- Katiba inakubali kwamba wananchi Millioni 5, wanaweza kuwakilisha maoni ya wananchi Millioni 45 isipokuwa katiba haisemi kwamba wabunge 46 wanaweza kubadilisha katiba, isipokuwa wabunge 2/3 ya bunge zima, again ninasema hivi Chadema na wabunge 46 hawana mandate ya wananchi wote sisi Millioni 45.
- Nilijua kuwa baada ya kuzidiwa kwenye serious debate, utarudi kwenye familia, and then itakua elimu na baadaye umaarufu, unasema serikali iite kura za maoni kwa sababu ya wabunge 46 kugomea hotuba ya rais? Na hizo kura vipi hazitaibiwa? Kama nilivyosema haya mambo yana make a lot of sense kule mtaani, isipokuwa hapa uwanja wa werevu![/SIZE
William turudi kwenye somo la demokrasia, unakumbuka wakati tunaingia kwenye mfumo wa vyama vingi serikali iliunda tume kutafuta maoni ya wananchi, watanzania wengi walipendelea tuendelee na mfumo wa chama kimoja, pamoja na kuwa wananchi walipendekeza tuendelee na mfumo wa chama kimoja, serikali ilikubali tuwe na vyama vingi, unataka kuniambia kuwa CCM hii haijageuka kuwa mfano wa kambi ya kisultan ? Laiti kama Mwl. Nyerere angekuwa na mawazo duni kama ya hawa viongozi wetu leo hii labda tungekuwa na Raisi Madaraka Nyerere, unapojifanya hulielewi jambo hili hapo ndipo unanishangaza si lazima tukubaliane lakini CCM hii si CCM aliyoienzi Mwl. Nyerere. Hao wabunge wa Chadema hawakujipeleka Bungeni wamechaguliwa na wananchi hivyo wanahaki ya kimsingi kabisa kuwailisha mawazo ya wananchi waliowachagua, nitafutie hicho kipengele cha katiba kinachosema wananchi mil.5 wanaweza kuwakilisha maoni ya wananchi mil. 45. Kilio cha katiba si cha Chadema ni cha watanzania wenye kutaka mabadiliko ya kweli ambao ni wengi kuliko hao mil. 5 unawaongelea. Wabunge wa Chadema kugomea hotuba ya Raisi si kitu kigeni kwenye nchi zenye mfumo wa vyama vingi, labda kama hufuatilii habari mabunge duniani