The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
lkn mimi sio askofu ninae toa kauli na wala sio sheikh ninaetoa kauli. hapa wanaotoa kauli ni Mh Pengo, laizer ambao wote wakati mh mkapa walikuwa kimya.
Pia mimi sio Akina Ponda na Bakwata ambao sasa wapo kimya na wakti wa mkapa walikuwa mbele kuongoza maandamano. sasa udini wangu nini kusema ukweli ambao upo?
Mimi nimekuuliza swali ulitaka wakae kimya???