Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Status
Not open for further replies.
Nenda Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili (TUKI)- Pale UD watakusaidia na wanaofisi kule mjini pia.

Basi kama hujui tafsiri yake turudi katika mada husika je kuna umuhimu gani wa kuwa na mbunge mkristo zanzibar??? na Kwanini apendelewe naomba niwasilishe hoja!
 
sio udini wakati unaongelea masuala ya kidini...dah!! Kweli wabongo nuksi....
Kuongelea DINI si UDINI ila kutumia DINI ili kupata AFADHARI, FAIDA, UPENDELEO, AHUENI, ......etc ndiyo UDINI (This is by Me). Otherwise kama ingekuwa kuongela dini ni UDINI basi hata wakati unapewa hilo jina lako halisi ingekuwa UDINI...........maana kama ni muisla unapewa na kiislamu na kama ni mkristu basi unapewa la kikristu........etc

BY THE WAY..............DEFINE UDINI
 
Kwani kuna kosa gani kumwita mkristo kafiri? Kwani Nini maana ya "kafiri?"

KWANZA TRANSLATE KWA FAIDA YA WADU, NINI MAANA YA NENO KAFIR KUTOKA KIARABU KUJA KISWAHILI FASAHA. PILI UNAONAJE MTU AKISEMA WAISLAMU NI MAGAIDI? UTAJISIKIAJE? MAANA MPAKA LEO WENYE KESI ZA UGAIDI NI WAISLAMU, TUIHUSISHE DINI YA KIISLAMU NA UGAIDI? IRAQ NI NCHI YA KIISLAMU, LAKINI TAREQ AZIZ ALIYEKUWA MAKAMU WA RAIS WA SADDAM HUSSEIN NI MKRISTO,
TURUDI KWENYE MADA, KWA NINI WAZANZIBAR HAKUNA WABUNGE HATA WA VITI MAALUM WAKRISTO? NA HILO TUMELIONA KWA CUF ZILE NAFASI ZA VITI MAALUM ZOTE WAMECHAGUWA WANAWAKE WAISLAMU. WHY?:nono:
 
Hoja ya kipumbavu sana ni sawa na kuuliza kuna mbunge yeyote toka Bukoba si mhaya, ni upuuzi, kwanza Zanzibar ina zaidi ya asilimia 99 waislamu na wakristu wwaliopo wengi ni wahamiaji au mashirika ya kidini, cha ajabu kwa Zanzibar kuwa na waislamu wote wabunge ni nini? Udini acheni, ufisadi hauna dini, rushwa haina dini, hawa viongozi wanavyoibia nchi wanashirikiana vizuri ha hawaulizani dini zao
 
Sidhani kama hili ni swali la kidini. Hii ni study ya demographics tu. Ni swali sahihi na linapaswa kujibiwa.
Na mimi naongeza swali lingine.
Je, Zanzibar kulikuwa na mgombea ubunge yeyote ambaye alikuwa mkristo?
 
post #63.

umechelewa kuingia jamvini. pole, lakini karibu. umekuja kwa kasi utatoka kwa kasi.

Wenzako walishasema kuhusu hiyo 99% 'ya mdomoni'. Tunataka data, Zanzibar kuna wananchi wangapi ili tujue hiyo 99% ni raia wangapi na 1% inayobaki ni Wakristu wangapi.

Then tupime kama hiyo 1% ni idadi ndogo kiasi hawastahili kugombea nafasi yoyote hata ya Sheha.
 
Alichokuwa aNataka ,muanzisha mada ni kujua jee yupo Mbunge/Mwakilishi Mkristo Zanzibar?. JIBU NI WAPO.
 
Sidhani kama hili ni swali la kidini. Hii ni study ya demographics tu. Ni swali sahihi na linapaswa kujibiwa.
Na mimi naongeza swali lingine.
Je, Zanzibar kulikuwa na mgombea ubunge yeyote ambaye alikuwa mkristo?
Na mimi naongezea swali la tatu.
Je, kama alikuwepo mgombea mktisto, alipata ubunge au uwakilishi?
 
Tuacheni na mambo ya udini na ukabila. Kuna mambo muhimu sana ya kujadili kati nchi ya Tanzania. Kwanza Tanzania watu wanashika dini sawa sawa mboni ni wachache sana. Ukiuliza watu maswali kuhusu dini yao wachache sana wataweza kujibu kwa ufasaha. wengi wetu dini ni mazoea tu. Lakini watu wanaifanya big deal. Tujadili issues nyeti za taifa ili ambazo zinafaida kwa kila mwananchi. Kwa mfano fisadi akiiba fedha za umma wananchi wote wanakosa huduma muhimu.

