Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Status
Not open for further replies.
Sioni kama ilikuwa ni ushujaa wowote kwa sababu waliondoka ukumbi wa bunge na wakenda ukumbi mwingine kumwangalia kupitia luninga-Is a kindly shameful too!

Acha ujinga lengo la chadema limetimia maana kila akienda nje kazi kuhubiri amani ambayo anaivunja mwenyewe, na sas ameanza kuhubiri udini, ambao aliuanza yeye na makamba.

Mwambieni ataweka sana historia, Rais wa kwanza kuchukiwa na wananchi.
 
Kwani Isaac Sepetu hajawahi kushika madaraka Zenj?

Umeniwahi kidogo tu!! Hata mimi nilitaka kuuliza swali hilohilo. Ila ninakumbuka mara ya mwisho kumsikia alikuwa balozi wa TZ nafikiri nchini Russia. Lakini kama walivyo wazanzibar wengi huyu bwana baba yake (kama bado yuko hai) alijirudiaga unyamwezini Tabora siku nyingi tu ila mwanae akabaki huko kwa vile alishakuwa kwenye politics.
 
Hapa tunajidanganya kujadili hili swala ambalo halipo.....JK hataki watu Tujadili alipata vp urais kwa 61% coz anajua kama tutajidili hilo tutajua mabovu yake na NEC walimvyompa Urais.....Sasa katuletea mada na 4 now anafurahi kuona tumeacha kuikomalia tume ya Uchaguzi kwa kuchakachua KURA na Kutaka Katiba Mpya...........Its the new STUPID topic which will make us 4get NEW IMPORTANT topics.........

HAKUNA UDINI TANZANIA..................
 
kikwete na kikundi chake ndani ya ccm wameamua kutumia udini kama tatizo ili kufunika mambo muhimu yenye utata katika nchi kwa sasa. Nchi ina matatizo ya kifisadi, utendaji mbovu wa serikali, maisha magumu kwa wananchi na mengine muhumu. Udini sio tatizo tanzania, unatumika kugeuza upepo.

umenena kweli
 
Hapa tunajidanganya kujadili hili swala ambalo halipo.....JK hataki watu Tujadili alipata vp urais kwa 61% coz anajua kama tutajidili hilo tutajua mabovu yake na NEC walimvyompa Urais.....Sasa katuletea mada na 4 now anafurahi kuona tumeacha kuikomalia tume ya Uchaguzi kwa kuchakachua KURA na Kutaka Katiba Mpya...........Its the new STUPID topic which will make us 4get NEW IMPORTANT topics.........

HAKUNA UDINI TANZANIA..................
hivi kuna kitu chochote ulichoongea hapo mzee, unasema hii ni new stupid topic, rais wako aliiongea lakini mbele ya bunge lako tukufu...hujui kama tunatakiwa kujadili kila tunachokutana nacho? uelewa wako ni mzuri kweli wewe?
 
Timu kamili ya udini imekamilika bunchan, Henge, safari_ni_safari, Baba_Enock na wengine wengi humu ndani. Lakini cha ajabu hao ndio senior expert members hapa JF.
JK mnadai ni mdini (inaweza kuwa kweli au sio kweli),lakini nyie kwa michango yenu hapa JF mmeonyesha chuki zenu za udini without shame, sio kwamba mnasingiziwa. It says a lot about JF members.....
Madrasa al sul al jihad! Tekibir
 
Kwa kweli Sijafurahia kabisa, na Imeniuma sana mpaka kukaribia kupata presha, kwa kuona chama na kiongozi na viongozi wao kujaribu kueneza uongo kuwa kuna UDINI Umeingia kutokana na Uchaguzi, HII SIO kWELI KABISA. Ni SUMU na UONGO unaotaka kuenezwa KUWACHANGANYA Raia wa Tanzania. Ni Njia ambayo wameiona ni ya MWISHO katika kuwapata baadhi ya Watanzania ambao hawawezi kufikiri na kutambua haraka haraka. Ni Mpango mbaya sana na Ni hatari kwa Taifa letu, TUSIFURAHIE wala KUFUMBIA huu mpango wao, Nia yao ni kutaka KUWAGAWA Watanzania tu, wameamua kukimbilia kwenye UDINI sasa baada ya kuishiwa sera na mambo muhimu ya kujitetea au kuongea.

MUNGU MKUU ULIYEMUWEZA na MFALME, TUANGALIE KWA HURUMA YAKO na UTUOKOE SISI NA TAIFA LETU katika HILA NA UBAYA WOWOTE ULE, MUNGU UWE NASI NA UTUTETEE na VIONGOZI waongo na mafisadi wote, UPIGANE NAO MUNGU, AMEEEEEN
 
Umenena ndugu yangu, Mambo haya udini wanafanya JK na Makamba tusiwaficha hata kidogo.
 
