Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanzoni anasema CHADEMA wametoka wakati Mh. Rais wa Jamuhuri Ya Muungano akiingia. Hii tayari ni kutambua kuwa kuna Rais. Pia anasema wanapeleka maelezo yao serikalini, inamaana wanaimani na serikali. Je, serikali inaongozwa na nani? Sio kwamba haya maelezo yanapelekwa kwa serikali ya Kikwete? Halafu, tatizo ni madai ya utekelezaji wa madai mbalimbali au tatizo ni uchaguzi? Mbona kama wanalalamikia sheria na madai yasiyo na uhusiano na uchaguzi? Pia anahitaji utekelezaji wa hayo katika uchaguzi wa 2015, inamaana uchaguzi huu amekubali kimsingi kwamba CHADEMA wameyakubali matokeo? Kwahiyo tatizo lipo katika maeneo hayo tu aliyotaja na si Urais? Maana hajazungumzia kabisa uwezekano wa yeye kunyang'anywa Urais.
It was an ACT of confidence that is very true but for how long is this going to last? Mwisho wa siku sie wananchi tutaumia sana kusipokuwa na umoja huko bungeni, we are damned!!
Wamejaa washabiki ya chadema JF, uwezi kupata mjadala wenye matiki hapa....
kwi kwi kwikwi kwi viongozi gani wa dini wanaoweza kumkemea? Thubutu! hutasikia yeyote akinyanyua mdomo! Labda Mnishi:teeth:Ni jambo la kusikitisha sana kuona kiongozi mkuu wa nchi anaeneza propaganda zisizo na tija kwa taifa. Kutokana na wimbo huu wa udini ambao kikwete amekua akiuimba kila anapopata nafasi ya kuongea mbele ya hadhara watu wengi sasa wameanza kuamini kwamba tanzania kuna udini. Huu ni uchochezi wa hali ya juu tena unaoenezwa mkuu wa nchi. HII NI HATARI KUBWA HAKIKA RAIS ANALIPELEKA TAIFA PABAYA NAWAOMBA VIONGOZI WA DINI WAMKEMEE MARA MOJA!
Sioni kama ilikuwa ni ushujaa wowote kwa sababu waliondoka ukumbi wa bunge na wakenda ukumbi mwingine kumwangalia kupitia luninga-Is a kindly shameful too!
Kiranga hii inakusumbua wewe tu. FYI sisi tuliopiga kura ni sisi hawa hawa tutawarudisha maana tunajua nini wanafanya. Nyie ambao hamkupiga kura/mlipigia vyama vingine ndio mnajaribu kujifanya hamtawapigia Chadema next election? Ohhhhhhhh wacha kupoteza muda wako kufikiria haya maana mwaka 2015 omba Mungu uwepo na ushangae jinsi mabadiliko ya uongozi yatakavyokuwa makubwa. Na chadema watakuwa 100 bungeni.Mimi sikatai kwamba kuna haja ya protest, kuna haja ya mabadiliko. Nimesema hayo hapa mara nyingi.
Ila naona kama CHADEMA wana squander an opportunity. Dr. Slaa katuambia CHADEMA ni chama consistent, consistency yenyewe ndiyo hii ya kumtambua rais Kikwete kwa kushiriki katika kura ya kumhakiki Pinda, halafu baada ya hapo kutoka nje ya bunge kwa kusema hawamtambui Kikwete kama rais ?
CHADEMA wana a clear strategy au wana improvise as they go ? Kikwete akiteua mawaziri, mawaziri hawa wakija bungeni, wabunge wa CHADEMA watafanya kazi na hawa mawaziri? Watachangia mijadala?
Wakichangia, watachangia kwenye serikali inayoongozwa na nani? Watachangia miswada ya wizara zinazoongozwa na mawaziri walioteuliwa na nani?
Hii habari ya kutomtambua rais CHADEMA wana strategy gani long term? Wanataka ku sit out the rest of this 5 years au watarudi bungeni? Kama watarudi bungeni ni kwa misingi gani? Kama wata sit out watawaambia nini wananchi waliowatuma wawawakilishe bungeni?
yeye ndo mwenye kuleta udini kwani tumeshuhudia dini yake ikiwaambia waumini wake kuwa kuliko kuchagua kafiri bora kula ya zao apigiwe lipumba, sasa huo udini nani anauleta? Hapohapo anamtumia membe kuwaletea watanzani mahakama ya kadhi wakati hilo si swala la kitaifa bali ni swala la dini ya kislamu,huyu mkwere hana jipya aende zake msonga akauze machungwa