Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Status
Not open for further replies.

Mimi nimekuuliza swali ulitaka wakae kimya???
 
Mimi nimekuuliza swali ulitaka wakae kimya???
nawapongeza sana maaskofu kutoa kauli kwani itasaidia sana kuwafanya ccm kuacha kuuwa watu wasiona hatia. hoja hapa kwanini walikuwa kimya wakati wa mkapa? sawa na waislam sasa kuona ni sawa watu wasio na hatia kuuliwa na wao kukaa kimya. jee tanznaia ianelekea wapi?
 
Ishu sio mwili ulizikwaje au ulizikwa na nani,afterall gazeti lililoandika hiyo habari linajulikana ni la Chama gani kwahiyo siwezi kushangaa sana kuona habari hiyo

usilihukumu gazeti. jee linapoandika tanzania daima kwa kuwa ni la Chadema, ccm wakatea hoja japo zitakuwa na ukweli?
 

Niliishasema kuwa wewe ndio mdini, kwani uanze ku-question tamko la maaskofu kulaani mauaji kwa mtazamo wako ulikuwa unaona ni bora wakae kimya kwasababu inaonekana kama vile moyoni inakuuma sana maaskofu kulaani mauaji ili hali ulitaka wakae kimya tu na ndio maana nikasema wewe ni mdini
 
Naona point yako, unaanglia pande zote mbili bila upendeleo. Tatizo wengi hapa JF, hawawezi kufanya hivyo kwa sababu wao ndio wadini

I guess na wewe ukiwa mmoja wao, hivi nyie inaonekana statement za viongozi wa dini zinawauma sana.
 
Matatizo yalianza toka viongozi wa dini walipoanza kutoka waraka za uchanguzi , sasa watu wanategemea kupanda mbaazi na kuvuna tende ?

Hayo ndio matokea ya viongozi wa dini kuingilia mambo ya siasa na sheria...
 
nawapongeza sana maaskofu kutoa kauli, na kama kuna zawadi nawapa. lkn hoja yangu ya msingi hapa ambayo unaikimbia kwa makusudi kwa kuwa tu wewe ni mkiristo kwanini wakati wa mkapa mambo kama haya wakiyapongeza? sawa na waislam wakati wa mkapa walikuwa mbogo lkn kwa upande wa Jk wamekuwa watulivu wakubwa. jee dini zetu ndio zinavyotaka kumuanglia nani katawala nao ndio wafuate. jee dini zetu zinafata wanasiasa badala ya wanasiasa kufuat dini? jee ninapokwita wewe mdini kwa kuwa umefurahia mauji ya Pemba kwa kuwa yalitokea wakti wa mkapa na sasa kupiga kelele kwa kuwa yametokea wakati wa Jk? sawa na yule anakaa kimya mauji ya ARUSHA KWA Kuwa yametokea wakati wa Jk lkn alikuwa mkali mauji ya Pemba kwa kuwa alikuwa mh mkapa?
 
Muhogo unayosema ni kweli, lakini ndiyo yatufanye tuache kuongelea kupanda kwa gharama za umeme, kulipa Dowans Tshs.94Bil, kupanda kwa gesi, ufisadi na uchafu mwingine unaofanywa na mafisadi?????? Agenda hiyo is not our priority, let us talk and discuss issues that have negative impacts to our social and economic life
 
I guess na wewe ukiwa mmoja wao, hivi nyie inaonekana statement za viongozi wa dini zinawauma sana.

usikimbie hoja kaka/dada, wewe ni msomi. kwanini hutaki kusema kwamba maaskofu na masheikh huangalia nani katawala nao ndio huwa wakali
 

yote ni sawal. lkn tupambane na adui mweengine huyu udini ambapo tukimwacha aenee basi hata huo umeme, downs ambapo unaona ni bora utashinda hata kuisema
 

Naona nia yako ni kueneza udini na kutaka kunipeleka kwenye udini ambapo mimi simo sasa kama unaona udini wako wa kuanza kungalia sijui wakati wa Mkapa ilikuwa hivi na sasa iko hivi motive yako nimeishaona ni nini na kwa hilo hauwezi kunipata i will just ignore you
 

mbona ushapatikana kwa hapo. kama unafurahia upande fulani
 
Kumesha jengeka utamaduni ndani ya ccm, pindi chama chochote kinapoonekana kuwa tishio kwao utasikia au ni wadini , au ni ukabila , historia inaonyesha 1995 NCCR mageuzi ilikuwa chama cha kichaga, 2000 CUF ilikuwa ni chama cha kiislamu tena mpaka kikatuhumiwa kuingiza majambia, na sasa 2010 tuna chadema chama cha kidini na kikabila, hizi ni siasa nyepesi za ccm, safari hii hatudanganyiki!!!!!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…