Jibu kama wapo au hawapo basi,usianze kulia lia hapa!
Au mzenji na wewe nini?maana hamguswi saivi kidogo tu mlisha lipuka
 
JK na wenzake hawaju siasa, mwalimu aliweza kumuweka japo Mzee Mwakanjuki kwa muda mrefuuuuuuu sana pale amkuwa mbuge, sasa JK nafasi zake 10 ndio alitakiwa atumie kufanya hivyo, sas akashateua 3 toka zanzibar nadhani 7 ni Tanzania Bar na nadhani CUF atawapa 2 tena, kwahiyo zina baki 5
 
post #63.

umechelewa kuingia jamvini. pole, lakini karibu. umekuja kwa kasi utatoka kwa kasi.

Wenzako walishasema kuhusu hiyo 99% 'ya mdomoni'. Tunataka data, Zanzibar kuna wananchi wangapi ili tujue hiyo 99% ni raia wangapi na 1% inayobaki ni Wakristu wangapi.

Then tupime kama hiyo 1% ni idadi ndogo kiasi hawastahili kugombea nafasi yoyote hata ya Sheha.

well said. hiyo data ni ya kilevi. Ni sawa na wanaoingia misikitini dar, wakiona idadi yao wanaposwali msikitini wanaibuka na kusema waislamu ni wengi tz kuliko wakristo, ilhali sehemu nyingi hapa tz uislamu ni kama umbali wa mbingu na nchi wala haifikiriki kuwa kuna dini kama hiyo hapa duniani.
 
huu sasa ni udini...! wewe unajua kabisa kuwa sehemu fulani inakaliwa na watu fulani tu.....then swali ladai udini....!
MBONA HAKUNA MBUNGE MPEMBA AU MUUNGUJA UCHAGANI(ina maana chadema ni ya ukabila?)
 
Hoja ya kipumbavu sana ni sawa na kuuliza kuna mbunge yeyote toka Bukoba si mhaya, ni upuuzi, kwanza Zanzibar ina zaidi ya asilimia 99 waislamu na wakristu wwaliopo wengi ni wahamiaji au mashirika ya kidini, cha ajabu kwa Zanzibar kuwa na waislamu wote wabunge ni nini? Udini acheni, ufisadi hauna dini, rushwa haina dini, hawa viongozi wanavyoibia nchi wanashirikiana vizuri ha hawaulizani dini zao

Katika michango yote iliyotolewa kujibu post hii, mchango huu ndo pekee unaoonekana kuwa wa maana. Hakuna cha ajabu kwa zenji kuwa na wawakilishi wote waislam kama ambavyo haikuwa ajabu kwa chama cha tanu kuwa wanachama wengi waislam wakati wa kudai uhuru kama ambavyo pia si ajabu chadema kuwa na wanachama wengi wachaga kama ambavyo pia si ajabu cuf kuwa na wanachama wengi wapemba.
Ni wakati wa kujenga nchi sasa na sio wakati wa kurumbana na mijadala isiyo na mantiki. Naungana na mdau hapo juu kuwa mafisadi hushirikiana kuiba uchumi wa nchi yetu, wao hawaulizani dini wa kabila.
 
Kwa mara hii hakuna kwa sababu hawakushinda, kuna mmoja ambaye alikuwa mkristo amesilimu miaka mingi tu nae ni Thuwayba Kisasi
 
Katika michango yote iliyotolewa kujibu post hii, mchango huu ndo pekee unaoonekana kuwa wa maana. Hakuna cha ajabu kwa zenji kuwa na wawakilishi wote waislam kama ambavyo haikuwa ajabu kwa chama cha tanu kuwa wanachama wengi waislam wakati wa kudai uhuru kama ambavyo pia si ajabu chadema kuwa na wanachama wengi wachaga kama ambavyo pia si ajabu cuf kuwa na wanachama wengi wapemba.
Ni wakati wa kujenga nchi sasa na sio wakati wa kurumbana na mijadala isiyo na mantiki. Naungana na mdau hapo juu kuwa mafisadi hushirikiana kuiba uchumi wa nchi yetu, wao hawaulizani dini wa kabila.

Mkuu umezungumza pointi nzuri sana ila humu jamvini kuna watu wabaguzi wa dini akiteuliwa mkristo anaitwa mtoto wa mkulima (Mfano Mizengo Pinda). Wakiteuliwa waislamu wanaanza kulalama JK amependelea tutafika kweli? Au waislamu sio jamii ya watanzania? Mweh wacha nikamalize mzigo wangu nikitazama thread ya bunge maana angalau inavutia kusoma ila hapa sijaona kitu cha msingi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom