Ni nani aliyewaambia na kuwadanganya Wamisri kuwa wana umiliki wa 87% ya maji yote ya Mto Nile?

Ni nani aliyewaambia na kuwadanganya Wamisri kuwa wana umiliki wa 87% ya maji yote ya Mto Nile?

Na hapo Uganda ndiyo ulikoanzia vizuri tu nashangaa wenyewe wala hawana Shobo kama za Wamisri na Waethiopia.
Nadhani mwenyezi mungu alituumba waafrica hivi tulivyo kwa makusudi yake mwenyewe.hatuna elimu,teknologia, uchumi bora nk lakini ndo tunaishi maisha magumu in a very simple way.

Kama wakina Bgate walisema afrika tutaokotwa mitaani maiti kama kuku walio kufa na fowl typhoid kwa corona na leo hii tuna sumbuliwa na corona lakini hatufi kama wao. Na maisha yanaenda .
 
Hapo tatzo kubwa n hayo magaid waarabu koko hapo misri,au waweza kuwaita wamisri feki, maana iyo ardhi ilimilikiwa na mtu mweusi, lkn baada ya kuja ayo majitu meupe.

Kumekuwa vurugu tupu na uhujumu wa mali za mtu mweusi na ssi waafrika badala ya kuungana kupinga uo ushenz ndyo kwanza tumekazana kuwa wabinafsi uku mipuuz mingine ikijarbu kuvunja muungano ambao mababu waliupigania mpka kufka ulko,Nchi za afrika kuendelea ni ngumu mno.

maana ushenz na udharimu unaitawala afrika, ushenz huu upo hata kwa waafrika ambao wanatusariti na kuungana na mataifa dharmu kuihujumu afrika, huyo mmsri feki pale kawekwa tu, na alvyo mshenz mpka historia za mababu zetu mafalao yamejipa bila hata aibu na wanadiriki hata kudhihaki miili ya mafarao kwa kuifukua na kupiga mipicha ya ya kipuuzi.

Afrika nchi za watu weusi tukiungana tunaweza watimua hao wahuni ambao ndyo chanzo cha mattizo hapa afrika,,huo mto ulitakiwa uwe una milikiwa na nchi zaid ya moja, lkn chaajabu ayo majitu feki ndyo yanaleta ubabe....tubadrke


img_2_1619305675518.jpg
 
Wewe jamaa unaesema sijui mtoni darajani kungewekwa zege basi fulani angeujulia wapi mto... hii ni hoja ya kitoto kabisa, maji ya wote haijalishi yameanzia wapi yanaishia wapi cha hmsingi kila mtu avune katika upande wake
 
Wewe jamaa unaesema sijui mtoni darajani kungewekwa zege basi fulani angeujulia wapi mto... hii ni hoja ya kitoto kabisa, maji ya wote haijalishi yameanzia wapi yanaishia wapi cha hmsingi kila mtu avune katika upande wake
Kipindi tunaanza kusambaza maji toka Ziwa Victoria kwenda Shinyanga na Tabora hao jamaa wa Misri walituwekea kiwingu.

Can you imagine kuwa ziwa liko kwenu lakini hamtakiwi kutumia maji as you please..?
 
Wamisri kwenye suala la maji ya mto Nile wanajifanya kama vile wao ndiyo waliochimba mto huo na kuhifadhi bonde la mto Nile.
Kuna siku isiyo na jina zitapigwa ili heshima ipatikane.
Sisi wenyewe walitaka kutuletea mikingamo tusinywe maji ya Ziwa Victoria kisa eti ni chanzo cha mto Nile
EBO.
 
