Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Status
Not open for further replies.
ni kweli kabisa! 2005 hoja ya udini dhidi ya cuf iliisaidia sana ccm ndio maana jk hakulalamika, ila 2010 ccm imebomolewa vya kutosha na chadema ndio maana jk ameibuka usingizini na kuanza kukemea! It is too late kwa ccm kukumbuka shuka wakati kumekucha!
 
Tiba ya udini aianze kutekelezwa huko huko katika chama chake, maana kina kila harufu ya udini.
 
Swala la udini litawala wao wasubiri Mahakama ya Kadhi isipoanzishwa.....:A S angry:
 
Kikwete na CCM yake ni waasisi wa udini na ukabila Tanzania.
Nilishangaa niliposikia analialia huko kwenye mikoa inayoshabikia udini ili apate favor.
Huyo ndio kikwete ninayemjua! Mdini namba moja. Na muasisi wa tuhuma alizoziasisi mwenyewe.
Kwa mara ya kwanza kabisa ni kikwete aliyelitumbukiza taifa katika mgogoro wa kuwekwa dini katika ilani ya Chama. Na hata sasa anaendelea.
 
Nauliza tu jamani.

Msiniite mdini. Manake siku hizi mtu akitoa hoja watu wanampakazia kuwa ni mdini ili hoja isijadiliwe. Na mods nao wanadanganyika kirahisi wanaondoa mada jamvini.

Ok, tuendelee na mada.....
Kama hakuna mbunge au muwakilishi kutoka Visiwani ambaye ni mkristo, kwa nini?

Mwenye sababu aseme tuelewe.

Muheshmiwa Moderator, naomba kutoa hoja.
 
Hakuna kwa sababu Zanzibar kuna uislam tuuu! (sorry I am joking):tape::tape::tape:
 
Tuacheni na mambo ya udini na ukabila. Kuna mambo muhimu sana ya kujadili kati nchi ya Tanzania. Kwanza Tanzania watu wanashika dini sawa sawa mboni ni wachache sana. Ukiuliza watu maswali kuhusu dini yao wachache sana wataweza kujibu kwa ufasaha. wengi wetu dini ni mazoea tu. Lakini watu wanaifanya big deal. Tujadili issues nyeti za taifa ili ambazo zinafaida kwa kila mwananchi. Kwa mfano fisadi akiiba fedha za umma wananchi wote wanakosa huduma muhimu.
 
Mjadala unaanza kuzimwa tartiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu.

Lakini mimi ninaona kuwa hoja yangu ina mashiko kwa sababu siasa na dini havitengamani.

Labda tufunike kombe tu.

Lakini mimi sifuniki.
 
tuacheni na mambo ya udini na ukabila. Kuna mambo muhimu sana ya kujadili kati nchi ya tanzania. Kwanza tanzania watu wanashika dini sawa sawa mboni ni wachache sana. Ukiuliza watu maswali kuhusu dini yao wachache sana wataweza kujibu kwa ufasaha. Wengi wetu dini ni mazoea tu. Lakini watu wanaifanya big deal. Tujadili issues nyeti za taifa ili ambazo zinafaida kwa kila mwananchi. Kwa mfano fisadi akiiba fedha za umma wananchi wote wanakosa huduma muhimu.
ukijadili hilo unakosana na ccm utaambiwa umetukana! Na fisadi sipika alisema ni mwizi wa wake za watu!
Basi tuseme tuwajadili wanaochukua mali ya uma!
 
Nauliza tu jamani.

Msiniite mdini. Manake siku hizi mtu akitoa hoja watu wanampakazia kuwa ni mdini ili hoja isijadiliwe. Na mods nao wanadanganyika kirahisi wanaondoa mada jamvini.

Kama hayupo, kwa nini?

Muheshmiwa Moderator, naomba kutoa hoja.

Japokuwa umetoa oni tangu mwanzo kuwa hii hoja yako sio ya Udini, lakini kuna element za udini na zinatupeleka huko, Kwa zanzibar kutokuwa na mwakirishi mkristo sio Tatizo kabisa, Zanzibar 99% ya wazanzibar ni Waislamu hiyo 1% ya wasio waislamu huwezi kusema hawajawakilishwa kwa maslahi ya dini yao
Mimi nadhani, inabidi tuwe na hoja ambazo zinaweza kutufikisha kule tunapotarajia, hizi hoja za Uislamu na Ukristo kwa kweli zitatufikisha pabaya
 
HISIA KALI NAKUUNGA MKONO NDUGU YANGU...KUNA WATU WANAPENDA UDINI SANA!!!!!!!!!UDINI SI ISSUE!!!! TUTAIVURUGA TANZANIA. TUOMBE MWENYEZI MUNGU ATUEPUSHE...MIMI KIONGOZI AWE MKRISTO SAWA AWE MUISLAM SAWA ALIMRADI ASIINGIZE MAMBO YA UDINI KATIKA MAMBO YANAYO HUSISHA TAIFA ZIMA. MATHALANI SUALA KAMA LA KUINGIZA MAHAKAMA YA KADHI KWENYE KATIBA YA TAIFA SI AFIKI KAMWE.....?????????????????????
Nawaasa pia wanajamii wenzangu tuachane na mambo ya udini na ukabila. Kuna mambo muhimu sana ya kujadili kwa mustakabali wa Taifa letu. Mathalani Kuwa na katiba mpya. Maendeleo ya wananchi nakadhalika. Swala la udini si issues nyeti kwa taaifa hasa pale linapojadiliwa kwa mtazamo hasi!!!! Taifa hili linadini nyingi ambazo zinahitaji kuwakilishwa. Sasa kama kila mtu atataka dini yake ndo ikubaliwe kuna kufika hapo????????.
 
