Sioni kama ilikuwa ni ushujaa wowote kwa sababu waliondoka ukumbi wa bunge na wakenda ukumbi mwingine kumwangalia kupitia luninga-Is a kindly shameful too!
Kwani Isaac Sepetu hajawahi kushika madaraka Zenj?
kikwete na kikundi chake ndani ya ccm wameamua kutumia udini kama tatizo ili kufunika mambo muhimu yenye utata katika nchi kwa sasa. Nchi ina matatizo ya kifisadi, utendaji mbovu wa serikali, maisha magumu kwa wananchi na mengine muhumu. Udini sio tatizo tanzania, unatumika kugeuza upepo.
hivi kuna kitu chochote ulichoongea hapo mzee, unasema hii ni new stupid topic, rais wako aliiongea lakini mbele ya bunge lako tukufu...hujui kama tunatakiwa kujadili kila tunachokutana nacho? uelewa wako ni mzuri kweli wewe?Hapa tunajidanganya kujadili hili swala ambalo halipo.....JK hataki watu Tujadili alipata vp urais kwa 61% coz anajua kama tutajidili hilo tutajua mabovu yake na NEC walimvyompa Urais.....Sasa katuletea mada na 4 now anafurahi kuona tumeacha kuikomalia tume ya Uchaguzi kwa kuchakachua KURA na Kutaka Katiba Mpya...........Its the new STUPID topic which will make us 4get NEW IMPORTANT topics.........
HAKUNA UDINI TANZANIA..................
Madrasa al sul al jihad! TekibirTimu kamili ya udini imekamilika bunchan, Henge, safari_ni_safari, Baba_Enock na wengine wengi humu ndani. Lakini cha ajabu hao ndio senior expert members hapa JF.
JK mnadai ni mdini (inaweza kuwa kweli au sio kweli),lakini nyie kwa michango yenu hapa JF mmeonyesha chuki zenu za udini without shame, sio kwamba mnasingiziwa. It says a lot about JF members.....
ofcourse uko sahihi,tangu uhuru amepatikana waziri mmoja tu anaitwa adam mwakanjuki,naumba laki moja yangu kwanza
hapati laki hadi approve kama cabinet ya mwaka huu kuna wakristo...si unaona jinsi wanavyotafutizwa, ni nadra ajabu...unaweza tafuta hadi ukaumiz akichwa ndo unapata mmoja labda.hahahaha......aisee togo inabidi upewe laki moja yako kwa kweli!
Jamani,hivi udini ambao mr. prezzo ametangaza mbele ya bunge kwamba tz imeanza kugawanyika kwa udini, upo wapi uo udini? ktk uchaguzi udini ulikuwa wapi?, si angemention tu kama kidonda kipo kipone?...kwasababu hatujaona watu wakimchagua mtu kwa udini wake, bali kwa sera, hasa ukichukulia vijana wengi wakristo kwa waislam walimpigia Dr.slaa au Lipumba. udini uko wapi? ange mention chama basi tujue.
kwasababu kama ni udini, ccm haina balance kabisa ya dini, basi ccm ndo alikuwa anaiongelea kuwa ni ya kidini. pili, uteuzi wa wabunge wale wa mwanzo wote walilalia upande wa dini moja, kuanzia zakia mehgi ambaye wananchi hawampendi lakini kikwete anampenda. wale wawili za zenji pia mtu mwingine angefikiri kuwa ni udini, lakini hakuna mkristo hata mmoja aliyelalamika kuhusu udini, kwasababu tz hatujali sana udini kwenye selikali.
angalia, mbona rais, makamu wa rais mara zote mbili ni wa dini moja, lakini hilo haliko mioyoni mwa watu, udini ni tatizo kweli hapa tz kiasi cha president kulitangaza mbele ya bunge?
Nijuavyo mimi, yaliyomjaa mtu moyoni ndiyo atakayoyaongea. kama mtu ni mdini, ataongea sana udini tu. pia, wakati mwingine, hata kama wananchi hawakuwa wadini, sasa kwasababu mr.president amelitangaza, atawa alart wananchi waanze kuwa wadini. hivi mr. president anajipanga kwanza kabla ya kuongea hotuba kweli au anazima moto?
Zanzibar ni lini hata siku moja Mkristo alishawahi kushika madaraka, kwani zenji hakuna wakristo? lakini sisi wakristo hatulalamiki...NITAJIENI KIONGOZI YOYOTE HATA WAZIRI TU WA KIKRISTO AMBAYE ALISHAWAI KUPEWA MADARAKA ZANZIBAR. ukinitajia nakupa laki hapahapa...hayupo
:A S angry: nachukia sana anaposema kuna udini wakati yeye mwenyewe ndio analeta udini