Tanzania bado tunahangaika Kwanza kujua Chanzo cha Moto wa Kimkakati na wa Kihujuma uliounguza Soko Kuu la Kariakoo jana Usiku na ambao ulizimwa Alfajiri ya Kuamkia leo ila Usiku huu umeanza tena Kuwaka kwa Kuunguza Mbilimbi, Pilipili na Hirizi pamoja na Vibuyu vya Wafanyabiashara humo ( mule )
Heee[emoji849]mkuu
 
Hata Mimi pia hii Vita naiona inakuja Mkuu ila Mfaidika Mkuu wa Maslahi ya hii Vita ni Waingereza na Wamarekani ambao wanazichochea hizi huku Mmoja akimpa Misri jeuri ya Kumkopesha Pesa zaidi ya Miradi yake na mwingine akimuuzia Silaha nzito nzito Ethiopia ili amsaidie Kupambana vizuri na Waarabu ambao Kimsingi ndiyo Adui zake wake Wakubwa Kimaslahi
"Tuwagawe kisha tuwatawale" hii litu bado inafanya kazi kuwanufaisha wao
 
Kale kajengo kao ka ubalozi pale moroko ni strategic.

Malengo Yao ni kulinda maji ya Nile kwa gharama zozote zile.

Yaani mfano US wanavyoiba mafuta arabuni ndivyo jamaa wanavyopambana kubakisha maji ya Nile.
 
Nikija kua Rais wa hii nchi naapa
Hao waarabu Koko wataisoma namba kwanza nitawashawishi watu wa Uganda huo mto tuupindishe Kwa kuupiga livasi kunyumenyume utiririke kwenda Burigi chato

Hao wavamizi walijimilikisha mapiramid ya Babu zangu farao Imhotep, Tut,khofu na wengineo
Wangeisoma namba!

Ndio watajua na roho mbaya zaidi ya Jiwe!
 
Nilipoona tu tamko la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa likisema kuwa haliwezi Kuingilia kati Mgogoro wa Matumizi ya Maji ya Mto Nile kati ya nchi za Misri na Ethiopia kwakuwa inajua kuwa Misri ina uhalali wa 87% ya Maji ya Mto huo nimeshtuka na kuwa na maswali mengi mno.

Hivi ni lini Waafrika na hasa huu Umoja wa Afrika (AU) utasimama imara kabisa Kutetea na Kusimamia Maslahi ya Bara la Afrika na Rasilimali zake kwa ujumla? Kwanini iliyokuwa (OAU) miaka ya nyuma ilishindwa kuwa Sauti ya Kujiamini kwa nchi zote za Afrika ili Afrika tusikike, tueleweke na tuheshimike mno.

Hainiingii Akilini kabisa leo hii kusikia nchi kama za Misri na Ethiopia kila Uchao tu zinagombania Umiliki wa Mto Nile wakati sehemu Kubwa na iliyoanzia hadi hata kupita nchi kama za Uganda na Sudan nazo zina haki ya Umiliki lakini zimenyamaza na zikiwaangalia kama hata si Kuwashangaa pia.

Wazungu wanapenda sana Kutuingilia na Kutupangia mambo yetu mengi Waafrika na kwa jinsi Viongozi wengi wa Bara la Afrika walivyo Goi Goi na wa hovyo hovyo kiasi cha Kuwaogopa Wazungu hawa Waafrika wote tunadharaulika na kuonekana hakuna tunalolijua na hata kuliweza zaidi ya kuwa Waongo, Wavivu na Wachawi wa Kutukuka.
Ni Waingereza ndio walioandika huo mkataba mbovu,ajabu Misri ndio kama mmiliki wa mto Nile, kumbuka hata huku kwetu walitaka kutuingilia juu ya maji ya Ziwa Victoria tulipotaka kuanzisha mradi mkubwa wa maji, naamini Nile ingekuwa inaanzia kwao wangeweza kuilazimisha iishie tu kwao, sioni mantiki ya wao Misri watumia hayo maji kwa asilimia kubwa na hata kujenga bwawa kubwa na papo hapo waizuie Ethiopia.
 
Tanzania bado tunahangaika Kwanza kujua Chanzo cha Moto wa Kimkakati na wa Kihujuma uliounguza Soko Kuu la Kariakoo jana Usiku na ambao ulizimwa Alfajiri ya Kuamkia leo ila Usiku huu umeanza tena Kuwaka kwa Kuunguza Mbilimbi, Pilipili na Hirizi pamoja na Vibuyu vya Wafanyabiashara humo ( mule )
Hivi hirizi zilizoungua kweli hazijajaza lori? kwa maana akina Mzee Mpili hawajambo kwa hirizi.
 
Back
Top Bottom