japokuwa umetoa oni tangu mwanzo kuwa hii hoja yako sio ya udini, lakini kuna element za udini na zinatupeleka huko, kwa zanzibar kutokuwa na mwakirishi mkristo sio tatizo kabisa, zanzibar 99% ya wazanzibar ni waislamu hiyo 1% ya wasio waislamu huwezi kusema hawajawakilishwa kwa maslahi ya dini yao
mimi nadhani, inabidi tuwe na hoja ambazo zinaweza kutufikisha kule tunapotarajia, hizi hoja za uislamu na ukristo kwa kweli zitatufikisha pabaya
sasa si kikwete alisema kuna vyama vya kidini sisi hatutaki tena uchaguzi ujao tuongelee hili la vyama vya kidini! Tafadhali mjadala usifungwe!
 
Mjadala unaanza kuzimwa tartiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu.

Lakini mimi ninaona kuwa hoja yangu ina mashiko kwa sababu siasa na dini havitengamani.

Labda tufunike kombe tu.

Lakini mimi sifuniki.
Kuna ninaowajua watakuja kudai unaleta udini lakini ingekuwa Chadema kwao ni big deal, usifunike kombe endeleza hadi kieleweke.
 
hisia kali nakuunga mkono ndugu yangu...kuna watu wanapenda udini sana!!!!!!!!!udini si issue!!!! Tutaivuruga tanzania. Tuombe mwenyezi mungu atuepushe...mimi kiongozi awe mkristo sawa awe muislam sawa alimradi asiingize mambo ya udini katika mambo yanayo husisha taifa zima. Mathalani suala kama la kuingiza mahakama ya kadhi kwenye katiba ya taifa si afiki kamwe.....?????????????????????
Nawaasa pia wanajamii wenzangu tuachane na mambo ya udini na ukabila. Kuna mambo muhimu sana ya kujadili kwa mustakabali wa taifa letu. Mathalani kuwa na katiba mpya. Maendeleo ya wananchi nakadhalika. Swala la udini si issues nyeti kwa taaifa hasa pale linapojadiliwa kwa mtazamo hasi!!!! Taifa hili linadini nyingi ambazo zinahitaji kuwakilishwa. Sasa kama kila mtu atataka dini yake ndo ikubaliwe kuna kufika hapo????????.
labda mkanushe kuwa hakuna chama cha kidini mmechoma mkuki mnataka maumivu yaishe simple like that khaaaa!!
 
japokuwa umetoa oni tangu mwanzo kuwa hii hoja yako sio ya udini, lakini kuna element za udini na zinatupeleka huko, kwa zanzibar kutokuwa na mwakirishi mkristo sio tatizo kabisa, zanzibar 99% ya wazanzibar ni waislamu hiyo 1% ya wasio waislamu huwezi kusema hawajawakilishwa kwa maslahi ya dini yao
mimi nadhani, inabidi tuwe na hoja ambazo zinaweza kutufikisha kule tunapotarajia, hizi hoja za uislamu na ukristo kwa kweli zitatufikisha pabaya

99% waislamu? Umeitoa wapi hii?
 
Japokuwa umetoa oni tangu mwanzo kuwa hii hoja yako sio ya Udini, lakini kuna element za udini na zinatupeleka huko, Kwa zanzibar kutokuwa na mwakirishi mkristo sio Tatizo kabisa, Zanzibar 99% ya wazanzibar ni Waislamu hiyo 1% ya wasio waislamu huwezi kusema hawajawakilishwa kwa maslahi ya dini yao
Mimi nadhani, inabidi tuwe na hoja ambazo zinaweza kutufikisha kule tunapotarajia, hizi hoja za Uislamu na Ukristo kwa kweli zitatufikisha pabaya

99% ya nini

1% ya nini?

Toa figure tukokotoe. Usiongee vitu kama unatoa data za Historia.
 
Sasa MODS wako wapi au sasa ni ruksa kuleta udini na hata wengine huko nyuma kutukana dini za wengine????

Je hapa Waislam wanaruhusiwa ku post ???

Maana hadi tunaogopa Udini umekuwa too much vilevile sisi sote tunavyopiga kura huwa hatuchagui mashehe au mapadri (hatuchagui wa kusalisha au kuendesha misa ) bali tunachagua viongozi wa kisiasa.
Naomba tujirekebishe
 
sasa mods wako wapi au sasa ni ruksa kuleta udini na hata wengine huko nyuma kutukana dini za wengine????

Je hapa waislam wanaruhusiwa ku post ???

Maana hadi tunaogopa udini umekuwa too much vilevile sisi sote tunavyopiga kura huwa hatuchagui mashehe au mapadri (hatuchagui wa kusalisha au kuendesha misa ) bali tunachagua viongozi wa kisiasa.
Naomba tujirekebishe

inshaallah
 
Na mkwere amefanya uteuzi wa wabunge waisilamu watatu, na hao saba waliobaki watakuwa waisilamu ili kubalance!
 
Kuna ninaowajua watakuja kudai unaleta udini lakini ingekuwa Chadema kwao ni big deal, usifunike kombe endeleza hadi kieleweke.

Kaka sikutegemea na wewe kama katika chama cha watu wabaguzi wa kidini. Kwani mkristo alikatazwa asigombee zanzibar? What is so special about mkristo kugombea zanzibar kama sio chokochoko zenye msukumo wa ubaguzi wa kidini. Huu ujinga kujadili mjadala ulio pointless kama huu:A S angry:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom