Kucheka cheka kutakuponza siku nyingine .....unajua mirindimo ya Pwani? wewe jichekeshe hahahahahah
By the way unaweza kunisaidia tafsiri ya neno hapo juu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kucheka cheka kutakuponza siku nyingine .....unajua mirindimo ya Pwani? wewe jichekeshe hahahahahah
By the way unaweza kunisaidia tafsiri ya neno hapo juu?
Nenda Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili (TUKI)- Pale UD watakusaidia na wanaofisi kule mjini pia.
Wacha uzushi...Ulimsikia nani na lini????
Kuongelea DINI si UDINI ila kutumia DINI ili kupata AFADHARI, FAIDA, UPENDELEO, AHUENI, ......etc ndiyo UDINI (This is by Me). Otherwise kama ingekuwa kuongela dini ni UDINI basi hata wakati unapewa hilo jina lako halisi ingekuwa UDINI...........maana kama ni muisla unapewa na kiislamu na kama ni mkristu basi unapewa la kikristu........etcsio udini wakati unaongelea masuala ya kidini...dah!! Kweli wabongo nuksi....
Kwani kuna kosa gani kumwita mkristo kafiri? Kwani Nini maana ya "kafiri?"
Hoja ya kipumbavu sana ni sawa na kuuliza kuna mbunge yeyote toka Bukoba si mhaya, ni upuuzi, kwanza Zanzibar ina zaidi ya asilimia 99 waislamu na wakristu wwaliopo wengi ni wahamiaji au mashirika ya kidini, cha ajabu kwa Zanzibar kuwa na waislamu wote wabunge ni nini? Udini acheni, ufisadi hauna dini, rushwa haina dini, hawa viongozi wanavyoibia nchi wanashirikiana vizuri ha hawaulizani dini zao
Hii ni lugha gani?inshaallah
Na mimi naongezea swali la tatu.Sidhani kama hili ni swali la kidini. Hii ni study ya demographics tu. Ni swali sahihi na linapaswa kujibiwa.
Na mimi naongeza swali lingine.
Je, Zanzibar kulikuwa na mgombea ubunge yeyote ambaye alikuwa mkristo?
Tuacheni na mambo ya udini na ukabila. Kuna mambo muhimu sana ya kujadili kati nchi ya Tanzania. Kwanza Tanzania watu wanashika dini sawa sawa mboni ni wachache sana. Ukiuliza watu maswali kuhusu dini yao wachache sana wataweza kujibu kwa ufasaha. wengi wetu dini ni mazoea tu. Lakini watu wanaifanya big deal. Tujadili issues nyeti za taifa ili ambazo zinafaida kwa kila mwananchi. Kwa mfano fisadi akiiba fedha za umma wananchi wote wanakosa huduma muhimu.
post #63.
umechelewa kuingia jamvini. pole, lakini karibu. umekuja kwa kasi utatoka kwa kasi.
Wenzako walishasema kuhusu hiyo 99% 'ya mdomoni'. Tunataka data, Zanzibar kuna wananchi wangapi ili tujue hiyo 99% ni raia wangapi na 1% inayobaki ni Wakristu wangapi.
Then tupime kama hiyo 1% ni idadi ndogo kiasi hawastahili kugombea nafasi yoyote hata ya Sheha.
Hoja ya kipumbavu sana ni sawa na kuuliza kuna mbunge yeyote toka Bukoba si mhaya, ni upuuzi, kwanza Zanzibar ina zaidi ya asilimia 99 waislamu na wakristu wwaliopo wengi ni wahamiaji au mashirika ya kidini, cha ajabu kwa Zanzibar kuwa na waislamu wote wabunge ni nini? Udini acheni, ufisadi hauna dini, rushwa haina dini, hawa viongozi wanavyoibia nchi wanashirikiana vizuri ha hawaulizani dini zao
Katika michango yote iliyotolewa kujibu post hii, mchango huu ndo pekee unaoonekana kuwa wa maana. Hakuna cha ajabu kwa zenji kuwa na wawakilishi wote waislam kama ambavyo haikuwa ajabu kwa chama cha tanu kuwa wanachama wengi waislam wakati wa kudai uhuru kama ambavyo pia si ajabu chadema kuwa na wanachama wengi wachaga kama ambavyo pia si ajabu cuf kuwa na wanachama wengi wapemba.
Ni wakati wa kujenga nchi sasa na sio wakati wa kurumbana na mijadala isiyo na mantiki. Naungana na mdau hapo juu kuwa mafisadi hushirikiana kuiba uchumi wa nchi yetu, wao hawaulizani dini wa kabila.