Ni nani aliyewaruhusu wanawake kuchepuka?

Ni nani aliyewaruhusu wanawake kuchepuka?

jf user

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
777
Reaction score
623
Ni jambo la kushangaza sana unakuta mwanamke anashindana na mume wake kuchepuka.

Hivi hamjui wanaume tunaweza kuoa wake wengi sana at the same time? Wewe mwanamke unaweza olewa mara mbili kwa wakati mmoja? What the hell? tunakwenda wapi hii dunia?
Ni nani aliyewaambia mshindane na waume zenu?

Akili zenu zipo au hazipo? Hivi decent woman can do such stupid things? Wanawake wa tit for tat sio kwani mwanamke ameumbwa na MUNGU amtii mume wake sio kushindana nae!

Mwanaume ni mwanaume na mwanamke ni mwanamke, kamwe mwanamke hawawezi fanana na mwanaume ndio maana tunatofautiana majukumu. Keep it in mind if you want go higher.

UPDATE:

Hata sisi wanaume hatujaruhusiwa kuchepuka. Sasa sana nilicholeta hapa ni utofauti kati ya mwanamke na mwanaume kwani mwanaume anaweza oa wake wengi kwa wakati mmoja wakati mwanamke hawezi olewa na Zaidi ya mume mmoja at the same time.

Sihalalishi uzinzi kwani ni dhambi kwa MUNGU.
Imeandikwa 1 Wakorintho 7:18 "Jiepusheni kabisa na uzinzi . Dhambi zote hutendwa nje ya mwili lakini mzinzi hutenda dhambi ya mwili wake mwenyewe".
 
Nakuona unapojaribu kuzuia akili yako isikumbuke mtu wa kwanza kuchepuka, basi naomba nikukumbushe kuwa mwanamke ndiye mtu wa kwanza na ndiye aliyetufundisha mchezo mchafu hata sisi wanaume.

Kibaya zaidi kachepuka na mpaka katiwa ujauzito na joka (serpent). So endelea kujiuliza nani alimruhusu.
 
Aliyekwambia sisi tunaridhika na kibamia kimoja nani hafu nyie wanaume hutofautiana utaalamu Kuna wapiga katerero mpaka waweza zirai Kuna wansojua mambo had waweza zimia, sasa wewe jidaganye eti nani katuruhusu hata sie tu napenda kucheza viwanja tofauti tofauti.
 
Mmhh
 
Utakuta hapo hata katerero hujwahi pigwa na kuzirahi unackia kwa wenzako
 
Back
Top Bottom