Ni nani aliyeruhusu Mbowe na Zito kabwe kuongea na taifa wakati mkuu wa nchi akiwa nje ya nchi

Adjustments.jpg

Mkuu hata wewe unaweza kuongea na taifa.
Tunakusikiliza.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Eti Nani kawapa ruhusa ya kuongea wakiwa nje ya nchi Mambo ya Taifa.Bogus kabisa Wewe.
Hivi wakiongelea nje na wakiongelea hapa walichotaka kuongea kitabadilika?

Ushamba tu ndio unakusumbua,na utawala wa kishamba umekwisha.
Nenda kalale pembeni ya kaburi labda atafufuka.
Hovyo.
 
Sasa aliyekuwa anatoa kichapo ili awaue kafa yeye sasa huone lipo la kujifunza? unadhani Mama hataki kuishi? haki ndiyo hukumu pekee kwetu.
Kwani yy alikua na mwili wa chuma asife,amekufa kama ww na binadamu wote tunaoishi sasa tutakavokufa.
 
Hahahahahah........lakini siyo kutembezwatembezwa almradi kupeleka ujumbe kuwa "sasa huna nguvu".
Yule alikua kiongozi wa nchi,lazima aagwe na wananchi. Kwani kuagwa imekua dhambi tena siku hizi?au ni dhambi kwa magufuli tu?wafalme,malkia,marais wengine waliagwa kwa nn kwake iwe nongwa?
Watu wanakufa,wengine wanazaliwa,binadamu huwezi ikimbia nature.
 
Hebu acha watu wapumue sasa, usifanye mchezo namna jamaa walikuwa wamebinywa
 
Mama leo kapita juu ya Ziwa Nyanza halafu akaaiangalia Chato halafu akasonya huku akisema kwa upole "Mkinizingua Tunazinguana yarabi Maulana"
 
Ama kweli mambo yamebadilika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu Rais Samia aingie madarakani.

Na kwa kuwa Rais wetu hayupo nchini na kulingana na mtifuano mkali uliopo wa ripoti wa CAG na serikali ni nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? Tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?
waache wapumue mkuu hawana madhara ni kama mtoto huwa tunasema akikua ataacha kama hawaamasishi maandamano no problem
 
Wanataka waanze kuleta usumbufu wao tena kwa mama samia baada ya kumkimbia magufuli eeh, kichapo walichokua wanapata toka kwa magufuli kilikua cha haja,mpk wakakimbia wote,wakianza mambo yao ya kumsumbua mama watakula viboko tu saiv [emoji23][emoji23][emoji23]
Mmesubiri baba aondoke muanze tena matamko ili kumsumbua mama,mtakula viboko tu [emoji1787][emoji28][emoji28]
Enzi zenu za kuteka watu zilishapita
 
Yule alikua kiongozi wa nchi,lazima aagwe na wananchi. Kwani kuagwa imekua dhambi tena siku hizi?au ni dhambi kwa magufuli tu?wafalme,malkia,marai
Ila kwa Ndesamburo Moshi ilikuwa dhambi?
Mwacheni Mwanakwenda avune alichopanda
Chuki na visasi ilikuwa Ibada yake Kuu
 
Ama kweli mambo yamebadilika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu Rais Samia aingie madarakani.

Na kwa kuwa Rais wetu hayupo nchini na kulingana na mtifuano mkali uliopo wa ripoti wa CAG na serikali ni nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? Tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?
Tatizo lako ni kwa sababu tu Rais yuko nje ya nchi au kuna kingine?

Na je, ni kwa sababu labda wanakuwa wanavunja sheria fulani/katiba au kuna kitu kingine zaidi?

Na je, una maana watu wote wasijadili na kutoa maoni yao kwenye mambo ya kitaifa kwa sababu Rais yuko nje ya nchi..?

Mimi nakuona kama vile huna sababu yoyote ile isipokuwa unaongozwa na mazoea na utamaduni (culture) ile ya kijinga na kipumbavu ya mwendazake...!
 
Ama kweli mambo yamebadilika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu Rais Samia aingie madarakani.

Na kwa kuwa Rais wetu hayupo nchini na kulingana na mtifuano mkali uliopo wa ripoti wa CAG na serikali ni nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? Tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?
Kwahyo raisi kama hayupo watu wabaki mabubu mpaka arudi? Mataga bana😂
 
Kuna kosa gani mtanzania kuongea na watanzania wenzake.
Chatoh timu bana wasiwasi mingiii saana baada ya baba yenu kuondoka!!

Kama wanaongelea injili sawa, lkn kuongelea mambo ya serikali wakati wenyewe si waliounda serikali si sahihi.
Hapa ndiyo pale baba anaongea na mtoto naye anaongea.
Inakuwa kama kambale family in the making, baba ana sharubu, mama ana sharubu, mtoto ana sharubu.
 
Kwahiyo ukiwa msukuma wachanga au wahehe hawana haki na Tanzania
 
Ama kweli mambo yamebadilika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu Rais Samia aingie madarakani.

Na kwa kuwa Rais wetu hayupo nchini na kulingana na mtifuano mkali uliopo wa ripoti wa CAG na serikali ni nani ameruhusu watu hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa? Tena mbele ya wanahabari na matukio yao kurushwa live?
Katiba inawaruhusu,Asante MUNGU kumchuka Magufuli,angalau heshima ya Tanzania imeanza kurudi
 
Wanataka waanze kuleta usumbufu wao tena kwa mama samia baada ya kumkimbia magufuli eeh, kichapo walichokua wanapata toka kwa magufuli kilikua cha haja,mpk wakakimbia wote,wakianza mambo yao ya kumsumbua mama watakula viboko tu saiv [emoji23][emoji23][emoji23]
Mmesubiri baba aondoke muanze tena matamko ili kumsumbua mama,mtakula viboko tu [emoji1787][emoji28][emoji28]
Bora limekufa,mlidhani angetesa Watanzania mpaka lini?
Watu Tuliomba sana hatimaye MUNGU akatujibu,Mama hawezi kujaribu ujinga wa Hayati,Tutaomba naye afe na itakuwa hivyo.
 
Back
Top Bottom