Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Acha upumbavu. Hili ni taifa huru soma katiba ya JMT ibara ya 18.Ama kweli mambo yamebadirika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu rais Samia aingie madarakani. Na kwa kuwa rais wetu hayupo nchini na kulingana na mtifuano mkali uliopo wa ripoti wa CAG na serikali ni nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?
Ibara ya 18, tena vyama vya siasa vipo kikatiba tangu 1992. Hawa CHATO GANG tukiwachekea watatuchelewesha! Ni wasaliti tena wanatumiwa na mabeberu! kkkkkKatiba imeruhusu
Ama kweli mambo yamebadirika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu rais Samia aingie madarakani. Na kwa kuwa rais wetu hayupo nchini na kulingana na mtifuano mkali uliopo wa ripoti wa CAG na serikali ni nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?
Acha upumbavu. Hili ni taifa huru soma katiba ya JMT ibara ya 18.
Vipi hawajambo Chato? Ndege zinatua hapo au mmeshaanza kufugia mbuzi.
Wanataka waanze kuleta usumbufu wao tena kwa mama samia baada ya kumkimbia magufuli eeh, kichapo walichokua wanapata toka kwa magufuli kilikua cha haja,mpk wakakimbia wote,wakianza mambo yao ya kumsumbua mama watakula viboko tu saiv 😂😂😂Ama kweli mambo yamebadirika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu rais Samia aingie madarakani. Na kwa kuwa rais wetu hayupo nchini na kulingana na mtifuano mkali uliopo wa ripoti wa CAG na serikali ni nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?
Unauliza ujinga ujingaAma kweli mambo yamebadirika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu rais Samia aingie madarakani. Na kwa kuwa rais wetu hayupo nchini na kulingana na mtifuano mkali uliopo wa ripoti wa CAG na serikali ni nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?
Ambako ndiko kalikua kanapanda ndege za Atcl kwenda chato kwa mtukufu kuhiji.Hawaongei na taifa hao wanaongea na kakikundi ka chache ka watu
Mungu fundi aisee.Angekuwepo, sahivi vile visiafu vyenye kofia nyekundu vingekua standby.....
Kesho wapinzani ndani, faini milioni 10, ahsante Mungu tumezika matatizo!!!
Tumezika tatizo moja na kufufua matatizo ya kitaifa. Muda ndio utatoa ukweliAngekuwepo, sahivi vile visiafu vyenye kofia nyekundu vingekua standby.....
Kesho wapinzani ndani, faini milioni 10, ahsante Mungu tumezika matatizo!!!
Kuna kosa gani mtanzania kuongea na watanzania wenzake.Ama kweli mambo yamebadirika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu rais Samia aingie madarakani. Na kwa kuwa rais wetu hayupo nchini na kulingana na mtifuano mkali uliopo wa ripoti wa CAG na serikali ni nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?
Tumezika kubwa laoTumezika tatizo moja na kufufua matatizo ya kitaifa. Muda ndio utatoa ukweli
Kamuulize marehemu. Maana alidhani hii nchi ni ya mama yake. Huku akitupiga kuliko kiongozi yeyote. Mungu ni mkuu sana. Amuweke anapo stahili.Ama kweli mambo yamebadirika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu rais Samia aingie madarakani. Na kwa kuwa rais wetu hayupo nchini na kulingana na mtifuano mkali uliopo wa ripoti wa CAG na serikali ni nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?