Ni nani aliyekuwa ameandaliwa na Hayati Magufuli kuja kuwa Katibu Mkuu CCM baada ya Bashiru kula kiapo cha kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?

Ni nani aliyekuwa ameandaliwa na Hayati Magufuli kuja kuwa Katibu Mkuu CCM baada ya Bashiru kula kiapo cha kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?

Hili liko wazi kuwa Bashiru kuendelea kuwa katibu Mkuu CCM baada ya kuwa katibu Mkuu Kiongozi ilikuwa ngumu. Magufuli alikuwa tayari ana plan B ya kumpata Katibu Mkuu CCM pamoja na Katibu Mwenezi CCM, maana Polepole tayari alikuwa ameshasukumizwa bungeni tayari.

Sasa mimi nauliza ni kina nani hao ambao walikuwa wameandaliwa kurithi mikoba ya kina Polepole na Bashiru? Je, ni hawa kina Chongolo na Shaka?
difficult to tell for certeinity
 
Back
Top Bottom