Udini umeletwa na huyo huyo anayeukemea so anajua anachokisema kwa mtu mkubwa kama rais kusema kitu siyo mchezo so he is the first mdini kabla ya wote.
 
Unajua CCM wamekaa wakisubiri labda wananchi watasema kuwa kuna udini kutokana na chuki zao walizopandikiza.
Kumbe wananchi wamekaa kimya na kuwapuuza sasa wanaamua kuropoka wao.
Yaani ni kama mwizi anayekimbizwa kimya kimya, mambo yanapomzidi anaamua kupiga mayowe yeye mwenyewe. 'mwiziii.....mwiziiiii....mwiziii..'
 
Huyu mjamaa kwa kweli anauzi!! :A S angry: :mad2:
 
state of emergency kwamba nchini kwetu kuna mpasuko wa udini, uko wapi huo tuuzibe?
 
ofcourse uko sahihi,tangu uhuru amepatikana waziri mmoja tu anaitwa adam mwakanjuki,naumba laki moja yangu kwanza

hahahaha......aisee togo inabidi upewe laki moja yako kwa kweli!
 
hahahaha......aisee togo inabidi upewe laki moja yako kwa kweli!
hapati laki hadi approve kama cabinet ya mwaka huu kuna wakristo...si unaona jinsi wanavyotafutizwa, ni nadra ajabu...unaweza tafuta hadi ukaumiz akichwa ndo unapata mmoja labda.
 
Hiyo ndo karata waliyocheza ili iwaingize ilkulu. wameyaanzisha wao, wayamalize wenyewe wasituusishe.
 
Jamani,hivi udini ambao mr. prezzo ametangaza mbele ya bunge kwamba tz imeanza kugawanyika kwa udini, upo wapi uo udini? ktk uchaguzi udini ulikuwa wapi?, si angemention tu kama kidonda kipo kipone?...kwasababu hatujaona watu wakimchagua mtu kwa udini wake, bali kwa sera, hasa ukichukulia vijana wengi wakristo kwa waislam walimpigia Dr.slaa au Lipumba. udini uko wapi? ange mention chama basi tujue.

kwasababu kama ni udini, ccm haina balance kabisa ya dini, basi ccm ndo alikuwa anaiongelea kuwa ni ya kidini. pili, uteuzi wa wabunge wale wa mwanzo wote walilalia upande wa dini moja, kuanzia zakia mehgi ambaye wananchi hawampendi lakini kikwete anampenda. wale wawili za zenji pia mtu mwingine angefikiri kuwa ni udini, lakini hakuna mkristo hata mmoja aliyelalamika kuhusu udini, kwasababu tz hatujali sana udini kwenye selikali.

angalia, mbona rais, makamu wa rais mara zote mbili ni wa dini moja, lakini hilo haliko mioyoni mwa watu, udini ni tatizo kweli hapa tz kiasi cha president kulitangaza mbele ya bunge?

Nijuavyo mimi, yaliyomjaa mtu moyoni ndiyo atakayoyaongea. kama mtu ni mdini, ataongea sana udini tu. pia, wakati mwingine, hata kama wananchi hawakuwa wadini, sasa kwasababu mr.president amelitangaza, atawa alart wananchi waanze kuwa wadini. hivi mr. president anajipanga kwanza kabla ya kuongea hotuba kweli au anazima moto?

Zanzibar ni lini hata siku moja Mkristo alishawahi kushika madaraka, kwani zenji hakuna wakristo? lakini sisi wakristo hatulalamiki...NITAJIENI KIONGOZI YOYOTE HATA WAZIRI TU WA KIKRISTO AMBAYE ALISHAWAI KUPEWA MADARAKA ZANZIBAR. ukinitajia nakupa laki hapahapa...hayupo

Brigedia Adam Mwakanjuki
 
Unauliza udini uko wapi, wakati wewe mwenyewe ndiyo MDINI. Angalia sentence zako zimejaa na malalamiko ya Udini.
 
:A S angry: nachukia sana anaposema kuna udini wakati yeye mwenyewe ndio analeta udini

Hunishindi mimi yaani JK anatuona cc sijui nitumie neno gani ili nieleweke ila ananikera sana kujilizaliza na ishu ya udini!Kwenye kampeni yake si mliona walimzunguka dini gani?Zanzibar hakuna wanaccm wakristo wenye sifa?Ni juzi tu kaonyesha udini wake kwa kuteua wabunge 3 wote dini moja!Hata kama atateua wakristo saba baadae,lakn si wahenga walisema nyota njema..........!Nakama kuna watu anahisi wanaoleta udini awataje sio kulalamika!Ni sisi tufanyeje kama yeye analalamika!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom