Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Status
Not open for further replies.
Kaka sikutegemea na wewe kama katika chama cha watu wabaguzi wa kidini. Kwani mkristo alikatazwa asigombee zanzibar? What is so special about mkristo kugombea zanzibar kama sio chokochoko zenye msukumo wa ubaguzi wa kidini. Huu ujinga kujadili mjadala ulio pointless kama huu:A S angry:

Nasikia wakigombe wanaitwa 'Makafri'

Kama kweli Mkwere angekuwa anaona mbali, basi angemkumbuka japo Mkristo mmoja kutoka Zanzibar katika wale watatu aliowateu jana.

Au Wakristo wa Zanzibar majuha? Makokoto?
 
Kaka kuitwa kafiri ni tabia za watu na infact kafiri sio tusi bali ni mtu asiyeamini mungu kabisa mkristo anaitwa asiyeamini kitabu (ndio jina sahihi). Lakini mbona waislamu dar mnawaita waswahili, wapemba haya majina ni ya kudhalilishana kabisa lakini mnaona sawa? Halafu kwanini JK awapendeleee kwani nyie mmependelea waislamu wangapi katika viti maalum? I beg to differ mkuu!!
 
Kwani kuna kosa gani kumwita mkristo kafiri? Kwani Nini maana ya "kafiri?"
 
Kwani kuna kosa gani kumwita mkristo kafiri? Kwani Nini maana ya "kafiri?"

Kama soma posti hapo juu nimetoa maana ya kafiri sio tusi kabisa. Lakini wakristo kila kukicha wanawatukana waislamu kuwaita waswahili, wapemba je haya sio matusi?
 
kuna meneo mengine mfano MORO, kampeni za uchaguzi, udinini ulitumika sdana mpaka akina FIKIRI walidiriki kusema kuwa kanisa katoliki liliua watu RWANDA, kisa Dr.Slaa kugombea uraisi, kesho ukigombea mkatoliki kupitia CCM sijui watasema nini. Inahuzunisha sana kutoa matamshi ya uchochezi namna hii. HII NI dHAMBI INTATULA JAMANI. Tanzania ni yetu sote uwe na dini usiwe na dini.
 
Baada ya kuvuruga matokeo ya uchaguzi kwa makusudi, nilivunjika moyo na kuona aliyeteuliwa na tume ya uchaguzi, kwanza sio competent, pia alisha anza kuleta mambo ya udini kwenye kampeni na kuendeleza mijadala ya udini, na sasa hali iko wazi kama we si shehe, sahau cheo cha kuteuliwa, hata kupata kazi serikalini huwezi kuchomoza kama we ni nyange.
 
99% waislamu? Umeitoa wapi hii?

angalia hapo kwenye nyekundu chini (Kipengere cha religion)

Source: CIA World Factbook Population
41,892,895
country comparison to the world: 31 note: estimates for this country explicitly take into account the effects of excess mortality due to AIDS; this can result in lower life expectancy, higher infant mortality, higher death rates, lower population growth rates, and changes in the distribution of population by age and sex than would otherwise be expected (July 2010 est.)
Age structure:
0-14 years: 43% (male 8,853,529/female 8,805,810)
15-64 years: 54.1% (male 10,956,133/female 11,255,868)
65 years and over: 2.9% (male 513,959/female 663,233) (2010 est.)
Median age:
total: 18.3 years
male: 18 years
female: 18.5 years (2010 est.)
Population growth rate:
2.032% (2010 est.)
country comparison to the world: 52 Birth rate:
33.44 births/1,000 population (2010 est.)
country comparison to the world: 40 Death rate:
12.31 deaths/1,000 population (July 2010 est.)
country comparison to the world: 29 Net migration rate:
-0.81 migrant(s)/1,000 population (2010 est.)
country comparison to the world: 152 Urbanization:
urban population: 25% of total population (2008)
rate of urbanization: 4.2% annual rate of change (2005-10 est.)
Sex ratio:
at birth: 1.03 male(s)/female
under 15 years: 1.01 male(s)/female
15-64 years: 0.98 male(s)/female
65 years and over: 0.77 male(s)/female
total population: 0.98 male(s)/female (2010 est.)
Infant mortality rate:
total: 68.13 deaths/1,000 live births
country comparison to the world: 22 male: 75 deaths/1,000 live births
female: 61.05 deaths/1,000 live births (2010 est.)
Life expectancy at birth:
total population: 52.49 years
country comparison to the world: 207 male: 50.99 years
female: 54.03 years (2010 est.)
Total fertility rate:
4.31 children born/woman (2010 est.)
country comparison to the world: 40 HIV/AIDS - adult prevalence rate:
6.2% (2007 est.)
country comparison to the world: 12 HIV/AIDS - people living with HIV/AIDS:
1.4 million (2007 est.)
country comparison to the world: 6 HIV/AIDS - deaths:
96,000 (2007 est.)
country comparison to the world: 7 Major infectious diseases:
degree of risk: very high
food or waterborne diseases: bacterial diarrhea, hepatitis A, and typhoid fever
vectorborne diseases: malaria and plague
water contact disease: schistosomiasis
animal contact disease: rabies (2009)
Nationality:
noun: Tanzanian(s)
adjective: Tanzanian
Ethnic groups:
mainland - African 99% (of which 95% are Bantu consisting of more than 130 tribes), other 1% (consisting of Asian, European, and Arab); Zanzibar - Arab, African, mixed Arab and African
Religions:
mainland - Christian 30%, Muslim 35%, indigenous beliefs 35%; Zanzibar - more than 99% Muslim
Languages:
Kiswahili or Swahili (official), Kiunguja (name for Swahili in Zanzibar), English (official, primary language of commerce, administration, and higher education), Arabic (widely spoken in Zanzibar), many local languages
note: Kiswahili (Swahili) is the mother tongue of the Bantu people living in Zanzibar and nearby coastal Tanzania; although Kiswahili is Bantu in structure and origin, its vocabulary draws on a variety of sources including Arabic and English; it has become the lingua franca of central and eastern Africa; the first language of most people is one of the local languages
 
Wakuu siyo kila mada ni ya kidini ila tatizo ni jinsi wengi wetu tunavyo uliza maswali. Ni vizuri kuwa muazi katika matamshi yako lakini pia uwe na staha na ujiulize je swali ninalo uliza nimeliuliza katika njia sahihi? Sometimes it is not what you ask but how you ask it. Pia ningependa kuwaonya ndugu wanaJF tusiangalie kila kitu katika context ya dini na pia tusikimbilie kuita kila kitu udini ili mradi kuua mada.

Back to the topic. Mkuu muanzisha mada ni kweli Zanzibar Waislamu ni 99% na infact 1% iliyo baki siyo wote ni Wakristo kuna Hindus na wapagani pia. Statistic hizi unaweza kucheki kwenye source mbali mbali mfano ni CIA World Factbook. Sasa tuondoke kwenye politics tuingia kwenye science of probability. 99% means 99 out of every 100. Kwa hiyo probability ya kuwa na muwakilishi Muislamu kwenye baraza la Wawakilishi (HOR) ni mara 99 katika kila wawakilishi 100. HOR lina wajumbe 82. Ukipiga mahesabu hapo probability ya kuwa na Wawakilishi woye Waislamu ni ngapi? Ita kuwa more than 99%.

Politically speaking lazima tujiulize je wasiyo Waislamu wangapo wana jitokeza kugombea? Kwa sababu ya uchache wao (dini zote zingine zina watu chini ya 1%) si rahisi kwao kushiriki siasa kikamilifu. Siyo kwamba wanazuiwa ila ni rahisi hata wao wenyewe kuogopa kuji tokeza.

Lakini pia tumezidi kuangalia kila kitu kwa idadi ya Wakristo na Waislamu je dini zingine vipi? Tanzania kuna wapagani, Hindu, etc je mbona hawa hawa hoji uwiano wao katika vyombo vyetu vya wawakilishi? Kwa nini siku zote tunajiangalia tu sisi Wakristo na Waislamu ambao tupo wengi? Je hawa wenzetu ambazo dini zao ni minority tusha wafikiria?
 
Kidogo kidogo naanza kupata majibu

Kwahiyo ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna utawala wa Kifalme? Duh!

Mkuu kumbe na wewe ni mwenye kufikiria kwa kiwango hicho, vitu vingine ukipewa unaomba source na data, sasa hili limeongelea unakokutaka wewe unaona ni jibu murua bila kuomba data wala source

mwambie huyo aliyekupa hilo jibu akupe na data
 
Nasikia wakigombe wanaitwa 'Makafri'

Kama kweli Mkwere angekuwa anaona mbali, basi angemkumbuka japo Mkristo mmoja kutoka Zanzibar katika wale watatu aliowateu jana.

Au Wakristo wa Zanzibar majuha? Makokoto?

Acha kupotosha umma wewe. Nani aligombea zenji akaambiwa ni kafiri
hivi bado hujaacha siasa zako za kuupiga vita uislam? Unajisumbua bure ndugu yangu.
 
