Kazi kweli kweli..nimekusikia mkuu wangu kwa hiyo mnataka wagome hata kuingia bungeni sio?Mkandara hii issue ya CHADEMA ni tata saana. Si hivyo tu bado wanaonekana wanaimani na serikali ya Kikwete maana wanasema watapeleka matatizo yao. Hivi kama humtambui baba yako, unawezaje kudai matunzo?
Halafu hawa CHADEMA wanapatikana bungeni na huko watakuwa wanahoji utendaji wa serikali. Serikali ipi wakati hawaitambui? Strategy yao bado inapwaya saana.
Si hivyo tu bado wanaonekana wanaimani na serikali ya Kikwete maana wanasema watapeleka matatizo yao. Hivi kama humtambui baba yako, unawezaje kudai matunzo?
Halafu hawa CHADEMA wanapatikana bungeni na huko watakuwa wanahoji utendaji wa serikali. Serikali ipi wakati hawaitambui? Strategy yao bado inapwaya saana.
Mkuu wangu vipi lakini...Labda mimi sikuelewi unacho maanisha. Kuna watu waliopiga kura za urais kutomchagua Dr.Slaa na leo hawamtambui Dr.Slaa kama rais sasa unataka kusema kwamba hawa watu ambao hawamtambui Dr. Slaa hawakutakiwa kupiga kura toka mwanzo au?
Mimi nilichoelewa ni kwa CHADEMA wanamtabua JK kama rais lakini hawautambui mfumo na Muundo mbovu wa NEC uliomuweka Rias na wabunge wote madarakani( CCM CUF, NCRR, etc)
Nilicholewa ni kuwa CHADEMA wamemua kuwasilisha ujumbe wao kwa kufanya migomo kama hii. sabbu hili jambo la tume Huru ya NEC limeombwa kwa njia kiungwana zikashindikana so wanaamua kuweka pressure kidogo.
Nahakika watashiriki shughuli za bunge kikamilifu Na JK ujumbe kaupata hata akiwa mkaidi.
Naunga mkono approach hii kwa mikono na miguu yote
Nimefurahi kuona Dr. Slaa anasisitiza kuwa mambo majadiliano yote yaendelee kwa amani. Hii ndivyo inavyotakiwa.
Otherwise swala la kutokumtambua Rais halitekelezeki na ni mbio za sakafuni.
Hata mbwa koko nao hubweka. Kuna haja ya kufikiria strategy yao upya. Otherwise maswali ni mengi mno!Hii strategy kama ingekuwa inapwaya wasingebwaka kama mbwa.
Tena hasa pale Dr Slaa mwenyewe anaposema kuwa hatumtambui rais huku kwenye maelezo yake yote anatamka rais wa jamhuri, rais wa jamhuri kwa nini asiseme tumeamua kutoka pale Kikwete alipoanza kuhutubia badala ya kusema tumeamua kutoka pale Rais alipoanza kuhutubia. Yaani kuanzia sasa waanze kumtaja muheshiwa aliyebarikiwa na tume ya uchaguzi kuishi IKULU kwa jina lake badala ya cheo ambacho hawakitambui. Yaani ni kama kusema hutambui PhD ya Slaa huku unaendelea kumwita Dr Slaa
Ndugu zangu Watanzania, pamoja na ndugu zangu wote waliokuwa wanafuatilia matukio ya bungeni leo. Aaah... ni kweli nimepata watu wengi wakiulizia, aah ni kwanini wabunge wa CHADEMA walitoka ndani ya ukumbi wa bunge, wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano alipoanza kutoa hotuba yake.
Baada ya kususia hafla ya leo asubuhi , hatua ya pili ilikuwa kususia hotuba ya rais,
Bunge ni mahali ambapo wabunge wana nafasi ya kubeba bendera ya CHADEMA, na mahali pa kwanza pa kuonyesha kwamba hatumtambui rais ni dhahiri basi ni kwamba ni ndani ya bunge. Kitendo cha leo kilianzia asubuhi, kwa wabunge wetu kutohudhuria hafla ya kumuapisha Waziri Mkuu, kwa sababu isingekuwa na maana kwenda kuhudhuria hafla ambayo inasimamiwa na rais ambaye kimsingi hatumtambui, lakini vilevile ni ishara kwa watanzania kwamba bado eenh tunataka maelezo ya kina kutoka serikali kuhusu kauli tulizokwishakuzitoa.
