini? We expect more than this from him!
 
Sina uhakika kiasi gani kwa JK akawa mdini kihivyo ila kwakua ana imani ya dini, ni rahisi kwa maamuzi yake yakafuata misingi ya dini yake . Kwa JK ni rahisi kwake kujihisi yuko salama zaidi akiwa karibu na mtu mwenye imani sawa na yeye .

Suala la udini sidhani kama ni tatizo kubwa ingawa ndio linaanza taratibu , swali la kijiuliza je Tanzania ina wa kristo na waislamu wangapi kwa idadi? kiharaka unaweza sema wa kristo ni wengi na kama JK kashinda ushindi huo ina maana wakristo wengi wamempigia kura na suala la udini hapo sio tatizo kama alivyo ongea hapo kwnye hotuba yake.

Udini na siasa inaweza kua tatizo la baadae haswa kwa wakristo wanapo angalia serikali ya sasa italichukuliaje ,maana wakristo wengi labda wamepotoshwa au inaweza kua ina ukweli kwamba Kafiri hapaswi kushika madaraka ya kuongoza wakayi kiongozi mkuu ni Muislamu. Nadhani hili ndio tatizo jipya linalo weza jitokesa kwa siku za usoni,ila kwa maoni yangu tatizo lililo kua linatishia uchaguzi huu ni ilikua ukabila.ambalo nalo halina ushahidi wakutosha.
 
Huwa naogopa sana watu wanpozungumzia huu udini hasa wanavyo shutumu oic na mahakama ya kadhi.
Hofu yangu ni kwamba hata waislamu waliokuwa chadema tunaweza kuwagawa kwani watu wanapojadili sometimes huwa wanajisahau na kuwaiclude waislamu wote ktk kundi la jk.
 
Top management yote ya sisiemu JK,YM,; Serikali ya sisiemu Rais, Makamu, ZBR-Rais, makamu wawili, wote ni dini moja!!!!!!!! JK anaposema udini hivi anamsema nani kama si yeye na vyama vyake vya sisiem na kafu!!!!!!!!!!!!!! Tusidanganyane!!!!!!!!!!!!! mpaka kieleweke!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mbona wakati wa Mwl hali haikuwa hivi????????????????????????

Nikukumbushe wakati wa Mwalimu.... Raisi - Mwalimu, Waziri Mkkuu ( Warioba, Sokoine, Msuya, Malecela....), Katibu Mkuu wa chama Kolimba, Mangula... Waziri wa Elimu mpaka amestaafu hajawahi kuweka waziri wa elimu muislamu. Alipowekwa Kighoma Malima ( R.I.P) wakati wa Mwnyi alisakamwa kwa uislamu wake mpaka Mwinyi kwa uoga wake akamuondoa.

Je bado unataka niendelee. Acha hizo. Fikra zako hizi hazisaidii kitu.
 
Kumbe ukweli unakuumaa?????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mpaka kieleweke tu. Wakati wa Mwl uliwahi kuona set up ya namna hii awamu mbili mfululizo??????????????????? Pipooooooooooss!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kauli ya JK kuwa uchaguzi mkuu uliopita ulisababisha hufa wa kidini, umenikumbusha kisa cha bwana mmoja aliyekuwa amewaua baba na mama yake, kabla ya jaji kutamka adhabu aliyostahili kupewa kwa kosa hilo, bwana huyo alijitupa chini na kumuomba jaji amuonee huruma kwakuwa alikuwa mtoto yatima. Na wenye masikio msikie.
 

Hivi leo nimesikia na kuona bungeni kikwete anasema kuna ubaguzi wa kidini mkubwa sana hapa Tanzania na akaongea kwa msisitizo kabisa,guys is it true?
 
Mtu ASIYE MAKINI hujadili WATU
Mtu ALIYE MAKINI hujadili MATUKIO

Kwa mtazamowangu, kikwete HAYUKO MAKINI KABISA, iko wazi kuwa tabia hii ya kuchukulia mambo juu juu haijaanza leo katika maisha yake, ni jambo lililo mla akili yakekwa 100%.

Kumjadili mtu (taasisi) inathibitisha ni kwa kiasi gani hayuko makini na usivotaka kuingia kwa undani wa jambo ili uweze kupata challenge/ sababu halis zilizopelekea uamuzi hisika.

SASA MWENYEKITI WA CCM TAIFA, anazungumzia kuhusu mpasuko wa KIDINI ionekane kama ni tatizo linalopelekea maamuzi yeyote yanayofikiwa na upande mwngine wa kisiasa.

Kimtazamo TANZANIA kwa ujumla hamna MPASUKO WOWOTE wa KIDINI isipokuwa KIKWETE anataka kuujenga kama ajenda kwa kuwatishia watu kwa kuanzia sasa kuelekea uchaguzi ujao, ikiwa ni kuwaogopesha watu wasio na upeo yakinifu amabao ni wengi (wasio na shule hasa vjjni)

Kikwete na watanzania wenzangu tuthibitishie ni kwa kiasi gani huo mpasuko unaousema mpaka ukauutubie bungeni kama sio porojo zako za kufikirika??

umeshatudhulumu haki yetu, hata SAADAM HUSSEIN, na Uday na Kusay (kikwete, ridhwani & miraji) hawakuwahi kufikiria kuwa yangetokea yaliyowatokea.

Maliza matatizo yaliyoko kwenye chama chako ndo ujadili ya watu wengine.

LIMESHAKUSHUKA CHAIRMAN, YATAKUSHINDA na NDIO MAANA UMEAIRISHA BUNGE FASTA WATU WASIWAAIBISHE, MTAUJA TUUU
 
Katika mambo ambayo JK ameyaongea kwa msisitizo na sauti ya kimadaraka ktk hotuba yake ya ufunguzi wa Bunge, ni suala la UDINI, kuwa udini unaanza kujitokeza.

Naomba mnijuze wapambanuaji, ni nini kimetokea mpaka JK alikemee kwa sauti kubwa kiasi hicho suala la UDINI? Je ni kwasababu matokeo ya uchaguzi hayakufika 80% kama walivyotarajia? Au kuna sehemu wakati wa kampeni na hata uchaguzi huu, kulitokea UDINI? Nionavyo mimi, tamko lake hilo, laweza kuleta mka'nganyiko kwa wananchi.

Natoa hoja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom