Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa si ndio walidhamini tangazo la udini kupitia Ikulu kama ilivolipotiwa na raia mwema?
Alafu huu udini wanaohubiri mbona hawatoi evidences watu wanaishia kusema udini udini bila kusubstantiate where

Hivi uanzishwaji wa mahakama za kadhi na nchi hii kujiunga na shirika la kidini la OIC huo siyo udini?
wewe hebu angalia wateule wake wa ubunge afu utaniambia ni dini gani wale???? Lakini ataendelea na hii tabia ya majungu mpaka lini??? Mimi nilimwamini sana JK lakini hii tabia ya kutupoza kwa waziri mkuu tuu haionyeshi... waziri mweneyewe mnafiki eti anadai yuko tayari kuwekwa msalabani kwa ishu ya Meremeta... si fisadi Pinda lakini nashawishika waliosema simba hukaa na simba wala si swala ni ya kweli!!!!