Mkuu, sina uhakika kama ulimsikiliza JK kwenye hiyo mada ila nilichokisikia mimi na kuelewa ni kuwa:
MCHAKATO WA UCHAGUZI UMESABABISHA UFA HASA WA KIDINI, HIVYO WANASIASA NA VIONGOZI WA DINI NI VEMA WAKALIANGALIA HILI NA KULITAFUTIA UFUMBUZI VINGINEVYO NCHI ITAPOROMOKA....BLABLABLAAAAAA
JK bado anahitaji msaada kwani anataka kutuambia katika nyufa zote aliyoliona yeye ni la UDINI tu?! vipi kuhusu mpasuko wa wana CCM mwenyewe, achilia mbali CHADEMA kutomtambua kuwa rais!!! huyu jamaa hajawahi kutufaa wala hatawahi kutufaaa!!!