Ni nani aliyewaambia na kuwadanganya Wamisri kuwa wana umiliki wa 87% ya maji yote ya Mto Nile?

Na hapo Uganda ndiyo ulikoanzia vizuri tu nashangaa wenyewe wala hawana Shobo kama za Wamisri na Waethiopia.
Nadhani mwenyezi mungu alituumba waafrica hivi tulivyo kwa makusudi yake mwenyewe.hatuna elimu,teknologia, uchumi bora nk lakini ndo tunaishi maisha magumu in a very simple way.

Kama wakina Bgate walisema afrika tutaokotwa mitaani maiti kama kuku walio kufa na fowl typhoid kwa corona na leo hii tuna sumbuliwa na corona lakini hatufi kama wao. Na maisha yanaenda .
 
Hapo tatzo kubwa n hayo magaid waarabu koko hapo misri,au waweza kuwaita wamisri feki, maana iyo ardhi ilimilikiwa na mtu mweusi, lkn baada ya kuja ayo majitu meupe.

Kumekuwa vurugu tupu na uhujumu wa mali za mtu mweusi na ssi waafrika badala ya kuungana kupinga uo ushenz ndyo kwanza tumekazana kuwa wabinafsi uku mipuuz mingine ikijarbu kuvunja muungano ambao mababu waliupigania mpka kufka ulko,Nchi za afrika kuendelea ni ngumu mno.

maana ushenz na udharimu unaitawala afrika, ushenz huu upo hata kwa waafrika ambao wanatusariti na kuungana na mataifa dharmu kuihujumu afrika, huyo mmsri feki pale kawekwa tu, na alvyo mshenz mpka historia za mababu zetu mafalao yamejipa bila hata aibu na wanadiriki hata kudhihaki miili ya mafarao kwa kuifukua na kupiga mipicha ya ya kipuuzi.

Afrika nchi za watu weusi tukiungana tunaweza watimua hao wahuni ambao ndyo chanzo cha mattizo hapa afrika,,huo mto ulitakiwa uwe una milikiwa na nchi zaid ya moja, lkn chaajabu ayo majitu feki ndyo yanaleta ubabe....tubadrke


 
Wewe jamaa unaesema sijui mtoni darajani kungewekwa zege basi fulani angeujulia wapi mto... hii ni hoja ya kitoto kabisa, maji ya wote haijalishi yameanzia wapi yanaishia wapi cha hmsingi kila mtu avune katika upande wake
 
Wewe jamaa unaesema sijui mtoni darajani kungewekwa zege basi fulani angeujulia wapi mto... hii ni hoja ya kitoto kabisa, maji ya wote haijalishi yameanzia wapi yanaishia wapi cha hmsingi kila mtu avune katika upande wake
Kipindi tunaanza kusambaza maji toka Ziwa Victoria kwenda Shinyanga na Tabora hao jamaa wa Misri walituwekea kiwingu.

Can you imagine kuwa ziwa liko kwenu lakini hamtakiwi kutumia maji as you please..?
 
Wamisri kwenye suala la maji ya mto Nile wanajifanya kama vile wao ndiyo waliochimba mto huo na kuhifadhi bonde la mto Nile.
Kuna siku isiyo na jina zitapigwa ili heshima ipatikane.
Sisi wenyewe walitaka kutuletea mikingamo tusinywe maji ya Ziwa Victoria kisa eti ni chanzo cha mto Nile
EBO.
 
Heee[emoji849]mkuu
 
"Tuwagawe kisha tuwatawale" hii litu bado inafanya kazi kuwanufaisha wao
 
Kale kajengo kao ka ubalozi pale moroko ni strategic.

Malengo Yao ni kulinda maji ya Nile kwa gharama zozote zile.

Yaani mfano US wanavyoiba mafuta arabuni ndivyo jamaa wanavyopambana kubakisha maji ya Nile.
 
Nikija kua Rais wa hii nchi naapa
Hao waarabu Koko wataisoma namba kwanza nitawashawishi watu wa Uganda huo mto tuupindishe Kwa kuupiga livasi kunyumenyume utiririke kwenda Burigi chato

Hao wavamizi walijimilikisha mapiramid ya Babu zangu farao Imhotep, Tut,khofu na wengineo
Wangeisoma namba!

Ndio watajua na roho mbaya zaidi ya Jiwe!
 
Ni Waingereza ndio walioandika huo mkataba mbovu,ajabu Misri ndio kama mmiliki wa mto Nile, kumbuka hata huku kwetu walitaka kutuingilia juu ya maji ya Ziwa Victoria tulipotaka kuanzisha mradi mkubwa wa maji, naamini Nile ingekuwa inaanzia kwao wangeweza kuilazimisha iishie tu kwao, sioni mantiki ya wao Misri watumia hayo maji kwa asilimia kubwa na hata kujenga bwawa kubwa na papo hapo waizuie Ethiopia.
 
Hivi hirizi zilizoungua kweli hazijajaza lori? kwa maana akina Mzee Mpili hawajambo kwa hirizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…