kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Kwani wewe au mbowe,au lema mkifa hamtaagwa na wanachama?Yupo wapi sasa' huyo mbabe wako? Mbona baadaye akawa anatembezwa tu viwanjani na subordinates wake just for show off?.......mara Taifa, mara Dodoma, mara Zanzibar mara Mwanza etc etc. Almradi vurugu.
Acheni usumbufu kwa mama mtachapwa viboko.viboko vya mama vinauma 😂😂😂