Hili ndio tatizo na ndio maana tunasema strategy inapwaya na hawaeleweki wanataka nini! Kifupi hoja kuu ni kutomtambua Rais na ndio maana walivyowaita wanahabari ndicho walicho waeleza.Mimi nilichoelewa ni kwa CHADEMA wanamtabua JK kama rais lakini hawautambui mfumo na Muundo mbovu wa NEC uliomuweka Rias na wabunge wote madarakani( CCM CUF, NCRR, etc)
Nilicholewa ni kuwa CHADEMA wamemua kuwasilisha ujumbe wao kwa kufanya migomo kama hii. sabbu hili jambo la tume Huru ya NEC limeombwa kwa njia kiungwana zikashindikana so wanaamua kuweka pressure kidogo.
Nahakika watashiriki shughuli za bunge kikamilifu Na JK ujumbe kaupata hata akiwa mkaidi.
Naunga mkono approach hii kwa mikono na miguu yote
jamani.. nadhani tunataka kuwa too strict to the point kwamba we become meaning less.. Leo Kikwete nusura amuita Dr. Shein ni makamu wake wa Rais.. as a matter of fact alimalizia kabisa kauli yake. Yawezekana Dr. Slaa hakutakiwa kumtaja kama Rais wa Jamhuri ya Muungano.. lakini maana ya ujumbe wake haiwezi kufutwa na kukosewa kauli au kutamka vibaya. Nadhani kwa kadiri siku zinavyokwenda msimamo wao utakuwa wazi zaidi. The point ni kwamba wao wana tatizo na Kikwete kama Rais aliyetangazwa na tume ya uchaguzi, sidhani kama ni tatizo binafsi na Kikwete mwenyewe.
Mwanakijiji unataka tuitazame hii habari kwa juu juu enh! Labda kukufahamisha tu ni kwamba hata ukiassume kwamba Rais ametamkwa kwa bahati mbaya na ukaendelea mbele zaidi kumsikiliza Dr Slaa bado kuna mashaka mengi saana. Kubwa ni kwamba anataka serikali isikilize malalamiko yao. Serikali inayoongozwa na nani? Kiufupi yupo nusunusu, nusu anamtambua kwa ushahidi wa kumuita Rais na kueleza wanaimani serikali itawasikiliza inayoongozwa na Kikwete na nusu nyingine ndiyo wanayotaka wananchi waamini hawamtambui kwa maelezo yake hapo mbele.jamani.. nadhani tunataka kuwa too strict to the point kwamba we become meaning less.. Leo Kikwete nusura amuita Dr. Shein ni makamu wake wa Rais.. as a matter of fact alimalizia kabisa kauli yake. Yawezekana Dr. Slaa hakutakiwa kumtaja kama Rais wa Jamhuri ya Muungano.. lakini maana ya ujumbe wake haiwezi kufutwa na kukosewa kauli au kutamka vibaya. Nadhani kwa kadiri siku zinavyokwenda msimamo wao utakuwa wazi zaidi. The point ni kwamba wao wana tatizo na Kikwete kama Rais aliyetangazwa na tume ya uchaguzi, sidhani kama ni tatizo binafsi na Kikwete mwenyewe.
Next time mwambieni Slaa asome a prepared statement, hapo juu kajiadhiri tu, hata Kiswahili hajui.
Kama kitu kingeandikwa na kupata proofreaders watu wangeweza kuona makosa hayo.
Anazidi kuonyesha watu tu kwamba CHADEMA is not ready for prime time.
As much as I don't like CCM, napata tabu kuona mtu asiye makini kama Slaa kuwa rais. Kama mambo yake ndiyo shoddy hivi?
Unaacha wabunge wapigie kura pendekezo la Kikwete kama rais, halafu unataka kuprotest kwenye tafrija, unafikiri tunawezaje kumchukulia seriously hata kama tunataka CCM ifundishwe adabu ?
Kiranga ile hotuba ya Kikwete iliyopigwa kalenda kujadiliwa bungeni mwaka jana hadi leo hii bado hivi ilikuwaje vile?