Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Shakha alikuwa na kashfa za rushwa na alimsimamisha live kweupe mbele ya umma! Samia kuja kumteua shakha, Shakha alikuwa kifungoni ndani ya chama kwa tuhuma za Arusha mara baada sauti yake kufuja akikiri alipokea fedha zaidi ya milion 12.Shaka Hamdu Shaka
How? Vipi? Mi nilidhani ni mtu mdogo sana aliye sky rocket from nowhere aiseeChongolo Ilikuwa ni makamu Mwenyekiti huyu ni Mtu muhimu sana ndani ya Chama
Huyo ni zao la CCM anaijua Nje ndani!How? Vipi? Mi nilidhani ni mtu mdogo sana aliye sky rocket from nowhere aisee
Na uoga wa uzuzu, halafu mnataka kujilinganisha na democracy ndani ya ANC!,elewa hawa ANC wameshawavua Urais marais 2 na mwingine kakalia kuti kavu, uzuzu ndio veto pekee ya chama dola.Magufuli alikuwa alete mabadiliko sana ndani ya chama-yani tumerudi nyumba kwenyw chama kwa hatua 1000
Chama kimerudi kwa watoto wa mjini,sisi wenye chama chetu tunawaangali huku tukisoma mchezo taratibu
Siku akitoka, mtafanyia haya mnayomfanyia Bashiru Kakurwa,Huyo ni zao la CCM anaijua Nje ndani!
Hana papara wala makundi
Ni mcha Mungu
Akiondoka kwenda wapi?Siku akitoka, mtafanyia haya mnayomfanyia Bashiru Kakurwa,
Mkiongozwa na Msukuma, Kibajaji na Kigwangwala,
CCM kwa fitna mko vizuri,
Mkuu tukuulize wewe ambaye ndie umeleta hii habari kwa maana imeonekana hiyo plan B una maelezo yake, vinginevyo tutakuwa tunamaliza tu vifurushi vyetu kwa kuleta malumbano hapa, ama wewe ndie unayejua au mwendazake.Hili liko wazi kuwa Bashiru kuendelea kuwa katibu Mkuu CCM baada ya kuwa katibu Mkuu Kiongozi ilikuwa ngumu. Magufuli alikuwa tayari ana plan B ya kumpata Katibu Mkuu CCM pamoja na Katibu Mwenezi CCM...
Hili liko wazi kuwa Bashiru kuendelea kuwa katibu Mkuu CCM baada ya kuwa katibu Mkuu Kiongozi ilikuwa ngumu. Magufuli alikuwa...
Shaka na Chongolo sidhanisubutuuuu
shaka na chongolo?
Swali gani hili bwashee, kwani atakuwa Rais milele?Akiondoka kwenda wapi?