Wakuu siyo kila mada ni ya kidini ila tatizo ni jinsi wengi wetu tunavyo uliza maswali. Ni vizuri kuwa muazi katika matamshi yako lakini pia uwe na staha na ujiulize je swali ninalo uliza nimeliuliza katika njia sahihi? Sometimes it is not what you ask but how you ask it. Pia ningependa kuwaonya ndugu wanaJF tusiangalie kila kitu katika context ya dini na pia tusikimbilie kuita kila kitu udini ili mradi kuua mada.

Back to the topic. Mkuu muanzisha mada ni kweli Zanzibar Waislamu ni 99% na infact 1% iliyo baki siyo wote ni Wakristo kuna Hindus na wapagani pia. Statistic hizi unaweza kucheki kwenye source mbali mbali mfano ni CIA World Factbook. Sasa tuondoke kwenye politics tuingia kwenye science of probability. 99% means 99 out of every 100. Kwa hiyo probability ya kuwa na muwakilishi Muislamu kwenye baraza la Wawakilishi (HOR) ni mara 99 katika kila wawakilishi 100. HOR lina wajumbe 82. Ukipiga mahesabu hapo probability ya kuwa na Wawakilishi woye Waislamu ni ngapi? Ita kuwa more than 99%.

Politically speaking lazima tujiulize je wasiyo Waislamu wangapo wana jitokeza kugombea? Kwa sababu ya uchache wao (dini zote zingine zina watu chini ya 1%) si rahisi kwao kushiriki siasa kikamilifu. Siyo kwamba wanazuiwa ila ni rahisi hata wao wenyewe kuogopa kuji tokeza.

Lakini pia tumezidi kuangalia kila kitu kwa idadi ya Wakristo na Waislamu je dini zingine vipi? Tanzania kuna wapagani, Hindu, etc je mbona hawa hawa hoji uwiano wao katika vyombo vyetu vya wawakilishi? Kwa nini siku zote tunajiangalia tu sisi Wakristo na Waislamu ambao tupo wengi? Je hawa wenzetu ambazo dini zao ni minority tusha wafikiria?

Mkuu tupo pamoja kabisa, hii dhana ya udini inakuja kwa watu wale waliofirisika sera na upeo, JK na kampani yake walifirisika sera na hoja za kushindana na Dr Slaa na wakaingiza udini na kuna watu mpaka leo wanaamini hivyo, na hiyo issue pia ilitumika wakati CUF ilipokuwa na nguvu

mimi nadhani cha muhimu ni kujaribu kuangalia matatizo ya nchi hii na pia kuangalia ni jinsi gani ya kuyatatua haya matatizo likiwemo la kuitoa CCM madarakani
 
Naomba tafsiri ya maneno hayo yenye rangi nyekundu. Asante:A S angry:

Rev Masanilo mada zako nyingi ni kuchochea udini nakujua sijashangaa ulivyosema hivyo. Pia nimecheka wewe ulivyosema ni kisiwa cha usultani wa kiislamu
 
kuna meneo mengine mfano MORO, kampeni za uchaguzi, udinini ulitumika sdana mpaka akina FIKIRI walidiriki kusema kuwa kanisa katoliki liliua watu RWANDA, kisa Dr.Slaa kugombea uraisi, kesho ukigombea mkatoliki kupitia CCM sijui watasema nini. Inahuzunisha sana kutoa matamshi ya uchochezi namna hii. HII NI dHAMBI INTATULA JAMANI. Tanzania ni yetu sote uwe na dini usiwe na dini.
Hapo umenena na nimekuelewa. Ila kwa uzoefu wangu na chama hiki cha mapinduzi, mtu wanae msimamisha wao anakuwa ni safi wakati huo pasipo kujali dini au imani yake, tatizo ni kwa wangine.

Chukulia mchakachuo wa Sitta ungefanywa na chama kingine cha upinzani, wangenunua magezeti na kuyagawa bure kama walivyofanya kule Arusha wakati wa kampeni ili kumchafua Dr. Slaa. CCM ni wa kuogopa kama ukoma na kuendelea kuongozwa na CCM ni maafa makubwa
 
Rev Masanilo mada zako nyingi ni kuchochea udini nakujua sijashangaa ulivyosema hivyo. Pia nimecheka wewe ulivyosema ni kisiwa cha usultani wa kiislamu

Nakutaadhalisha na kukupa onyo! Hunijui sikujui. Mkiambiwa ukweli mnakimbilia kusema ni Udini.....! Udini maana yake ni kitu gani? Next time shirikisha ubongo na si udongo katika kufikiria.

Umenikera naogopa BAN ningekupa kubwa yako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom